Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
siye huu, huyu ni kijana wa madrasashehe mkuu wa Dar es Salaam
Huyu baba aliona mbali!View attachment 3356219
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameonya wazi kwamba, ni vigumu mno kwa mwanamke kuwa mkuu wa Nchi na mambo yakaenda.
Huyo ndio shekhe wa DSM sasa hiviHii ya lini?.kwanza huyu siyo sheikh mkuu wa Dar
Vyovyote vile ila miskiti ifungiwe maana kazungumza msikitini.siye huu, huyu ni kijana wa madrasa
Bakwataccm ni Tawi la ccm pia Abas Tarimba ponjoro anawalindaVyovyote vile ila miskiti ifungiwe maana kazungumza msikitini.
Hayo ni maneno ya qoran Sasa hapo unapingaje?. Sasa Samia atapingana na qoran si anayajua haya maneno yapo. Na apo napo watamteka kwa kusema maneno ya kwenye qoran.siye huu, huyu ni kijana wa madrasa
Imeandikwa wapi kua mwanamke awezi kua Rais ?Mods: uzi huu usichanganywe na uzi wowote, Taarifa imfikie Msajili.
Ndugu Msajili tafadhali FUNGIA Misikiti yote Tanzania. Maneno ya huyu shehe mkuu wa Dar es Salaam ni yakihaini, ameonesha dharau kubwa kwa Mh. Rais, amechanganya dini na siasa.
Huwezi zungumza maneno kama haya msikitini, unadhani mama yetu atajisikiaje? Msimseme mama vibaya.
Miskiti yote ifungiwe, sheria ni msumeno.
View attachment 3356288
Kwahiyo Quran ndiyo inatumika kuongoza Tanzania?Hayo ni maneno ya qoran Sasa hapo unapingaje?. Sasa Samia atapingana na qoran si anayajua haya maneno yapo. Na apo napo watamteka kwa kusema maneno ya kwenye qoran.
Kama vipi waiteke qorun
Saa100 hafai kuwa RaisMods: uzi huu usichanganywe na uzi wowote, Taarifa imfikie Msajili.
Ndugu Msajili tafadhali FUNGIA Misikiti yote Tanzania. Maneno ya huyu shehe mkuu wa Dar es Salaam ni yakihaini, ameonesha dharau kubwa kwa Mh. Rais, amechanganya dini na siasa.
Huwezi zungumza maneno kama haya msikitini, unadhani mama yetu atajisikiaje? Msimseme mama vibaya.
Miskiti yote ifungiwe, sheria ni msumeno.
View attachment 3356288
nasema huyu siyo sheikh wa Mkoa, ndicho nilichomaanisha. Sina shida maneno hayo, ni sahihi as per quran.Hayo ni maneno ya qoran Sasa hapo unapingaje?. Sasa Samia atapingana na qoran si anayajua haya maneno yapo. Na apo napo watamteka kwa kusema maneno ya kwenye qoran.
Kama vipi waiteke qorun
Hivi JPM alikua mwanamke maana ata msamihati huu umetamalaki wakati wa JPM.hii mwisho wa maelezo. Kwa maana nyingine anasema ndo maana wasiojulikana wako juu zaidi ya malikia huku tajikstan?
Yeye kaongea kilichoandikwa Sasa wewe unaongelea kuongoza. Unajiona uko sawa?Kwahiyo Quran ndiyo inatumika kuongoza Tanzania?
Najua kuwa siyo wa mkoa pia. Je angetamka wa mkoa na kutamka kwa huyo ilo neno lingekua lingebadirika?. Na najua mkuu wa mkoa Wala mufti awawezi kulitaika ilo neno na wakiulizwa wanaweza kulikana pianasema huyu siyo sheikh wa Mkoa, ndicho nilichomaanisha. Sina shida maneno hayo, ni sahihi as per quran.
Content kwani imebadikika? Shekhe aulizwe kama maandiko yamebadilikoMbona mnachanganyikiwa hovyo ?
Clip ya stone age nnaleta Leo ?