Kuna watu wanamchonganisha Rais na wamachinga pengine kwa kujua au kutokujua,
Kwanini muwapore vitu vyao tena hata baada ya kuwaongeza siku haya mama Samia hakuagiza,
Machinga wanabeba Uchumi mdogo wa nchi (micro economy) lazima tuwajali na kuwathamani sana,
Nia ya Rais ni njema sana kuwapatia permanent premises ili wapatiwe mikopo ili waende hatua za juu zaidi,
Wasaidizi wa Rais waelewe vizuri nia njema ya Rais wetu bila kumchonganisha na wapigakura wake,
Hongera sana CCM,
Leo mmeonesha nyie ndio chama dola na kila mtu yuko chini ya Chama na Wananchi ndio msingi wa yote,
#VIVA BODABODA
#VIVA BAJAJI
#VIVA MACHINGA