Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...
Nchi ishakuwa ngumu,kiongozi wa CCM badala ya kusimamia ilani anampiga mkwara mkuu wa mkoa.
 
Pumba kabisa huyu ushuzi wao makatazo yao. CCM ya wananchi ilishakufa.
 
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...
Hivi Chaka ni zaidi ya mkuu wa mkoa?
 
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...

Huyu Shaka mambo ya Tanganyika yanamhusu nini !.
 
Mama Samia angempa uwaziri usio na ofisi maalum jamaa anagonga kila sehemu anajiaminu mama tuondolee huyu huko chaman ake kutekeleza ilani bana.

Mnasema waislam wana hofu ya mungu sana sana mola awape mwisho mema
 
Ccm ina viongozi wa ajabu sana hawa ndio watakuja kuwa viongozi huko baadae na kizazi chetu kitaendelea kupata sarakasi ya mafuta,korosho,umeme na gesi mpaka umauti wao utakapowachukua kama sisi..
 
"Eneo kubwa na la msingi tulioahidi watanzania ni namna ya kusimamia haki na usawa na fursa za maendeleo zinatolewa wakati wote nabkuhakikisha upatikanaji wa Ajira kwa Vijana"View attachment 1993283View attachment 1993285View attachment 1993284View attachment 1993287View attachment 1993288View attachment 1993286
Kusimamia haki gani,kuna haki gani Tanzania mnasimamia,Sasa kila mtu ana sharubu.Naomba na makatibu wakuu wa vyama vyote nao watoe neno.Mwingiliano kila mahali.
 
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...
Hawa CCM waiache serikali ifanye kazi yake.
 
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...
nzuri
 
Shaka ni mtu na nusu
 
Shaka Mtu na nusu
NUKUU: KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 31/10/2021

"Chama Cha Mapinduzi ndicho kimepewa dhamana ya kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hivyo ndicho chenye mkataba na wananchi nini kifanyike...
 
Back
Top Bottom