Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

Tutake radhi wakatoliki kabla hatujaanza novena ya roho mtakatifu kwa ajili yako wewe na kizazi chako
Yaan badala uhangaike kunusuru kizazi na laana ambayo shule inatengeneza , wewe unahangaika kufunika uozo ,
kwa taarifa yako sasa uliza mkuu wa shule sister afifukuzwa kwa sababu gani.
Pili nakusihi ukapige magoti na kusali litani ya mama bikira maria kuombea hio shule shetani aliye juu yake atoke .
usali na sala ya mtakatifu inyasi
 
Kwahiyo wew nia yako ni kuharibu kabx an make kwa maelezo yako mtu akisom sidhan kama atampeleka mwanae kwny hio shule
hilo ni juu ya mzazi mwenye mtoto ampeleke au aache , na ni juu ya hio shule kuamua kujirekebisha au kupotezea
 
Unamiliki shule gani Dodoma we dada?
Maana inaonekana umetumwa kuichafua huruma girls coz ni kama ni mshindani mkubwa wa shule yako
Watanzania mnashida gani? yaan mtu anakwambia kwamba shati lako chafu , wewe badala usafishe shati lako unaanza kumtafutia reciprocal error mkosoaji wako kweli?
give me a break and pray for your school
 
Kumbe tetesi
 
Pumbavu!
 
shule za katoliki zinafundisha asikwambie mtu likizo hawana muda wa tuishieni kamwe,
pia wana taratibu zao wamejiwekea na kuwaeleza wazazi na kukubali kile shule kinahitaji pia usitegeme kama wanatabia ya kukumbatia mwanafunzi, wao ni taasisi na ni shirika pia mwanafunzi akisoma hapo hadi kidato cha tatu na kuhama lazima apate ufaulu kuanzia daraja la tatu kwenda juu huko aendako
 
Mkuu wewe utakuwa either mpishi au mlinzi wa shule sio kwahasira hizi
 
Mtu kama ww huna mtoto hapo shuleni na umekaa subuleni kwa shemeji yako ipo siku dada ako akichokwa utafuatwa ww
 
Huyo Jamaa atakuwa na lake Jambo.
 
Huna ishu wewe.
 
Nawewe umechotwa na fitina za mleta mada?
 
Nyoosha taarifa;
Waalimu wameondoka lini? Wangapi, na kwa muda wote ina maana ufundishaji ulisimama au shule haikutafuta alternative?

Juu ya tetesi za usagaji nyoosha maelezo yako maana hizi tabia za kukaa nyuma ya keyboard na bando lako isiwe sababu ya kufanya accusation ambazo hazina empirical evidence.
 
Hao wazazi kama wanajitambua wanawafuata watoto shuleni likizo zinapoanza.
 
Yaaa ina walimu wa kiume tena vijana tu hata mimi nilishangaa kwenye kikao cha mwisho nilienda kwa mdogo wangu
Acha uchimvi usiokua na maana yoyote. Aliyekuambia kuwa shule za kike hazina walimu wa kiume ni nani? Mbona mnahemkwa na ushamba namna hii. Wazazi wa kidot.com taabu kwelikweli.
 
Acha kuchafua shule kwa sababu zako unazozijua.
 
Wewe ni mfitini mkubwa. Unaandika kama vile shule inafundisha hivyo vitendo. Lazima kuna mahala mmekwaruzana na shule. Inawezekana umefukuzwa kazi au umeshindwa kulipa ada kwa wakati. Ni dhambi mbaya sana kuleta hadharani taarifa usizoweza kuthibitisha hasa kama hii inayoharibu image ya shule na kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…