Wenye ulinzi ndio hao wanaopigwa na vijana wa Houth kila siku nyumbani kwao 😂mpaka Netanyahu ameamua kuacha kulala nyumbani akihofia nyumba kufumuliwa tena na vijana wa Houth ambao hawana jeshi 😂😂Jidanganye. Israel wakirudia tena ni kujichapia tu kwani Iran ulinzi ni hakuna tena.
Israeli Strikes Knocked Out All Of Iran’s S-300 Air Defense Systems: Officials
Iran is likely still tallying the costs of the Israeli airstrikes launched on Saturday in retaliation for Tehran’s massive October 1 missile barrage on Israel. Among the targets that Israel appears to have gone after are Iran’s prized Russian-made S-300 air defense systems, according to U.S...www.yahoo.com
Jikite kwenye hoja. Iran wamepigwa na hawana ulinzi wa anga ndio habari ya mjini.Wenye ulinzi ndio hao wanaopigwa na vijana wa Houth kila siku nyumbani kwao 😂mpaka Netanyahu ameamua kuacha kulala nyumbani akihofia nyumba kufumuliwa tena na vijana wa Houth ambao hawana jeshi 😂😂
Labda kipindi hiko hukuwa na access ya mtandao ulikuwa unatumia bado barua. Uliza wajuvi watakujibu!!Hii umetunga kuhusu Rwanda. Awakuwahi kusema watamkamata kikwete na hatajaribu kusema. ACHA UZUSHI UONGO NA UNAFIKI JAPO NDIYO SIFA ZENU KUU
Ukraine tu anazipasua IDza Mrusi ,Iran ameingizwa chaka na MrusiKabisa mkuu, Iran mpaka sasa hajatoa taarifa ya kichapo alichopokea usiku, alafu wairan weusi tayar taarifa wanazo, mbaya zaidi wanasifia AD za mrusi alizopeleka Iran na kushindwa
Iran hategemei ADS za Urusi.Ukraine tu anazipasua IDza Mrusi ,Iran ameingizwa chaka na Mrusi
Wewe ni mjinga sana.. Huu utumbo uliyoandika hapa ni hoja au kiroja!!Jikite kwenye hoja. Iran wamepigwa na hawana ulinzi wa anga ndio habari ya mjini.
Sasa si bora Ukraine nchi ila mzayuni kaponzwa na americant ad zake zinapigwa na wagambo watu wanavaa Kanda mbili yaani americant tapeliUkraine tu anazipasua IDza Mrusi ,Iran ameingizwa chaka na Mrusi
Pole sn wakati huo sisi wengine tulikua ndani ya Rwanda. Usichukulie poa.Labda kipindi hiko hukuwa na access ya mtandao ulikuwa unatumia bado barua. Uliza wajuvi watakujibu!!
SawaMtusiPole sn wakati huo sisi wengine tulikua ndani ya Rwanda. Usichukulie poa.
Kwa vipigo kama hivi kweli Magaidi wa Hezbollah watashinda?? Labda kushinda njaa!!Israel anafuta uteja ili aonekane kajibu , wale wanaomuita Taifa la Mungu waendelee kupata matumaini ....Israel anamjua iran ndio maana hapigi hovyo kama Gaza .
Sasa hivi, Iran kashavutiwa waya na USA kwamba asimlipize Israel na pia atangaze kwamba kapata hasara ili ionekane iran imepigwa ...Propaganda inayotumika hapa ni kubwa ila ukweli israel hana uwezo maana Hezbollah wamemshinda .
Very effective ziliangusha ndege ngapi za Israel? Mambo kama haya mlikuwa mnawaramba miguu Hezbollah na kuwasifia sana lakini sasa hivi tunawaona wanachezea kichapo kila siku na uongozi wao wote wa juu sasa hivi nasikia walishapewa wale mabikira 72. Ni aibu kundi lilikuwa linasifiwa sasa hivi linachakazwa hivyo!!!Binafsi nimeshangazwa na uwezo wa hizo air defenses aina ya bavar, baada ya muda tutasikia nchi nyingine zikihitaji hio mifumo...
Air defenses zao zilikuwa very effective...
Ushauri wako ni mzuri. Lakini haimaanishi kuwa Israel wako vizuri zaidi ya Iran. Kila silaha unazoziona pale Israel, 95% zinatoka katika nchi zaidi ya 5. Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada, Uholanzi nk. Pengine hata na majeshi yao yapo katika jeshi la Israel maana wote ni wazungu, so kujipenyeza na kujifanya waisrael ili wapambane tu na nchi 1 (Iran) ni rahisi.Iran watulie...
1-Waelekeze nguvu kuunda bomu la nyuklia
2-Wajenge jeshi Lao la Anga wanunue na wawekeze katika kuunda jet za kisasa (ikiwezekana wafanye reverse engineering kwa ndege watakazo zinunua) , marubani wao wapewe uzoefu wa combat angani.
3-Shirika Lao la ujasusi zianze kutumia mbinu kama za kagame, kwanza zimu eliminate yule Mfalme uchwara anae pigiwa chapuo na nchi za magharibi.
4-Awape siraha za kisasa proxies zake, yeye ajijenge aache hezbollah na wengine wamfanyie kazi chafu.
5-Atumie fursa ya BRICS vizuri kujenga connection mpya za kiuchumi, teknologia na kijeshi.
Kwani Israel ilipoenda kulia lia kwenye baraza la UN baada ya kushushiwa kichapo na Iran wewe ilikuwa bado haujafika mjini, au ulikuwa bado haujanunuliwa sim?Sasa kama Iran haikupata madhara kama Wairan wa Buza mnavyodai, kwann imeenda kulialia kwenye Baraza la Usalama la UN kwa tukio hilo?!.
Hakuna madhara so ingepiga kimya, simpo mbona!.
Madhara YAPO, ila kwa Iran sahau kuona picha...media za Iran itayoripoti na kutoa picha za shambulio hilo imekula kwake!!.
Hili nalifahamu na ndio maana niliona itapendeza kama wakijikita katika kujijenga...Ushauri wako ni mzuri. Lakini haimaanishi kuwa Israel wako vizuri zaidi ya Iran. Kila silaha unazoziona pale Israel, 95% zinatoka katika nchi zaidi ya 5. Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada, Uholanzi nk. Pengine hata na majeshi yao yapo katika jeshi la Israel maana wote ni wazungu, so kujipenyeza na kujifanya waisrael ili wapambane tu na nchi 1 (Iran) ni rahisi.
Yani ni kama vile Iran yenyewe inapambana na nchi zaidi ya 6 na bado iko vizuri. Kama hizo nchi zingeiwekea vikwazo Israel kama walivyoiwekea Iran, au kuinyima msaada wa silaha na jeshi japo kwa miaka miwili tu. Saa hizi ndo mngeuona uhalisia wa ubovu wa Israel. Nina imani isingekuwa na uwezo wa kupambana hata na Congo. Ila kwa vile kila kitu kuanzia silaha, jeshi, bajeti, madawa nk vinatoka Ulaya na Marekani ndomaana mnawaona wanajitutumua kuwa wanaweza kumbe ni chapa nyau tu.