Shakira bado hajasema, na atasema, yaani mpaka aseme

Niliwahi kusikiliza jinsi alivyoanza muziki na waliainisha hilo kama kumbukumbu zangu zipo vizuri ila najua ni mkolombia.

Kiasili ni Lebanese kaka babu na bibi yake walihama toka Lebanon kutafuta maisha wakapitia Brazil kwa kumbukumbu za utafiti wangu kesha kwenda Argentina kesha Uhispania.
Kuna video nilizionaga zikimuonesha Shakira akicheza "belly dance" ule uchezaji wa kiarabu wa kutikisa kitambi.
Hata jina la "Shakira" ni la kiarabu maana yake ni Shukurani.
 
Kwenye ngoma ya out of your League,Shakira anampiga vijembe Pique anaimba
"I'm worth two 22-year-olds
You traded in a Ferrari for a Twingo
You traded in a Rolex for a Casio" akimpiga vijembe girl mpya wa Pique,akimfananisha na kigari kile Twingo, what a clown,siku mbili mbele pique kaenda mazoezini aki drive Twingo huku kavaa Casio Intelligent businessman
20240326_234006.jpg
 
Hajaanza kumpukutisha jamaa mali!

Au pique mali aliziandikia mama yake kama achraf?maana hiyo jinsia ikiona haielewi ndiko akili zinakoelekea.
Shakira anamzidi mbali Pique hela. Alafu walikuwa kwenye peak wote wakati wanapatana hivyo kila mmoja mali zake zinajulikana.

Mleta mada alivyoandika as if kafurahi sana, mzee kama umeteseka kimapenzi hakuna mwanaume atakulipizia kisasi. Utateseka peke yako.
Yani yatima wa mapenzi wako wanafurahia Shakira kuachwa, nawewe acha kama una ubavu huo.
 
Niliwahi kusikiliza jinsi alivyoanza muziki na waliainisha hilo kama kumbukumbu zangu zipo vizuri ila najua ni mkolombia.
Niliwahi kusikiliza jinsi alivyoanza muziki na waliainisha hilo kama kumbukumbu zangu zipo vizuri ila najua ni mkolombia.
Hii historia yake fupi.
Colombia alizaliwa tu ila sio asili yake.
Wazee babu na bibi walebanon asilia ila mama muhispania baba mlebanon.
Hivyo kiasili mlebanon.
Screenshot_2024-03-26-23-45-15-94_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Kiasili ni Lebanese kaka babu na bibi yake walihama toka Lebanon kutafuta maisha wakapitia Brazil kwa kumbukumbu za utafiti wangu kesha kwenda Argentina kesha Uhispania.
Kuna video nilizionaga zikimuonesha Shakira akicheza "belly dance" ule uchezaji wa kiarabu wa kutikisa kitambi.
Hata jina la "Shakira" ni la kiarabu maana yake ni Shukurani.
Sawa mkuu shukrani kwa ufafanuzi mzuri.
 
Back
Top Bottom