Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Wana justify upigaji... overtime...Sasa hili la kuweka siku ya mapumziko ilimaanisha nini?
Rais Samia baada ya kuhesabiwa, amezungumza, na Kamisaa wa Sensa, Spika Mstaafu Anne Makinda pia amezungumza, na kusema zoezi la sensa litadumu kwa siku 7, hivyo makarani wa sensa wasipopita kwako leo, watapita kesho au keshokutwa, acha majibu ya dodoso la sensa kisha endelea na shughuli zako.
P
Saa hizi TBC Sensa Live iko Kwa VP Dr. Mpango
P
Nyie ndiyo Chawa per se, so what Rais kuhesabiwa? Unamuona Rais Kama Mungu Yesu kwa akili zako ninavyozisoma. Samia kahesabiwa, Basi la ajabu Ni lipi?Wanabodi
Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!.
Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa.
Wana JF, let's share different experiences za sensa na muendelezo wa zoezi la Kuhesabiwa toka maeneo tofauti tofauti. Mimi niko home kwangu hapa maeneo ya Tandale kwa Mtogolo ambapo nimepanga ubazi mzima, nawasubiria kwa hamu na shauku kubwa makarani wa sensa wananifikie, na kwavile tuna taarifa ya ugeni huu, kama jadi ya Uafrika, tumewaandalia chai ya rangi na vitafunwa vya huku kwetu Uswazi, chai na chapati, vitumbua na maandazi. Chai ya maziwa na Vitafunwa vya mitaa ya kishua ni keki, sambusa, mkate wa siagi na mayai ya kukaanga.
Bado nawasubiria makarani wa sensa, vipi wewe mwenzagu?. Tuhabarishane na kupashana kuhusu zoezi hili.
Paskali
Haujui leo ni Planters Day off siku ya mshahara!Sasa hili la kuweka siku ya mapumziko ilimaanisha nini?
Afrika ni asilimia 60 au 70 ndiyo uzalia hospitali na waliobaki uzalia majumbani huko.Kiafrika mambo ni tofauti sana mkuu.Hivi nchi zilizoendelea wanahesabiwa hivi kama mifugo? Ukiwa na data za watu waliozaliwa, waliokufa, walioingia na kutoka nchini, siyo kwamba inabaki issue ya simple mathematics tu hapo?
Nilijua nashangaa mm tuNafikiri tumeipa uzito sana wakati hakuna kitu.
Amerudi toka Angola ili ahesabiwe kisha anakwea pipa kurudi Angola, hapo utakosaje kushaini.Saa hizi tuko live kwa Mzee wa Msoga, JK!. Looking shining and radiant.
P
Ni maswali ya kawaida tu,Hadi kubeti ni shughuli kumbe,Ila ni sensa flani iko deep sanaHalafu ilipaswa kuwe na maswali kama 15 hivi basic ili kuondoa usumbufu wa maswali 100 yasiyo na maana.
Imetoa maelfu ya ajira kwa makarani na imewainua kiuchumi walioiuzia vifaa serikali.Nitajie faida ya sensa
Kwani kipi cha ajabu?Wanabodi
Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!.
Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa.
Wana JF, let's share different experiences za sensa na muendelezo wa zoezi la Kuhesabiwa toka maeneo tofauti tofauti. Mimi niko home kwangu hapa maeneo ya Tandale kwa Mtogolo ambapo nimepanga ubazi mzima, nawasubiria kwa hamu na shauku kubwa makarani wa sensa wananifikie, na kwavile tuna taarifa ya ugeni huu, kama jadi ya Uafrika, tumewaandalia chai ya rangi na vitafunwa vya huku kwetu Uswazi, chai na chapati, vitumbua na maandazi. Chai ya maziwa na Vitafunwa vya mitaa ya kishua ni keki, sambusa, mkate wa siagi na mayai ya kukaanga.
Bado nawasubiria makarani wa sensa, vipi wewe mwenzagu?. Tuhabarishane na kupashana kuhusu zoezi hili.
Paskali
ππ€£π ππππππππππ
Nimedhani live ukiwa chamwino kumbe kwenye tv!!!
Ila mkuu P, siasa nenda nazo polepole.
Hazitaki haraka. One day yes.
Kuna wazee wanapata fursa baada ya kustaafu (60+yrs) so, kikubwa uzima!
Muhimu, epuka kusifiasifia hata visivyofaa kusifiwa! Kuwa ndani ya CCM au kumkubali kiongozi fulani, haimaanishi kuunga mkono kila kitu!
Hivyo vifaa 100% ni msaada.Imetoa maelfu ya ajira kwa makarani na imewainua kiuchumi walioiuzia vifaa serikali.