Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar
Hovyo kabisa inafika sehemu kiongozi wa chama anapinga utendaji wa kiongizi wa serkali ilihali yeye ni kiongozi wa chama ...Boda boda wana kera mno nao walipaswa kuondoka mjini yaani ni kero wandolewe kabisa
 
NUKUU: KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 31/10/2021

"Chama Cha Mapinduzi ndicho kimepewa dhamana ya kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hivyo ndicho chenye mkataba na wananchi nini kifanyike
Eneo kubwa na la msingi tulioahidi watanzania ni namna ya kusimamia haki na usawa na fursa za maendeleo zinatolewa wakati wote na kuhakikisha upatikanaji wa Ajira kwa Vijana"

Rais Samia alitoa malekezo kwa viongozi kuwapanga upya wamachinga,Rais Samia alisisitiza upangaji huo uambatane na wafanyabishara hao kupewa maeneo rafiki ya kufanyia biahara hizo"

"Chama Cha Mapinduzi tunawapongeza wafanyabiashara wadogo almaarufu machinga kwa mapokeo yao mazuri ya maelekezo ya kuhamia kwenye maeneo rasmi waliyotengewa kufanyia kazi"

Chama cha mapinduzi inatoa kauli ifuatayo 1 marufuku ya waendesha bodaboda au bajaji sio muafaka bali ingetumia taratibu shirikishi kwa wananchi na viongozi wao hivyo CCM inasitisha mara moja jambo hilo"

"Chama Cha Mapinduzu kinaonya kuhusu utaratibu ulioanza kuibuka kwa mtu au mamlaka kuanza kutoa kauli au maagizo yasiyokihaki hali ambayo inaibua sintofahamu kwa wananchi wetu"

"Mhe Rais Samia Suluhu Hassan alitoa malekezo kwa viongozi kuwapanga upya wamachinga,Rais Samia alisistiza upangaji huo uambatane na wafanyabishara hao kupewa maeneo rafiki yakufanyia biahara zao"

"Kitendo cha kuwahamisha wafanyabiashara wadogo bila kuwawekea mazingira rafiki na mazuri. watakaofanyia biashara zao ni marufuku na haikubaliki
Chama Cha mapinduzi tunazielekeza kamati za siasa za Mikoa na Wilaya kuhakikisha kuwa maelekezo ya Mhe. Rais kwenye mikoa yao yanatekelezwa kwa malengo tarajiwa ikitokea haziendi vema kweye jambo hili na hazioneshi mafanikio kama ilivyo malengo ya Mhe.Rais Samia basi zitawajibika"

#KaziInaendele

View attachment 1993441
Hapo je???
 
kwani wewe takataka ulistahili kukaa mjini??
 
Naipenda CCM na Serikali lakini wakati mwengine tukubali kuna watu hawakustahili kuwepo hapo walipo!!..Hivi Mwenezi wa chama ana wezaje kutoa Kauli ya kukemea utendaji wa mkuu wa Mkoa!!..Huyu ana jua kashkash za Hawa Boda Boda hapo ferry?!...Au kule kariakoo!!..
Anazungumza maelekezo ya Chama siyo ya kwake. Sasa kuna kiongozi wa Serikali mkubwa kuliko Chama? Halafu msimamo huo wa Chama unagusa maslahi mapana ya Watanzania lower class. Bodaboda, Machinga na mama lishe wawekewe mazingira mazuri kwanza.
 
NUKUU: KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 31/10/2021

"Chama Cha Mapinduzi ndicho kimepewa dhamana ya kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hivyo ndicho chenye mkataba na wananchi nini kifanyike
Eneo kubwa na la msingi tulioahidi watanzania ni namna ya kusimamia haki na usawa na fursa za maendeleo zinatolewa wakati wote na kuhakikisha upatikanaji wa Ajira kwa Vijana"

Rais Samia alitoa malekezo kwa viongozi kuwapanga upya wamachinga,Rais Samia alisisitiza upangaji huo uambatane na wafanyabishara hao kupewa maeneo rafiki ya kufanyia biahara hizo"

"Chama Cha Mapinduzi tunawapongeza wafanyabiashara wadogo almaarufu machinga kwa mapokeo yao mazuri ya maelekezo ya kuhamia kwenye maeneo rasmi waliyotengewa kufanyia kazi"

Chama cha mapinduzi inatoa kauli ifuatayo 1 marufuku ya waendesha bodaboda au bajaji sio muafaka bali ingetumia taratibu shirikishi kwa wananchi na viongozi wao hivyo CCM inasitisha mara moja jambo hilo"

"Chama Cha Mapinduzu kinaonya kuhusu utaratibu ulioanza kuibuka kwa mtu au mamlaka kuanza kutoa kauli au maagizo yasiyokihaki hali ambayo inaibua sintofahamu kwa wananchi wetu"

"Mhe Rais Samia Suluhu Hassan alitoa malekezo kwa viongozi kuwapanga upya wamachinga,Rais Samia alisistiza upangaji huo uambatane na wafanyabishara hao kupewa maeneo rafiki yakufanyia biahara zao"

"Kitendo cha kuwahamisha wafanyabiashara wadogo bila kuwawekea mazingira rafiki na mazuri. watakaofanyia biashara zao ni marufuku na haikubaliki
Chama Cha mapinduzi tunazielekeza kamati za siasa za Mikoa na Wilaya kuhakikisha kuwa maelekezo ya Mhe. Rais kwenye mikoa yao yanatekelezwa kwa malengo tarajiwa ikitokea haziendi vema kweye jambo hili na hazioneshi mafanikio kama ilivyo malengo ya Mhe.Rais Samia basi zitawajibika"

#KaziInaendele

IMG_20211031_161038_390.jpg

IMG_20211031_161038_395.jpg

IMG_20211031_161038_403.jpg

IMG_20211031_161038_419.jpg

IMG_20211031_161038_505.jpg

IMG_20211031_161038_511.jpg

IMG_20211031_161038_516.jpg

IMG_20211031_161038_524.jpg

IMG_20211031_161038_530.jpg

IMG_20211031_161038_541.jpg
 
Suala la kuondoa machinga limekuwa kaa la moto.

Lingekuwa na baraka za wananchi wote kupitia bunge huru wala lisingekuwa ni tatizo.Ni kweli wamachinga ni kero ila kwa upande mwingine wamachinga ni zao la serikali kushindwa kuzalisha ajira mpya.
 
Dah....naona darsa la Prof Slow² limeanza kuwaingia 🤣🤣🤣🤭
 
Comment za mwanzo kabla hii yangu mbona sizielewi..isije ikawa mmeshapangwa siku ile na shaka alivyokutana na nyie MATAGA wa mtandaoni kwamba kuna mtu ataanzisha uzi kuhusu mimi then mkasapoti kwa nguvu nimewaza tu..haiwezekani tatizo lianzishwe na haohao ccm then mnakuja kujifaragua hapa eti hongera CCM,viva mama kenge nyie
Unamaanisha kila anayeandika hapa ni #MATAGA?
 
NUKUU: KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 31/10/2021

"Chama Cha Mapinduzi ndicho kimepewa dhamana ya kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hivyo ndicho chenye mkataba na wananchi nini kifanyike
Eneo kubwa na la msingi tulioahidi watanzania ni namna ya kusimamia haki na usawa na fursa za maendeleo zinatolewa wakati wote na kuhakikisha upatikanaji wa Ajira kwa Vijana"

Rais Samia alitoa malekezo kwa viongozi kuwapanga upya wamachinga,Rais Samia alisisitiza upangaji huo uambatane na wafanyabishara hao kupewa maeneo rafiki ya kufanyia biahara hizo"

"Chama Cha Mapinduzi tunawapongeza wafanyabiashara wadogo almaarufu machinga kwa mapokeo yao mazuri ya maelekezo ya kuhamia kwenye maeneo rasmi waliyotengewa kufanyia kazi"

Chama cha mapinduzi inatoa kauli ifuatayo 1 marufuku ya waendesha bodaboda au bajaji sio muafaka bali ingetumia taratibu shirikishi kwa wananchi na viongozi wao hivyo CCM inasitisha mara moja jambo hilo"

"Chama Cha Mapinduzu kinaonya kuhusu utaratibu ulioanza kuibuka kwa mtu au mamlaka kuanza kutoa kauli au maagizo yasiyokihaki hali ambayo inaibua sintofahamu kwa wananchi wetu"

"Mhe Rais Samia Suluhu Hassan alitoa malekezo kwa viongozi kuwapanga upya wamachinga,Rais Samia alisistiza upangaji huo uambatane na wafanyabishara hao kupewa maeneo rafiki yakufanyia biahara zao"

"Kitendo cha kuwahamisha wafanyabiashara wadogo bila kuwawekea mazingira rafiki na mazuri. watakaofanyia biashara zao ni marufuku na haikubaliki
Chama Cha mapinduzi tunazielekeza kamati za siasa za Mikoa na Wilaya kuhakikisha kuwa maelekezo ya Mhe. Rais kwenye mikoa yao yanatekelezwa kwa malengo tarajiwa ikitokea haziendi vema kweye jambo hili na hazioneshi mafanikio kama ilivyo malengo ya Mhe.Rais Samia basi zitawajibika"

#KaziInaendele

View attachment 1993441
CCM inasitisha maamuzi ya serikali! Ni wazi nchi haiendeshwi na katiba. Wananchi tunatakiwa tuache kuisikiliza serikali tuanze kisikiliza CCM ambaye ndiye mtawala.
 
Ndo hii mwanaharakati mmoja amesema vyama vya wafanyakazi vimekosa sauti ya wafanyakazi mishahara na mafao yanachezewa lakini makundi ya machinga na bodaboda ndo yanaumiza vichwa vya wanasiasa.

Jeshi la polisi lenye dhamana ya kulinda raia na Mali zao wanaona hatari ya bodaboda kiusalama, mwanasiasa anapigia chepuo kura.

Jana mkuu wa mkoa kasema Kuna maongezi, huyu naye kwa nini afanye ni ajenda yake? Mnatoa picha gani kwa wananchi?
Ccm ni matapeli, baada ya kusikia cdm watakuwa na press na kusikia wataongelea jambo la machinga, wamejitokeza haraka na kujifanya wako upande wao ili kuwahadaa kuwa ccm iko pamoja nao. Ni ngumu sana kwa vyama vya wafanyakazi na wakulima kuwa na sauti dhidi ya ccm, kwani mfumo ulivyo wao wameshakuwa mateka wa ccm, hivyo hawawezi kuhoji lolote zaidi ya kuburuzwa.

Wamachinga tu ndio kundi huru maana hawako rasmi, na wengi ni wahanga wa kukosa ajira hasa vijana. Matokeo yake kundi hili liko zaidi upande wa upinzani kwani ccm sio chama cha kizazi hiki, na kundi hili la vijana ndio hasa chachu ya mabadiliko, hivyo ccm inaliogopa sana kundi hili la smart phone kwani ndio hasa litawang'oa madarakani. Hivyo inabidi kujipendekeza kwao ili kuhakikisha wapinzani hawawi karibu na kundi hili ambalo halina cha kupoteza.
 
CCM inasitisha maamuzi ya serikali! Ni wazi nchi haiendeshwi na katiba. Wananchi tunatakiwa tuache kuisikiliza serikali tuanze kisikiliza CCM ambaye ndiye mtawala.

Serekali iliyopo haijaingia madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali uporaji, hivyo wanaogopa wamachinga wakilianzisha itakuwa hatari kwao maana hawana uhalali wa umma. Ccm inajitahidi vyama vya upinzani hasa cdm wasitie neno kwenye hili sakata, maana ndio wenye ushawishi hasa kwa hao machinga. Na leo cdm wameongelea hilo jambo la wamachinga, hivyo ccm imebidi ijitokeze haraka kujifanya iko upande wa machinga, kwani inaweza kula kwao. Kwa vyovyote sasa machinga itabidi wasikilizwe maana ni kundi kubwa la wapinzani wasio na cha kupoteza.
 
Back
Top Bottom