Tutakufungia account mkuu.Saa100 hafai kuwa Rais
Kimeandikwa kwenye Katiba hipi?Yeye kaongea kilichoandikwa Sasa wewe unaongelea kuongoza. Unajiona uko sawa?
Hakunaga Shehe Mkuu wa Mkoa bali anaitwa Shehe wa Mkoa. Shehe Mkuu ni mmoja tu ambaye ni Mufti wa TanzaniaMods: uzi huu usichanganywe na uzi wowote, Taarifa imfikie Msajili.
Ndugu Msajili tafadhali FUNGIA Misikiti yote Tanzania. Maneno ya huyu shehe mkuu wa Dar es Salaam ni yakihaini, ameonesha dharau kubwa kwa Mh. Rais, amechanganya dini na siasa.
Huwezi zungumza maneno kama haya msikitini, unadhani mama yetu atajisikiaje? Msimseme mama vibaya.
Miskiti yote ifungiwe, sheria ni msumeno.
View attachment 3356288
Hakuna kanisa linalo milikiwa na mtu kwa taarifa yako. Kuna kitu kinaitwa bodi ya wadhamini hiyo ndiyo inamiliki kanisa au mskiti. Dhehebu lolote ili lisajiliwe lazima liwasilishe majina ya members wa bodi hiyo maana makanisa na misikiti imesajiliwa kama vyama vya kijamii.Siku nyingine unapaswa ujifunze kabla ya kuandika post yoyote.
Na hili liwe darasa tosha kwa watu wasiojua kama wewe itawasaidia.
Kwenye uislamu hakuna msikiti wa Sheikh Faridi au Sheikh Mazinge ikawa yyndio mmiliki kama ilivyo kanisa la Gwajima, Kanisa la Kakobe, kanisa la Zumaridi na mfano kama hayo.
Msikiti ukijengwa hata na mtu binafsi ukishaanza kutumika kiibada ujue huo ni mali ya waumini hata uchaguzi wa imamu wa msikiti hilo husimamiwa na waumini na sio mjenzi wa msikiti.
Kwa hiyo hata ingekuwa hayo maneno uliyoyashabihisha na uhaini yangekuwa ni kweli usingefungwa msikiti km msikiti bali mzungumzaji angewajibishwa yeye na sio misikiti yooote ya Dar.
Kwa sababu Sheikh Warid hamiliki msikiti hata mmoja Tz.
🤣Mbona mnachanganyikiwa hovyo ?
Clip ya stone age nnaleta Leo ?
Sasa nchi ya huyo Malkia ilifanikiwa?.Ethiopia ilitawaliwa na mwanamke kipindi cha nabii Suleiman.
Sikilizeni hiyo video mpaka mwisho sio kipande
Wewe wamekufanyia huo mchezo km yule binti wa Yombo walivyomfanya kwa maagizo ya Afande nanii?Na hawateki tu, wanahakikisha wanakulawiti
Afungiwe
hii clip si ya 2020 🤣Mbona mnachanganyikiwa hovyo ?
Clip ya stone age nnaleta Leo ?
Unajiekewa kweli wewe?. Sasa maneno yameandika kwenye Quran wewe unasema kwenye katiba ipi?. MUNGU ANA KATIBA?. Mkitetea ujinga muwe mnaangalia. Sivyo mtaonekana wajinga sana. Yeye kazungumzia kilichoandikwa kwenye Quran. Wewe unazungumzia katiba wapi na wapi?Kimeandikwa kwenye Katiba hipi?
Wanawake watu wa hisia sana. Mood swings kila wakati. Sometimes wako sober very loving, Ghafla mood inaswing anakuwa na mahasira depression, visasi.
Pengine ndiyo maana huyo bibi yenu sometimes anaongea kama mtu anayejali, mwenye huruma. Ghafla baadae kidogo tunasikia watu wanatekwa, kupotezwa, kuuawa na Havikomi.
Bora JPM baada ya kupotea Ben Saanane na kupigwa risasi Lissu, akabadili tactic, akaanza kununua wapinzani zaidi kuliko kujaribu kuwauwa.
Ila huyo bibi yenu haambiwi hasikii, ni mwendo wa kuteka kuteka, kuteka, kuteka na kudedisha watu yaani haiskii kauli ya askofu wala nani, watu wanauawa mtindo mmoja kama vampire!. Utadhani ana hobby ya kunywa damu za watu
Na hawateki tu, wanahakikisha wanakulawiti. Ushetani wa hali ya juu.
Sheikh yuko sahihi
Kesi ya UHAINI haina expire date mkuu, sheria tulitunga wenyewe, lazima awajibike kwa upuuzi huu.hii clip si ya 2020 🤣
adriz nini maoni yako juu ya maelezo ya sheikh?Mbona mnachanganyikiwa hovyo ?
Clip ya stone age nnaleta Leo ?
Ata bunge limekuwa la ovyo sanaView attachment 3356219
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameonya wazi kwamba, ni vigumu mno kwa mwanamke kuwa mkuu wa Nchi na mambo yakaenda.
hii sio Qur' an, bali ni hadithi ya MtumeHayo ni maneno ya qoran Sasa hapo unapingaje?. Sasa Samia atapingana na qoran si anayajua haya maneno yapo. Na apo napo watamteka kwa kusema maneno ya kwenye qoran.
Kama vipi waiteke qorun