Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Sitaki kutia neno sikiliza hadi mwisho,
#CHAMAIMARA
#KAZI IENDELEE
Yaani ilani ya CCM ni ya 2025? Huyu mtoto anasoma tu au unatumwa? CCM 2025 Rais atatoka nje ya CCM kama watamweka Hangaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki kutia neno sikiliza hadi mwisho,
#CHAMAIMARA
#KAZI IENDELEE
Tengeneza tatizo, tatua tatizo fake, jipongeze“CCM kimepokea na kufuatilia malalamiko ya wananchi mbalimbali ikiwamo, machinga, waendesha bodaboda, sanjari na malalamiko hayo, CCM kinaungana na Rais Samia katika dhamira yake ya kuona nchi yetu inapangwa vizuri na kuwa kivutio kwa kuwapanga vema machinga na wafanyabiashara wengine
Wale tulioambiwa wanakuja kwa maelfu wakati wa chuma JPM , kwani walikuwa wachache!? Au nyie wengine mnabadilika badilika kama bendera inavyofuata upepo!?Watalii wanakuja kwa maelfu kila wiki. Tembea usiishie kwenda chooni na kurudi ilipo laptop yako. Toka nje uione dunia halisi ilivyo.
Ukweli ni kuwa watalii wanakuja kwa wingi, nyinyi wengine mnaishi na hasira nyingi zisizo na sababu. Hakuna wa kukusaidieni.Wale tulioambiwa wanakuja kwa maelfu wakati wa chuma JPM , kwani walikuwa wachache!? Au nyie wengine mnabadilika badilika kama bendera inavyofuata upepo!?
Yule anatetea wapiga kura wake wanaonewaAkikamatwa mwenye pikipiki kwa kuingia mujini, Shaka hataenda field kuzuia ukamataji.
Tufikie sehemu taaluma (badala ya emotions) ziamue mambo yetu! Ni tabia hii ya maamuzi yanefanya Dar kuwa mji mkubwa usiopangwa ktk afrika mashariki na kati. Makazi yasiyopangwa!!
Tengeneza tatizo litatue uwe shujaa🙌🙌Naunga mkono hoja
P
Amosi makala na wale wamamgambo wanawatimua hao wahuni ni wa chadema?Daaah jamaa ameongea kwa Uchungu sana,
Asante Sana CCM kusimama na wananchi wakati wote,
Chama lazima kitetee waliokiweka madarakani,
Hongera Rais Samia,
Hongera Chongole
Hongera Shaka,
#KAZIIENDELEE
Bado!.Hujapata ukuu wa wilaya bado?
Waache wamalizane wao kwa wao; kwa sababu walikologao ndiyo walinywalo.ana pumba gani tena?
Kama nani? Katika utumishi wa umma watanzania tuwe makini sio Kila mtumishi wa CCM Ni mtumishi wa umma naomba nieleweke jamani.Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...
Team JPM chuma wenzako uliowasaliti ndio wana hasira. Kwani walikuomba msaada uwasaidie!?Ukweli ni kuwa watalii wanakuja kwa wingi, nyinyi wengine mnaishi na hasira nyingi zisizo na sababu. Hakuna wa kukusaidieni.