Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Wonderful
Wonderful
 
Kuna watu punguani sijawahi kuona.
 
Maneno ya busara Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutafika tu, Mungu ibariki Tanzania,
 
Ahhahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…