Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

Wanashindwa kuzuia DP World wasitwae mipaka ya bandarini, wao wako busy na petty issues.

Jeshi ambalo haliwezi kutengeneza gobole lake lenyewe linang'ang'ania vitu vidogovidogo. Eti sare za jeshi!.

Yaani katika mambo yooote ya msingi, Wananchi wanaonewa huko ngorongoro, bandari zinauzwa, wananchi wanauawa na TANAPA na kutupwa ziwani. Wao wanaona sare za jeshi ndo big issue?.

Tuombee Kagame asitest vitu hapo mpakani, lakini kama ndiyo hivi sijui kama tutatoboa. Asubuhi na mapema atakunywa chai Kahama, Lunch singida mjini!
 
Ishu no Jeshi kupakwa matope kwa matukio y ajabu.
Matope wamejipka wenyewe kwa kuhagaika na vitu vya kitoto kama mavazi. Bas libadili jina lijulikane kama Jeshi la Nguo Tanzania
 
Mbona wanaleta nongwa hata nikivaa tshirt ya us camouflage.
 
Huyu anayesema ni ushamba hsikosi ni jambazi hutumia camouflages wakati wa matukio. Anadai eti enzi "hizi", enzi zipi? Riffraff!
Kwahiyo mwenye camouflage anapaswa kufanya matukio? Hoja za uchoko kabisa hizi.

Kazi ya jeshi siyo kupambana na matukio, bali ni kuzuia matukio yasitoke. Tuko likitokea ujue jeshi limefeli hapo.
 
Anaongea bila kufikiri huyo ,anaweza akavaa tu mtu t-shirt kama y bakabaka yuko kweny Gari akasimamishwa n traffic asisimame, hapa mtakuja kusema mjeda kakataa kusimama.
Ondoeni ushamba na ujinga huo kwa raia kwa kuwapatia elimu
 
Mkuu una ushauri mzuri tu ila umeuleta kusiko huku. Unaonaje ukatinga makao makuu yao ukatoa maoni yako huko. Naamini watakushuru sana!
 
Sisi bado tunahitaji maji safi na salama pia tunahitaji umeme wa uhakika na mengineyo kibao !
Hatuhitaji sare za majeshi yetu tuvae kisha wengine wakafanyie utapeli !!
Sio kila kinachofanywa na wale wehu wa huko majuu na sisi tuige ! Big NO !!!
 
Majeshi yako Gabon , Liberia, Niger, Burkina Faso na Mali. Huku kwingne wapo mafashenista wanaolinda brand ya nguo zao
 
Kwa hiyo mkuu mavazi yote yameisha Hadi upende mavazi ya jeshi.Watu wanatumia mavazi ya jeshi kwenye ujambazi,utapeli hilo hujaniona.Pia ile ni identity mkuu
 
Unataka tuwapende hawa wenye vitambi wanaojipwmbambanua kw mavazi na siyo mafunzo? Ukiona mjeda anatumia nguvu sana kugombana na raia wake kuhusu mavazi ujue hajaiva ktk mafunzo
 
Hujui umuhimu wa hilo kaa kimya, ni hatari
Hatari yake nn? Inamaana jeshi linnategemea rangi ya nguo ktkkfanya kazi zake. Basi ujue Lina mafunzo ya hovyo hovyo kabisa. Ndiyo maana Wana vitambi
 
Kwa hiyo mkuu mavazi yote yameisha Hadi upende mavazi ya jeshi.Watu wanatumia mavazi ya jeshi kwenye ujambazi,utapeli hilo hujaniona.Pia ile ni identity mkuu
Mpk ujambazi unapangwa na kufanyika jeshi linakuwa limeenda wapi? Kazi ya jeshi ni kuzuia uhalifu siyo kupambana na mtukio ya uhalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…