Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

Kwani hujui kwamba dola mil.6250 ndio til.14? Mumekomaa na figures wakati Rais kazungumzia mambo mengi ya msingi.
 
Serikali ianzishe na akiba ya maji ili ukame ukitokea wananchi waweze kupata maji bila mgao usio na kichwa wala miguu.
 
..kwa hiyo Rais alikosea?.

cc Pascal Mayalla
Mkuu JokaKuu , kwa mujibu wa katiba ya JMT ya mwaka 1977, rais wa JMT, hawezi kukosea wala hawezi kufanya makosa ndio maana hawezi kushitakiwa kwa kosa lolote!.

Kukitokea kosa lolote la rais kama hilo la kukosea data, rais anakuwa hajakosea, bali anakuwa ni amekoseshwa na wasaidizi wake!, tena lugha ya heshima sio kusema rais amekosea, bali ni rais hakuwa sahihi kutokana na kosa la typo tuu ambalo ni rais amekoseshwa na wasaidizi wake!.

Tena Tanzania ingekuwa ni nchi inayoheshimu truthfulness and transparency, pia tungeezwa aliyemkosesha rais wetu kwa typo, ni nani na amefanywa nini?. Kama ni typist , then kosa la typo kwa typist ni common mistakes, typist haadhibiwi kwa typo,

Pia kosa la typo kwenye taarifa ya kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, sio kosa lao, kurugenzi inatoa ilichopewa, lakini kosa la typo kwa proof reader au msaidizi wa rais hotuba, sio kosa dogo!, huu ni uthibitisho ndani ya Ikulu yetu tuna watu ambao hawatoshi!.
P
 
Kwenye kufundishwa kwangu hesabu kuanzia makumi, mamia, maelfu, mamilioni, mabilioni etc hakuna kitu kama milioni elfu moja. Milioni inaishia milioni 999 na from there ni bilioni moja na milioni so and so.... Nashangaa Sana mtu anaandika milioni 6000!!!
 
Ivi si alikuwa anasoma kilicho andikwa au alikuwa anatoa kichwani?
Then if that is the case aliyendaa iyo speech nae kamuingiza chaka
 
Yule askari kimenuka kumbe??
 
..sarafu ya Tz ni shilingi, kwa hiyo ni makosa kwa Raisi na serikali kutoa taarifa za akiba yetu kwa viwango vya sarafu ya nchi nyingine, Marekani.
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
..kwa hiyo Rais alikosea?

..Na taarifa ya Ikulu haitolewi namna hiyo.

..Jina la anayetoa taarifa na nafasi yake huko Ikulu ni moja ya vipengele vinavyotakiwa kuwepo ktk taarifa.

cc Pascal Mayalla

Nashauri aliyehusika na utoaji wa taarifa potofu ya kumpunguzia heshima Rais lazima awajibishwe na asiwe tena karibu na Ikulu; msipomuadabisha nakuhakikishieni msijekushangaa makosa haya yakijirudia kwani hayo makosa ni ya kimkakati!!! Hutumiwa wanapotaka kudesroy credibility ya kiongozi!!!
 
Sasa mkuu Pasco kwani Rais huwa hapitiii hotuba yake several times kabla ya kuisoma kwa umma? Niliwahi kuona clip ya Barack Obama akifanya rehearsal ya hotuba yake kwa taifa na wasaidizi wake na niliona wakiondoa hiki na kuongeza hiki...
 
Sasa mkuu Pasco kwani Rais huwa hapitiii hotuba yake several times kabla ya kuisoma kwa umma? Niliwahi kuona clip ya Barack Obama akifanya rehearsal ya hotuba yake kwa taifa na wasaidizi wake na niliona wakiondoa hiki na kuongeza hiki...
Mkuu igogondwa , sio tuu rais anapitia, bali kuna watu maalum, paid by taxpayers money for doing that. Hizo ni figures and data hivyo uki feed wrong data , rais Samia sio mtu wa data na calculus kama JPM, what you feed in is what comes out.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…