Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

HAYO MANENO ALIYOSEMA AMESOMA HADITHI YA MTUME SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM...NA ALIFUNDISHA HILO DARSA PENGINE MUDA SANA KABLA HAJAWA HATA SHEIKH WA MKOA..NA KABLA HAJAWA RAIS.
Quran inabadilika ukiwa Shekhe wa Mkoa?
 
Chief usifanye kana kwamba hizo bodi hatuzijui mzee.
Na hicho ni kielelezo tu cha nyaraka za kuhitaji uhalali wa kutambulika kiserikali ila ukweli unafahamika.

Labda kwa swali jepesi tu.
Bodi ya kanisa la Zumaridi linaweza kumuengea yeye akienda kinyume na maandiko...?
Na kama wanaweza naomba unipe mfano wa kanisa moja tu lililowahi kufanya hicho kitu.
T Tunajua halipo haizidi haipungui pale mwana bodi atakapoleta hoja ya kumpinga kiongozi wa ni kutolewa yeye au kufukuzwa kwenye kanisa hilo kama tulivyoona kule Kenya na ha Tz na makusanyo ya sadaka zote yeye ndio huwa mpokeaji na ndio maana ni nadra kumkuta mfuasi akimpita kiuchumi mchungaji wa kanisa lake.

Hayo yako kinyume kwenye uislamu waliposhitumiwa akina Sheikh Mselem kule Zanzibar na masheikh wengine walikamatwa wao kama wao kwa kuwa wale hawana misikiti iliyopo chini yao hata kama wanatambulika kama maimamu.
Na ikitokea msikiti unafungwa ziko hali zinazopelekea ukiachana na za usajili yaweza ikawa kuhusishwa na mafunzo yasiyo ya uislamu wa sawasawa na kubebeshwa fikra za kiasi.
 

Inaelekea hiyo ndiyo sababu ya akina Bashiru, Ndugai na Majaliwa kutaka kufanya kauzibe.
 
Yupo sahihi kabisa, hata Marekani wanajua ndio maana waliwakataa bi clinton na posi.
Na sisi hapa nchini tumeshaona athari zake...ila wanufaika wachache na chawa wao ndio wanaotukosti!.
 
Sijawahi kuona sheikh mwanamke wala Imam?
Hivi wanawake hawasomi elm ya dini ya kiislam au wakisoma wanaishia cheo gani? Maana hata maustaadhi wengi ni vidume.
Mwanamke hawezi fundisha madrasah?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…