Ccm iliwahi kupigiwa kura Jimbo Gani? Na Toka lini ccm hutegemea kura badala ya Dola? Au mmegombana na Dola siku hizi?Wanakuja wanawashangaa then kura wanapiga ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm iliwahi kupigiwa kura Jimbo Gani? Na Toka lini ccm hutegemea kura badala ya Dola? Au mmegombana na Dola siku hizi?Wanakuja wanawashangaa then kura wanapiga ccm
La HaiCcm iliwahi kupigiwa kura Jimbo Gani? Na Toka lini ccm hutegemea kura badala ya Dola? Au mmegombana na Dola siku hizi?
Nyooo! Hai alikosimamia yule ocd? Mtashinda njaa 2025 huko hai.La Hai
Eeehh😳😳😳Ni jambo jema
Unataka waamuaje?
Anzisha tatizo halafu litatue usifiweHii ndio taarifa ya motomoto..
=======
Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko kuakisi mapendekezo ya chama tawala.
Wataalam wanaangalia namna bora ya kukusanya mapato na watakuja na 'njia rafiki zaidi' kwenye namna ambayo itajali maslahi ya watanzania. Alisema waziri Mwigulu
=======
Tarime. The government has appointed a team of experts to work on the controversial levies on electronic money transactions, the Minister of Finance and Planning said yesterday.
Dr Mwigulu Nchemba told a public rally Sirari, Tarime District, that the government would continue charging the levies on electronic money transfers and other taxes, noting, however, that some changes will be effected to reflect the recommendations of the ruling party on the matter.
“Following the party’s recommendations, the government has appointed a team of experts which has already started undertaking a comprehensive analysis of the matter,” he said, and urged Tanzanians to be patient.
The experts are looking at the best way of collecting the revenue.
Dr Nchemba said the team of experts will then come up with “the most friendly way” of collecting the revenue in a manner that will put into consideration the interests of Tanzanians.
SOURCE: The Citizen
Kwakweli ni mwezi wa tatu sijatumia MPesa na sio kawaida yangu, halafu nimeacha na ule ujinga wakutuma ela kwa Sim Banking naenda kwenye ATM popote ilipo ntafika tu 🤣🤣🤣Nahisi suala la Vodacom kutangaza kupata hasara kubwa ndilo limewaamsha na sio huruma kwa wananchi
Si ilisemwa wananchi ndiyo walishauri uwepo wa tozo! Mbano hawarudi kwa wananchi. Au hiyo timu ndiyoinwakilisha wananchi?Mwigulu ana mambo ya hovyo kabisa. Yaani walipo pendekeza tozo hawakushirikisha mtu. Leo ana unda kamati ili nayo ionje utamu wa tozo waseme ni poa. Watanzania wana lalamika maisha magumu, wao wana tengenezeana ulaji.
Mwigulu yuko against maelekezo ya Mh. Rais kila wakati. Kuanzia tozo za simu, ssa na kwenye miamala ya kibenki.
Lengo lake ni kumchonganisha na wananchi. Mh. Rais haoni huu upuuzi bado.
Mna uhakika huyu jamaa ni waziri kweli au?Hii ndio taarifa ya motomoto..