Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela
Mlifanya makubalia ya namna ya kutoa shukrani?! Kushukuru ni jambo jema.
 
Hii ni fursa nakwambia , ngoja tulete wandugu zetu mapharamacist, JF maboss wapo
 
Naelewa Sana, ila nime shangazwa na masharti mkuu.
 
Wakuu nawaomba hapa jf pawe mahali pa kufurahia.. I'm sorry kama nimewakera.
 
Huu mwezi ni ma doctor wa jf kupatwa.
Juzi tulikuwa heka heka na doctor na leo tena!

Hivi kama sisi wengine tungekuwa na sharti la kuanzishiwa uzi kwa yale tuyayo push wenzetu huko pm si jukwaa nzima linge jawa na nyuzi hizo!
 
Afutatu???!!! Unakula nini na familia? Hiyo hata prof janabi haimtoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…