Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Taifa yupi huyo , Mungu anasapot ushoga ? Mungu wenu labda .
Mungu hasupporty ushoga ila hawezi kulihukumu taifa zima kwa kosa la mtu mmoja. Akipatikana Mmoja tu anayeomba toba kwa ajili ya Taifa zima, Mungu anarehemu wote
 
Mungu hasupporty ushoga ila hawezi kulihukumu taifa zima kwa kosa la mtu mmoja. Akipatikana Mmoja tu anayeomba toba kwa ajili ya Taifa zima, Mungu anarehemu wote
Kwahiyo kina Netanyahu waendelee kupumuliwa mgongoni na wanaume wenzao kwa vile anaweza kutokea mtu mmoja akawaombea toba wakatusua?
 
Umeandika jazba zaidi kuliko uhalisia
 
Hiz habar honestly mimi kwasasa zimeshani kinai na kunichosha. Hazina tena upekee ni kama tu ule uzi wa urusi ma ukraine
 
Mjinga wewe,
Wameenda wanawake wa4 kuua infrastruce zote wamefanikisha.
Jeshi liko hapo mtaani ni kuambiwa tu attack wako kazini.
We umeshiba vitumbua huko u aropoka tu.
 
Wazayuni wa jf hamna akili kama kulalamika UN israhell na Iran nani alianza kulalamika UN
 
Propaganda bado zimewaganda vichwani mulivyo wadogo wa kufikiria akomboe mateka wake kwanza waliopo hapo Ghaza achana na Entebbe
 
Propaganda bado zimewaganda vichwani mulivyo wadogo wa kufikiria akomboe mateka wake kwanza waliopo hapo Ghaza achana na Entebbe
Ukitaka kujua mambo sio mazuri sikiliza vizuri hotuba ya Khamenei na kisha rudi kwenye uhalisia acha hisia za udini na jazba
 
Umeandika jazba zaidi kuliko uhalisia
Siku zote umuonae ndie huwa sie, na umuonae sie huwa ndie. Hivyo unachoona wewe kuwa sio uhalisia basi ndio uhalisia, na ukionacho kuwa uhalisia basi ndio sio uhalisia. Kikubwa uwe na akili kubwa ya kuchambua ili uweze kutenganisha kati ya mchele, chuya na mawe.
 
Mjinga wewe,
Wameenda wanawake wa4 kuua infrastruce zote wamefanikisha.
Jeshi liko hapo mtaani ni kuambiwa tu attack wako kazini.
We umeshiba vitumbua huko u aropoka tu.
Drone 1 tu ya vijana wa houth imetoka Yemen hadi tel aviv zaid ya Kilmetre 1000 na kwenda kushambulia moja kwa moja katika nyumba ya Netanyahu huku mamia ya mitambo ya ulinzi wa anga la Israel kama vile Iron Dome, THAAd nk yakiwa pale bila kuiona ndege hiyo.

Alaf wewe mvaa nepi unajifanya kuwatetea watu ambao hata mitambo yao wenyewe waliotengeneza imeshindwa kuwatetea kuizuia drone isiingie kutekeleza shambulizi.
 
Ukitaka kujua mambo sio mazuri sikiliza vizuri hotuba ya Khamenei na kisha rudi kwenye uhalisia acha hisia za udini na jazba
Mwl Nyerere aliwahi kusema kwamba mpumbavu na mjinga yeyote akiishiwa hoja na mwenye akili basi mpumbavu huyo hukimbilia kujificha kwenye kichaka cha dini. Hivyo wewe ni mmoja wa wapumbavu ambao wakiishiwa hoja hukimbilia kujificha kwenye kichaka cha dini.

Nasema hivyo kwa sababu hakuna mtu alietaja habari za dini ila wewe umekimbilia kuzileta. Jibu hoja acha swala la kuingiza maswala ya dini, hayatokusaidia kwa lolote.
 
Jidanganye. Israel wakirudia tena ni kujichapia tu kwani Iran ulinzi ni hakuna tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…