Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

umewahi kusikia hao wengine wanataka wajue wako wangapi? Halafu ni wapi nimevutia upande mmoja bila ku balance? Wale huwa wanajisikiaga infirity complex kila nyanja kana kwamba wao ni unique kuliko wengine
 
Weka ile barua ya kwanza tuone imetoka wapi. Tofauti na hapo ulichomaanisha hakijakamilika.
 
Tukiwa shuleni, tulikuwa tunahesabiwa wanafunzi wa UKWATA (Protestants), TYCS(Katoliki), Wasababto na Waislam kwa kila darasa bila kuwepo na idhini ya kiserikali.

Sasa sijajua ni kwanini watu washangae sasa hivi wanafunzi kuhesabiwa tena kwa ruhusa na barua ya kiserikali.
 
Huo utafiti wafanyie misikitini..

Ukute kuna watu kama wa iSIS wanatafuta kujua ni wapi hakuna watu wao ili wakalipue huko
 
Aya mambo mnayaona sasa sababu ni kiongozi ni .....?lakini km tukianza kila jambo la kiimani liwe kando na mambo ya umma kuna madhehebu yataona hayatendew haki kuna madhehebu yameshazowea kuona wao ndio wanahaki peke yao na wamefaidika kwa miaka mengi ila km umefk wkt kayaweka kando naona kuna wtu wataumia zaidi
 
Nami nimeiona sijarlewa maksudi yake
 
Huo utafiti wafanyie misikitini..

Ukute kuna watu kama wa iSIS wanatafuta kujua ni wapi hakuna watu wao ili wakalipue huko
Msikitini utafanyaje utafiti mkuu ! 😅
Hata kanisani sidhani kama inawezekana.

Ila hiyo point ya kulipua sidhani kama ina uzito.
 
Huwa wanaanza hivi hivi.. awamu zingine mambo haya hayakuepo
Taratiiiibu Yale ya miaka ya 95 kipindi cha mkapa, yanarudi, Mara hatutaki mabucha ya nyama maeneo yenye wa Islam wengi!,?Mara tunataka watoto wa ki Islam wavae hijab shuleni(mpaka shule binafsi zililazimishwa), wakataka hata polisi na wana jeshi wa kike wavae hijab! Wazee wa usalama wakapinga
 
Hiyo ni taasisi gani inayotaka kufanya hiyo tafiti ?
Ni ajabu sana hata mwandishi/aliyesaini barua hiyo mbali na kuweka reference number na tarehe ya barua iliyoomba kuchukua takwimu hajataka kutaja jina la mtu au taasisi iliyoandika barua hiyo.
 
Utaratibu wa zamani unashida gani mpaka uje utaratibu mpya? Je lengo la huo utaratibu mpya ni nini? Wanafunzi wanafaidika nao vipi?
 
Kwanini udhani? Hilo shirika limeomba kibali cha kuhesabu waislam kwa lengo gani? BTW hicho kibali baada ya kelele kelele hizi kimefutwa, kwanini? If nothing fishy is going on nyuma ya pazia?
duh! kimefutwa?? iko mambo. sema sijataka kuwa negative kwenye hili. sidhani kama kulikua na nia mbaya. i stand to be corrected.
 
Ndugu yangu nimegundua unashida Mungu akusaidie
 
Mengine tuwe positive. Nadhani kwanza ni shirika binafsi limeomba kibali. Mambo mengine tunayakuza bila sababu.
Shida ni kwamba wenye mashaka na ili uwa mnawapa majibu mepesi mepesi sana.
Naomba Mungu watoa majibu mepesi msiwe na sehemu ya wanaajenda ili siku moja tuongee Lugha moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…