Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikiwa msaada kwani hauwezi ukaandika umenunua, hizo hesabu hawazisomi mwaka huu.Hivyo vifaa 100% ni msaada.
Bwana Paskali hili lakukwepa kuweka kipengele cha dini unalitazamaje? Hizi hofu tulizojengewa kwamba kutaleta udini ni kweli inamantiki? Huko kwenye Taasisi za kifedha hutuuliza dini zetu kwanini?Wanabodi
Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!.
Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa.
Wana JF, let's share different experiences za sensa na muendelezo wa zoezi la Kuhesabiwa toka maeneo tofauti tofauti. Mimi niko home kwangu hapa maeneo ya Tandale kwa Mtogolo ambapo nimepanga ubazi mzima, nawasubiria kwa hamu na shauku kubwa makarani wa sensa wananifikie, na kwavile tuna taarifa ya ugeni huu, kama jadi ya Uafrika, tumewaandalia chai ya rangi na vitafunwa vya huku kwetu Uswazi, chai na chapati, vitumbua na maandazi. Chai ya maziwa na Vitafunwa vya mitaa ya kishua ni keki, sambusa, mkate wa siagi na mayai ya kukaanga.
Bado nawasubiria makarani wa sensa, vipi wewe mwenzagu?. Tuhabarishane na kupashana kuhusu zoezi hili.
Paskali
We mpumbavu kweli ukijua dini ya mtu ndio serikali itawajengea misikiti na makanisa au?Bwana Paskali hili lakukwepa kuweka kipengele cha dini unalitazamaje? Hizi hofu tulizojengewa kwamba kutaleta udini ni kweli inamantiki? Huko kwenye Taasisi za kifedha hutuuliza dini zetu kwanini?
Nakupuuza kama baba yako alivyompuuziWe mpumbavu kweli ukijua dini ya mtu ndio serikali itawajengea misikiti na makanisa au?
Toa zaka na michango kwa kula mawe ili mjenge makanisa na misikiti
Mbona wenzenu kule Posta wahindi kwenye temple na Misikiti yao wanaagiza mpaka chanjo ya korono kwa pesa zao toka uingereza
Mwanzoni tu Mama Samia alipokubali chanjo wahindi kwenye temple zao waliagiza Astrazaneka
Taarifa zake zitapatikana kutoka kwa mkuu wa kaya au msimamizi wake wa eneo husika alipowenye ulemavu wa akili unawachukuaje taarifa?
Mimi ni sekta binafsi, nimejiajiri.Wanabodi
Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!.
Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa.
Wana JF, let's share different experiences za sensa na muendelezo wa zoezi la Kuhesabiwa toka maeneo tofauti tofauti. Mimi niko home kwangu hapa maeneo ya Tandale kwa Mtogolo ambapo nimepanga ubazi mzima, nawasubiria kwa hamu na shauku kubwa makarani wa sensa wananifikie, na kwavile tuna taarifa ya ugeni huu, kama jadi ya Uafrika, tumewaandalia chai ya rangi na vitafunwa vya huku kwetu Uswazi, chai na chapati, vitumbua na maandazi. Chai ya maziwa na Vitafunwa vya mitaa ya kishua ni keki, sambusa, mkate wa siagi na mayai ya kukaanga.
Bado nawasubiria makarani wa sensa, vipi wewe mwenzagu?. Tuhabarishane na kupashana kuhusu zoezi hili.
Paskali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanabodi
Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!.
Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa.
Wana JF, let's share different experiences za sensa na muendelezo wa zoezi la Kuhesabiwa toka maeneo tofauti tofauti. Mimi niko home kwangu hapa maeneo ya Tandale kwa Mtogolo ambapo nimepanga ubazi mzima, nawasubiria kwa hamu na shauku kubwa makarani wa sensa wananifikie, na kwavile tuna taarifa ya ugeni huu, kama jadi ya Uafrika, tumewaandalia chai ya rangi na vitafunwa vya huku kwetu Uswazi, chai na chapati, vitumbua na maandazi. Chai ya maziwa na Vitafunwa vya mitaa ya kishua ni keki, sambusa, mkate wa siagi na mayai ya kukaanga.
Bado nawasubiria makarani wa sensa, vipi wewe mwenzagu?. Tuhabarishane na kupashana kuhusu zoezi hili.
Paskali
UpdateWanabodi

Mkuu Jozee, Makala josee japo dini na kabila bado vinaulizwa kwenye RB za polisi ila hakuna swali la dodoso la dini au kabila kwenye sensa for just a good reason, to maintain political stability and tranquility, kuna dini au kabila wakijijua ndio walio wengi, wataanza ku demand equality in everything!. Mfano mimi ni Msukuma, tukagundua Watanzania tuko milioni 60 na kati ya hao Wasukuma ni milioni 20!. Then kupitia "the Sukuma Gang" tunaanzisha a movement to demand equality in deserving positions in every sector, kwamba kwenye kila Watanzania 3, mmoja ni lazima awe Msukuma!. Jee patakalika?.Bwana Paskali hili lakukwepa kuweka kipengele cha dini unalitazamaje? Hizi hofu tulizojengewa kwamba kutaleta udini ni kweli inamantiki? Huko kwenye Taasisi za kifedha hutuuliza dini zetu kwanini?
Huu ni upande mmoja, kuna upande wa pili wa haki ya kupata Taarifa, lakini pia hili ni Taifa huru ni kwanini itazamwe hivyo? Tuna umri wa zaidi ya nusu karne tangu tulipojitoa maungoni mwa mabeberu wakoloni, wao ndio walifikia hatua hizi za kuminya baadhi ya taarifa, tungeacha tu huko ndiko kukua kwa taifa huru, AhsanteMkuu Jozee, Makala josee japo dini na kabila bado vinaulizwa kwenye RB za polisi ila hakuna swali la dodoso la dini au kabila kwenye sensa for just a good reason, to maintain political stability and tranquility, kuna dini au kabila wakijijua ndio walio wengi, wataanza ku demand equality in everything!. Mfano mimi ni Msukuma, tukagundua Watanzania tuko milioni 60 na kati ya hao Wasukuma ni milioni 20!. Then kupitia "the Sukuma Gang" tunaanzisha a movement to demand equality in deserving positions in every sector, kwamba kwenye kila Watanzania 3, mmoja ni lazima awe Msukuma!. Jee patakalika?.
P
Yes haki hii ya kupata taarifa bado ipo, jihesabuni huko kwenye nyumba zenu za ibada mjijumlishe mjijue mko wangapi ila msituletee demands za kutaka usawa kwenye kila kitu kiendane na idadi yenu.Huu ni upande mmoja, kuna upande wa pili wa haki ya kupata Taarifa, lakini pia hili ni Taifa huru ni kwanini itazamwe hivyo? Tuna umri wa zaidi ya nusu karne tangu tulipojitoa maungoni mwa mabeberu wakoloni, wao ndio walifikia hatua hizi za kuminya baadhi ya taarifa, tungeacha tu huko ndiko kukua kwa taifa huru, Ahsante
Hahah Paschal unafeli wapi?, kwamba kuna mahali inabidi kuskip weledi ili kuitetea hofu! Hizi zinabaki kuwa ni nadharia tu huko Kwa wenzetu wanahesabiwa na hayajatokea haya, anyway zidumu fikra za mwalimu 'Yes haki hii ya kupata taarifa bado ipo, jihesabuni huko kwenye nyumba zenu za ibada mjijumlishe mjijue mko wangapi ila msituletee demands za kutaka usawa kwenye kila kitu kiendane na idadi yenu.
P