Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kaka we wapuuze, siku Waki ona una kitengo sehemu. Wata elewa tu.Intelligent businessman
Naitwa chawa huku ππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka we wapuuze, siku Waki ona una kitengo sehemu. Wata elewa tu.Intelligent businessman
Naitwa chawa huku ππππππ
Sema Colombia, Brazil, lebanoni Kuna pisi za kutafutana lawama,ππ€Tudili na shakira kwanza
Kama Mia Khalifa naye ni Mlebanese.Shakira kiasili ni mwarabu wa Lebanon kaka.
Au hulijui hili??
Niliwahi kusikiliza jinsi alivyoanza muziki na waliainisha hilo kama kumbukumbu zangu zipo vizuri ila najua ni mkolombia.
Kiasili ni Lebanese kaka babu na bibi yake walihama toka Lebanon kutafuta maisha wakapitia Brazil kwa kumbukumbu za utafiti wangu kesha kwenda Argentina kesha Uhispania.Niliwahi kusikiliza jinsi alivyoanza muziki na waliainisha hilo kama kumbukumbu zangu zipo vizuri ila najua ni mkolombia.
Mtu kama wewe unaitwa "Womesydromer". Womesydrome refers to a person suffering from womens syndrome, they can't able to be with one women, physical they known by their facial characteristicsKwanini mkuu
Yaaani do or diePamoja sana, mwanga una onekana, ni speed ya kujaza buti tu.
mambo yaki iva, tuta shituana tu π€
Church boySina unoma wowote mi ni church boy haya mengine ni maneno tu yasikutishe.
Huyu ajiheshimu sana an daaahKaka we wapuuze, siku Waki ona una kitengo sehemu. Wata elewa tu.
Shakira anamzidi mbali Pique hela. Alafu walikuwa kwenye peak wote wakati wanapatana hivyo kila mmoja mali zake zinajulikana.Hajaanza kumpukutisha jamaa mali!
Au pique mali aliziandikia mama yake kama achraf?maana hiyo jinsia ikiona haielewi ndiko akili zinakoelekea.
Niliwahi kusikiliza jinsi alivyoanza muziki na waliainisha hilo kama kumbukumbu zangu zipo vizuri ila najua ni mkolombia.
Hii historia yake fupi.Niliwahi kusikiliza jinsi alivyoanza muziki na waliainisha hilo kama kumbukumbu zangu zipo vizuri ila najua ni mkolombia.
Sawa mkuu shukrani kwa ufafanuzi mzuri.Kiasili ni Lebanese kaka babu na bibi yake walihama toka Lebanon kutafuta maisha wakapitia Brazil kwa kumbukumbu za utafiti wangu kesha kwenda Argentina kesha Uhispania.
Kuna video nilizionaga zikimuonesha Shakira akicheza "belly dance" ule uchezaji wa kiarabu wa kutikisa kitambi.
Hata jina la "Shakira" ni la kiarabu maana yake ni Shukurani.
It's a hit or miss, get rich or die trying.Yaaani do or die
Kumbe colombia ni raia kwa kuzaliwa tu na sio kiasili, nilidhani mzazi mmoja ni wa colombia.Hii historia yake fupi.
Colombia alizaliwa tu ila sio asili yake.
Wazee babu na bibi walebanon asilia ila mama muhispania baba mlebanon.
Hivyo kiasili mlebanon.View attachment 2945554
I will die single but not poorIt's a hit or miss, get rich or die trying.
SikaziiiMtu kama wewe unaitwa "Womesydromer". Womesydrome refers to a person suffering from womens syndrome, they can't able to be with one women, physical they known by their facial characteristics
Ana jiita church boy, hajui sisi ndo ma jungle boy wenyeweππ€Huyu ajiheshimu sana an daaah
πππππ
Umeonaaa eeeeh....Sikaziii
From nanjiiiii..Ana jiita church boy, hajui sisi ndo ma jungle boy wenyeweππ€
Kuna vitu- najua navioma, aisee Umasikini ni kuadhibiwa kwa kosa usilo tenda.I will die single but not poor
πππππππππππ.