Shuhudia Sensa Live Kupitia TBC, Nimeshuhudia Live Rais Samia Akihesabiwa. Let's Share Experiences za Sensa na Zoezi la Kuhesabiwa Toka Maeneo Tofauti

Rais Samia Suluhu ni kiongozi wa mfano sensa ni kwa maendeleo ya jamii tunasubiri kuhesabiwa kama Rais Samia Suluhu alivyosema hatutahesabiwa wote leo usipohesabiwa leo utahesabiwa siku nyingine maana sensa itakaa siku 6
 
Bwana Paskali hili lakukwepa kuweka kipengele cha dini unalitazamaje? Hizi hofu tulizojengewa kwamba kutaleta udini ni kweli inamantiki? Huko kwenye Taasisi za kifedha hutuuliza dini zetu kwanini?
 
Bwana Paskali hili lakukwepa kuweka kipengele cha dini unalitazamaje? Hizi hofu tulizojengewa kwamba kutaleta udini ni kweli inamantiki? Huko kwenye Taasisi za kifedha hutuuliza dini zetu kwanini?
We mpumbavu kweli ukijua dini ya mtu ndio serikali itawajengea misikiti na makanisa au?

Toa zaka na michango kwa kula mawe ili mjenge makanisa na misikiti

Mbona wenzenu kule Posta wahindi kwenye temple na Misikiti yao wanaagiza mpaka chanjo ya korono kwa pesa zao toka uingereza

Mwanzoni tu Mama Samia alipokubali chanjo wahindi kwenye temple zao waliagiza Astrazaneka
 
Nakupuuza kama baba yako alivyompuuzi
 
📸Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe. Said Mtanda ahesabiwa Sensa Jana, atoa ujumbe kwa Wana- Arusha wote na Watanzania

Your browser is not able to display this video.
 
Mimi ni sekta binafsi, nimejiajiri.
Juzi nilishinda home, sikuhesabiwa!.
Jana sikutoka, sikuhesabiwa!.
Leo sijatoka, sikuhesabiwa!.
Kesho sitoki mpaka nihesabiwe!.
Vipi wenzangu mmehesabiwa?.
P.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Update
Hatimaye siku ya mwisho ya sensa na mimi nimehesabiwa!.
Pia nimemsikia Kamishna wa Sensa, Anna Makinda, ametoa tangazo kuwa yeyote ambaye hajahesabiwa, aende ofisi ya serikali ya mtaa wake, akaripoti kuwa hajahesabiwa na kuacha contact number yake, hivyo makarani wa sensa watampigia na kumfuata kumhesabu, hivyo sasa ni Watanzania wote wenye simu ndio watahesabiwa. Ikitokea wewe ni Mtanzania na hujahesabiwa, na hauna simu, then sijui utahesabiwaje?!.

Ila pio dodoso la sensa, lime miss swali moja muhimu sana, na kwangu mimi hilo swali ndilo lenye umuhimu wa pili baada ya swali la kitambulisho cha taifa, hili ni dodoso kuhusu Tin Number na umiliki wa leseni ya biashara.

Nilibahatika kuhudhuria ile semina ya Prof. Hernando De Sotto kuhusu formalization of properties, kila Mtanzania anayefanya biashara yoyote, anapaswa kuwa na Tin Number, na leseni ya biashara ili kujua the tax base!. Kulikiwa ma maswali mengi kuhusu biashara, umachinga, ufugaji, uchimbaji madini but none is as important as tin number na leseni ya biashara!.
Tukisema Tanzania bado tunatatizo la upangaji vipaumbele vyetu, tutakuwa tunajionea Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!

Thanks kwa kuhesabiwa!.
P
 
Bwana Paskali hili lakukwepa kuweka kipengele cha dini unalitazamaje? Hizi hofu tulizojengewa kwamba kutaleta udini ni kweli inamantiki? Huko kwenye Taasisi za kifedha hutuuliza dini zetu kwanini?
Mkuu Jozee, Makala josee japo dini na kabila bado vinaulizwa kwenye RB za polisi ila hakuna swali la dodoso la dini au kabila kwenye sensa for just a good reason, to maintain political stability and tranquility, kuna dini au kabila wakijijua ndio walio wengi, wataanza ku demand equality in everything!. Mfano mimi ni Msukuma, tukagundua Watanzania tuko milioni 60 na kati ya hao Wasukuma ni milioni 20!. Then kupitia "the Sukuma Gang" tunaanzisha a movement to demand equality in deserving positions in every sector, kwamba kwenye kila Watanzania 3, mmoja ni lazima awe Msukuma!. Jee patakalika?.
P
 
Huu ni upande mmoja, kuna upande wa pili wa haki ya kupata Taarifa, lakini pia hili ni Taifa huru ni kwanini itazamwe hivyo? Tuna umri wa zaidi ya nusu karne tangu tulipojitoa maungoni mwa mabeberu wakoloni, wao ndio walifikia hatua hizi za kuminya baadhi ya taarifa, tungeacha tu huko ndiko kukua kwa taifa huru, Ahsante
 
Yes haki hii ya kupata taarifa bado ipo, jihesabuni huko kwenye nyumba zenu za ibada mjijumlishe mjijue mko wangapi ila msituletee demands za kutaka usawa kwenye kila kitu kiendane na idadi yenu.
P
 
Yes haki hii ya kupata taarifa bado ipo, jihesabuni huko kwenye nyumba zenu za ibada mjijumlishe mjijue mko wangapi ila msituletee demands za kutaka usawa kwenye kila kitu kiendane na idadi yenu.
P
Hahah Paschal unafeli wapi?, kwamba kuna mahali inabidi kuskip weledi ili kuitetea hofu! Hizi zinabaki kuwa ni nadharia tu huko Kwa wenzetu wanahesabiwa na hayajatokea haya, anyway zidumu fikra za mwalimu '

Pia naomba unisaidie sehemu ya pili ya Makala inayozungumzia maisha yako Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…