Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mungu akulinde dhidi ya bin aadamu wenye husdarodrick alexander,
Unataka kujua mahesabu ya serikali ya muungano? Unasema Zanzibar haichangii, sasa nikuulize Tanganyika inachangia wapi? Ninayo iyona mie ni serikali ya muungano na kuna serikali ya Zanzibar.
Halafu ipo sheria ambayo imetoa mamlaka serikali ya muungano kufungua account ya pamoja ili mapato yote ya muungano yaingie huko. Leo ni zaidi ya mwaka wa kumi hakuna account.
Tatu, katika bank kuu ya Tanzania,bot, Zanzibar inatakiwa ipatiwe asilimia 11 , hivi serikali ya muungano inaipa Zanzibar 4.5 , suali, kwa kipindi gani Zanzibar haijapokea hio fedha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha wataliano wamejaa huko wanajifanya wanauza mpaka na simu kumbe wanapiga dili nyingine ndefu ndefu.Alafu hizi ni dharau za kiunguja unguja wapemba hawana hayo mambo.
Tuwauzie Waitaly hiko kisiwa tubaki na Pemba
Ukweli ni kwamba ili zanzibar ilipe umeme tanganyika ifufuke kwanza tuanzie hapo.Mungu akulinde dhidi ya bin aadamu wenye husda
Safi sana wameanza kujitambuaShirika la umeme la Zanzibar limekiri kudaiwa na shirika la umeme TANESCO deni la shilingi bilioni kumi lakini limesema halitalipa bali deni hilo litalipwa na Serikali ya muungano.
Limesema Serikali ya muungano inadaiwa na Serikali ya Zanzibar kwa hiyo watakatana hukohuko.
Kwanza haijulikani ni deni gani ambalo Serikali ya muungano inadaiwa na Zanzibar. Pili kwa muda mrefu inasemekana Zanzibar imekuwa haichangii gharama za kuendesha Serikali ya muuungano. Tatu kama kweli Serikali ya muungano inadaiwa na Zanzibar ni vema ikaweka hadharani deni hilo.
Watanzania bara tumekuwa tukipandishiwa umeme huku upande wa pili hawalipi hapo ndio utaona umuhimu wa serikali tatu.
Chanzo: Habari ya ITV
Na wathubutu waone. HahaahahahahahZanzibar imeshasema wazi kuwa hilo deni la umeme hawatalipa hata senti tano.
Sasa TANESCO kama ni wanaume wazime huo umeme na sio kubwabwaja tu. Meko alishawapa go ahead TANESCO kuzima umeme kwa taasisi yoyote ya umma inayodaiwa na TANESCO.
Tunataka vitendo sio maneno.
Imagine utokee uasi halafu waasi wapewe hifadhi hapo zenjiber na ilindwe na beberu marekani.Kweli kabisa.
Hatung'oi nyaya abadan, mnakataa kutulipa tunayowadai sasa na Sisi tutautumia umeme kinguvu. Kama kweli mnajifanya vichwa maji hebu kateni umeme muone tutakachowafanyaMiradi nayogharamiwa na JMT je.
Pili, hao Zanzibar wanadai misaada, hizi nifikra za kijinga sana. Hiyo misaada wanapewa sehemu yake.
Kwa mfano, bajeti ya SMZ inapata ruzuku ya JMT.
Pili, Wazanzibar hawajui malipo ya deni la taifa hata siku moja, na hutawasikia wakiongelea kulipa madeni utawasikia misaada
Tatu, gharama za JMT zinabebwa na Watanganyika hadi kuwalipia wabunge wao na mengine yasiyosemwa kwa stara
Nne, misaada gani mbona hamhoji watoto wenu kupewa ''mikopo'' ya elimu ya juu bure tena wengi kuliko wa SMZ?
Tano, mnachangia kiasi gani bajeti ya JMT?
Sita, hamna bajeti ya ulinzi, mambo ya ndani, nje n.k. Hiyo bajeti ya jeshi tiu hamuwezi hata kwa wiki 3
Saba, kila mwezi mnapata mgao wa benki kuu ambao kimsingi ni mapato ya Tanganyika.
Ngo'eni nyaya za umeme, tafuteni umeme wa upepo au meli.
Hizi habari za kuwabebesha raia wa Buguruni zigo la SMZ zifike mwisho.
Raia wa Mbagala analipa LUKU , SMZ haitaki kwasababu haitaki tu. Hii ni fedheha wala si aibu.
Raia wa Bunju anajua wajibu wake kwa familia yake kwa kulipa umeme, halafu anabebeshwa zigo la Zanzibar! Shame on you. Haya si mambo ya kuzungumzia Wazanzibar, yanawaacha ..ashakumu
Msisumbuke kutoa taarifa, acheni kununua umeme wa Tanesco, ugomvi hakuna
Kwani kinachoangaliwa ni umri au kinachoangaliwa ni hoja??? Suala la miaka zaidi ya 10 Zanzibar kuwa haijiwezi ni suala la kishabiki maandazi na sana sana hoja za msema peke.Wewe mtoto mdogo sana. Hivi hujui kwamba kwa miaka zaidi ya 10 SMZ ilikuwa haijwezi.
Muulize komandoo, muulize Basil Mramba, Muulize Rais Kikwete, muuliza Shamsa Vua n.k.
Kile kifaa cha umeme cha bilioni 5 si mlikaa miezi 3 baada ya Kikwete kuwaacha na mambo yenu.
Shamsa Vuai alikuja kuhemea , muulize. Mishahara ya SMZ ilitoka hazina Dar! Komandoo Salimin anajua vema
Hizi hadithi za bank kuu ni za kitoto sana. Leo ikipigwa hesabu kamili mtauza kisiwa.
Ni hivi bwana mdogo, bilioni 10 za umeme ni nyingi sana ZNZ huku bara ni kodi za TBL. Umeelewa?
Tunachokataa hapa ni SMZ kutumia umeme halafu kutaka mwananchi wa Nzasa alipe starehe zao.
Yapo ya kunyamaza hili la umeme ni fedheha sana. Yaani mwananchi wa Sinza anajua wajibu, SMZ haijui maana ya bill
Hapa ndio mshangao mkubwa ulipoKwanini wasiachiwe kabisa badala ya kufanywa mkoa? Huoni kama Tanganyika ndio inaihiyaji Zanzibar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ya nini muwang'ang'anie???emu tumia akili watu milioni karibia 60 tutegemee watu hawafiki 3m na cha muhimu apo znz n nn yani tunganganie ungekuta hata watu wake n vichwa au wachapakazi sawa ila huku mtaa wa Zanzibar wapo wengi na ni mamwinyi tu hawajui hata kujishuhulisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nchi inaitwa Tanganyika?? Mbona mkiitwa watanganyika hamtaki???Tanganyika ni nchi pekee yenye Koloni Africa.
Yaani wanajisahaulisha sana hili.Kujishukhulisha sio lazma kulima na kuranda na nyungo mitaani, au kufanya kazi nzito, Zanzibar ilikuwepo kabla ya muungano na ilikuwa na maendeleo makubwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatung'oi nyaya abadan, mnakataa kutulipa tunayowadai sasa na Sisi tutautumia umeme kinguvu. Kama kweli mnajifanya vichwa maji hebu kateni umeme muone tutakachowafanya
Nilimdharau sana aliposema eti mikopo tunapewa bure.Duuh mikopo ya elimu ya juu bure? tena wengi kuliko watanganyika? are you serious? Kwanza tambua suala la elimu ya juu ni Muungano hivyo Wazanzibar wana haki ya kupata mikopo pia na wala sio ihsani au kuwa wanapewa bure ni mkopo. Mimi now nakatwa 15% of my salary, cjui unaposema bure unamaanisha nini. Ni kweli Zanzibar hawawezi kuhudumia jeshi la Tz sio siku tatu bali hata siku moja, kwanini iweze kuhudumia jeshi la Tz yote wakati sehemu yake ni ndogo tu. La muhimu ni kwamba Zanzibar ina uwezo wa kuhudumia jeshi lake lenyewe kama itajitenga coz itakuwa ni budget ndogo kulingana na ukubwa wa nchi. Na tambua hata baada ya Muungano Zanzibar ilikuwa na jeshi before merged. Mnakopa nyinyi kwa kivuli cha Muungano na kutekeleza miradi yenu mikubwa then why should Zanzibar bothers about the dept? Tunatoa taarifa kusudi kuwa hatutalipa umeme iki kufikisha habari ya kuwa Muungano hatuutakiiiii. Kama vipi kateni tu si mnao nyinyi huko.
Hatari sana. Yaani wewe unanyonywa halafu umemng'ang'ania mnyonyaji?? Hii ni ajabu yakheHuu muungano ni miongoni mwa mambo ya kipumbavu sana nimewahi kuyashuhudia maishani mwangu.
Anayenyonywa ndiye kamng'ang'ania mnyonyaji!!
Kujilinda na nini??? Acheni story za vijiweni hukoMtera iko Zanzibar? Halafu kila siku wanataka muungano ufe. Wana Resources za kujilinda?
Akikujibu nishtue mkuu.unaijua idadi ya watanganyika walioko Zanzibar?
Pumbaaaaavu.Kiusalama ni lazima iwe chini ya tanganyika daima!
Na ukitokea uasi halafu waasi wapewe hifadhi Burundi??Imagine utokee uasi halafu waasi wapewe hifadhi hapo zenjiber na ilindwe na beberu marekani.
Kwa usalama wa tanganyika tunaihitaji zenji
Sent using Jamii Forums mobile app