Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000.
Kuna watakaopigwa na kitu kizito chenye ncha kali, tusubiriNgazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.
130,000 sio fixed mkuuKima cha chini Ongezeko ni 130000 sawa 35.1%
Assuming unalipwa 1,200,000. Na kama 130,000 ni fixed amount kwa watumishi wote. Mtumishi huyo atapata nyongeza ya 130,000 Γ·1,200,000 Γ100=10.8%
sawa kiongozKama ilivyokuwa hapo awali. Safari hii nilimsikia akisema hata wale wa kima Cha juu Cha mshahara, nyongeza ipo lakini hakufafanua kuwa ni asilimia ngapi. Hivyo kima Cha chini 35.1 je kima Cha juu ni ngapi?
Pamoja na mishahara Serikali iangalie maslahi ya watu wa mikataba kama wanafanya kazi zaidi ya mda ule wa kupanda daaja wapande na qaadilishiwe moundo sio unamuweka mtu kwenye mkataba miaka 5 na salary Ile Ile n Cheo kile kile hii sio sawa.Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,
βKwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!
Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.
Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.β
View attachment 3321888
Nani??Mwenyezi mungu ampe kizuri akitakacho kwa mazuri ayatendayo.
Wabunge wamepata kibwagizo cha sifa.Utasikia;haijawahi kutokea,Mrs president ni zawadi na tunu toka kwa Mungu,wafanyakazi mpigieni kura zote sbb anawajali,Mtampata wapi kiongozi mwenye upendo,kujali kama huyu?,Prezdaa awapa kicheko na shangwe wafanyakazi.Ongeza na nyingine.........Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,
βKwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!
Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.
Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.β
View attachment 3321888
Hamna kitu hapo..panga la Paye likipita na mfumuko wa bei unabaki palepale tu. Nyingez ya 130000 nothing. Wajikite katika kuboresha huduma za kijamiiiAkihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,
βKwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!
Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.
Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.β
View attachment 3321888
tangu lini 1,200,000 ikawa kima cha chini, huo mshahara hauwahusu wenye kiwango hichoKima cha chini Ongezeko ni 130000 sawa 35.1%
Assuming unalipwa 1,200,000. Na kama 130,000 ni fixed amount kwa watumishi wote. Mtumishi huyo atapata nyongeza ya 130,000 Γ·1,200,000 Γ100=10.8%
Hapana si wote, hicho ni kima cha chini tu, huko juu kinaenda kikipungua na hii ni kwa watumishi wa umma tu, binafsi watajadiliana wenyewe.Wote tutembezewe hii 35.1% wajameni
Raisi Samia Suluhu Hassani.Nani??
Kima cha chini cha mshahara huwa hakikatwi kodi (PAYE).Kwani basic 370 ukiweka tozo inabaki 370?Ficha ujinga wako.
Yaani unapewa hela halafu inachukuliwa hapo hapo mkononi kabla hata hujaiweka mfukoni , lakini karatasi limebadilika maandishi π π .. Very smart.Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma kwa asilimia 35.1 , ambapo nyongeza hiyo itaanza kutumika mwezi Julai mwaka huu.
Itaongeza kima cha chini cha mshahara kutoka laki 370,000/- mpaka laki 500,000/. Yamesemwa na Rais kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa leo Kitaifa Mkoani Singida.