Shuhudia Sensa Live Kupitia TBC, Nimeshuhudia Live Rais Samia Akihesabiwa. Let's Share Experiences za Sensa na Zoezi la Kuhesabiwa Toka Maeneo Tofauti

Shuhudia Sensa Live Kupitia TBC, Nimeshuhudia Live Rais Samia Akihesabiwa. Let's Share Experiences za Sensa na Zoezi la Kuhesabiwa Toka Maeneo Tofauti

Rais Samia baada ya kuhesabiwa, amezungumza, na Kamisaa wa Sensa, Spika Mstaafu Anne Makinda pia amezungumza, na kusema zoezi la sensa litadumu kwa siku 7, hivyo makarani wa sensa wasipopita kwako leo, watapita kesho au keshokutwa, acha majibu ya dodoso la sensa kisha endelea na shughuli zako.
P

Kwenda zake kule mnafiki mkubwa wewe !
 
Wanabodi
Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!.

Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa.

Wana JF, let's share different experiences za sensa na muendelezo wa zoezi la Kuhesabiwa toka maeneo tofauti tofauti. Mimi niko home kwangu hapa maeneo ya Tandale kwa Mtogolo ambapo nimepanga ubazi mzima, nawasubiria kwa hamu na shauku kubwa makarani wa sensa wananifikie, na kwavile tuna taarifa ya ugeni huu, kama jadi ya Uafrika, tumewaandalia chai ya rangi na vitafunwa vya huku kwetu Uswazi, chai na chapati, vitumbua na maandazi. Chai ya maziwa na Vitafunwa vya mitaa ya kishua ni keki, sambusa, mkate wa siagi na mayai ya kukaanga.

Bado nawasubiria makarani wa sensa, vipi wewe mwenzagu?. Tuhabarishane na kupashana kuhusu zoezi hili.

Paskali
Nyie ndiyo Chawa per se, so what Rais kuhesabiwa? Unamuona Rais Kama Mungu Yesu kwa akili zako ninavyozisoma. Samia kahesabiwa, Basi la ajabu Ni lipi?
 
Saa hizi tuko live kwa Mzee wa Msoga, JK!. Looking shining and radiant.
P
 
Hivi nchi zilizoendelea wanahesabiwa hivi kama mifugo? Ukiwa na data za watu waliozaliwa, waliokufa, walioingia na kutoka nchini, siyo kwamba inabaki issue ya simple mathematics tu hapo?
Afrika ni asilimia 60 au 70 ndiyo uzalia hospitali na waliobaki uzalia majumbani huko.Kiafrika mambo ni tofauti sana mkuu.
 
Je Wazazi wa karani aliyemhesabu Samia walifunga ndoa ya aina ipi?

1. Ndoa ya kimila
2. Ndoa ya kiserikali
3. Ndoa ya Dini
4. Hawakufunga ndoa
5. walitoroshana

KAMA WALITOROSHANA NENDA SWALI LINALOFUATA
 
Sasa live imehamia Ruagwa Lindi nyumbani kwa PM, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.
P.
 
Wanabodi
Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!.

Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa.

Wana JF, let's share different experiences za sensa na muendelezo wa zoezi la Kuhesabiwa toka maeneo tofauti tofauti. Mimi niko home kwangu hapa maeneo ya Tandale kwa Mtogolo ambapo nimepanga ubazi mzima, nawasubiria kwa hamu na shauku kubwa makarani wa sensa wananifikie, na kwavile tuna taarifa ya ugeni huu, kama jadi ya Uafrika, tumewaandalia chai ya rangi na vitafunwa vya huku kwetu Uswazi, chai na chapati, vitumbua na maandazi. Chai ya maziwa na Vitafunwa vya mitaa ya kishua ni keki, sambusa, mkate wa siagi na mayai ya kukaanga.

Bado nawasubiria makarani wa sensa, vipi wewe mwenzagu?. Tuhabarishane na kupashana kuhusu zoezi hili.

Paskali
Kwani kipi cha ajabu?
Katika umri ulionao kipi kimebadilika au ndiyo Mara yako ya Kwanza kuhesabiwa?
 
Sasa live ya Sensa iko nyumbani kwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud.
P
 
😄😄😃
Nimedhani live ukiwa chamwino kumbe kwenye tv!!!

Ila mkuu P, siasa nenda nazo polepole.
Hazitaki haraka. One day yes.
Kuna wazee wanapata fursa baada ya kustaafu (60+yrs) so, kikubwa uzima!
Muhimu, epuka kusifiasifia hata visivyofaa kusifiwa! Kuwa ndani ya CCM au kumkubali kiongozi fulani, haimaanishi kuunga mkono kila kitu!
😂🤣😅😆😁😄😄😃😀😀
Paskal Hawezi Kuacha Kudemka Wakati Wote Analipuka Tu
 
Back
Top Bottom