Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

Hivi siku zimeisha? Mie Nina pens huwa navaaga shambani, sasa kupeleka ni chakavu Sana. Nimelitunza Tu hadi maduka nitinge nikiwa shamba. Wakinifumua poa tu lkn huku kwetu wajeda hawapo

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38], wanajeshi wapo everywhere..
 
Nazan wasi complicated mtu akivaa nguo zinazoendan na jeshi kwa 95% full uniform ndio achukuliwe hatua na jeshi la polis I

Sio umevaa tuu singilend yako ya mtumba ambayo inamabak tuu wakukamate tupo Zama za kutumia akili sio nguvu


ILA waache wavae uniform zao waend KZN mapema
 
Kwann uvae mavazi ya kijeshi,mbona ya wafungwa hawavai.
Kwann uvae mavazi usiyohusika nayo.
Mbona hawavai maoveroli
 
Mkuu kwakuw umetoa Jasho ili uvae uniform za Jasho wengine wakivaa utaumia

Tafuta Ela babu
 
Kwann avae,mbona awavai ya mavazi ya mapadre au masister,au wafungwa.
 
Basi poa Kama nyinyi hamtaki tuvae nguo za mabakabaka,basi tutavaa kaunda suti za usalama wa Taifa tuone Kama nao usalama watatukataza!!
 
Mbona wauza Nyama wanavaa?
Wakiwa eneo lao la kazi yaani buchani Ile ni uniform ya kazi.
Sasa mtaani unavaa nguo ya jeshi why.
Au padre avae mavazi ya kipadri kwenye daladala au kahaba mavazi ya kazi yake kanisan.
Kila vazi na kazi yake
 
ELIMU.
Kujion special .
Kutak kila mtu awe chin Yao...

.tusake Ela
 
Ndio maana mwigulu nchemba ndiye mzalendo namba moja tz
 
Hata rangi ni nembo,
 
Sikulaumu ndio matunda ya upe na shule za kanumba, mtaji mkubwa wa watawala wa nchi hii,upumbavu mkubwa kwa middle class, soma hii tena jwtz combats
Mwanajeshi hana uwezo wa kupiga raia?
Unaongea ukiwa nchi gani
Ukiwa kwenye nchi ambayo mwanajeshi anapiga raia,elewa unaishi in a shithole country
 
Kwani hao wezi kwenye ripoti ya CAG wanavaa sare za jeshi? Mnaacha uhalifu wa maana, mnahangaika na mambo madogo madogo ya mavazi.
Acha kunililia. Mimi sio CDF. Kama vipi Vaa hizo sare zao kisha pita pale Lugalo
 
Mambo ya Kishamba tu.... So Mtu akivaa Tshirt ama Pensi lake la Mabaka... akivunja dirisha nyumbani utamuangalia tu......
Umeona eeh! Ni ujinga na ushambat tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…