Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...
Hongera sana Shaka, tunakuamini sana
 
CCM imepata viongozi imara sana,
Leo nimeona nguvu ya chama dhidi ya dola,

Hongera sana Shaka, endelea kutupigania ndg zako,
Mnafurahia kugeuzwa mtaji wa kisiasa kwa manufaa binafsi badala ya maslahi ya nchi.
 
Hivi huyu ndie nani hadi kuingilia maamuziya watendaji?
Imefikia mahali tuachane na upuuzi kama huu!
 
Huyu bwana anawapa shida sana CHADEMA TZ,
 
Mojawapo ya makosa makubwa sana katika muundo wa CCM na katiba yetu ni kule kuruhusu Chama cha siasa kufanya mambo ya kiserikali. Hata madai ya kuwa "tunatekeleza ilani ya CCM ni makosa" sana.

Kinachotakiwa ni kuwa baada ya Uchaguzi, ilani hiyo ipelekwe Bungeni ipitishwe kama blue print ya serikali, siyo document ya kampeini ya chama cha siasa iwe inatumika katika maamuzi ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…