Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

Endelea kutema madini. So much to learn from you.

Ni kama umeishia njian.

Objective analysis, ila ukweli the church kwa maana ya Roman Catholic unaliatack ndivyo unaliimarusha na kujijengea anguko lako.

Ukitaka kutawala vema align na hawa watu, kosea, kubali makaosa, onyesha unajutia na unafanya juhudi kurekebisha.

The interst of the church ni wellbeing of the community ndio maana lenyewe binafsi linafanya juhudi hizo.

Asante sana mkuu kwa andiko lako.
Wanamapinduzi wa Ufaransa a.k.a The Jacobins waliua mapadri 30,000 ndani ya siku moja kwasababu kanisa lilishirikiana na Mfalme Louis VI katika kuwanyonya wafaransa. Napoleon alipoingi madarakani alifahamu ukweli mchungu, kwamba hawezi kutawala Ufaransa bila kanisa Katoliki. Akaenda kufanya Raprocheament nao na ukawa mwanzo mpya kwa Ufaransa.

Hili halimaanishi kwamba walikuwa hawavutani, walivutana sana japo walikuwa na A Common Ground. Hata yale matamko ya hadharani dhidi ya Kanisa au Kanisa dhidi ya Mfalme yakapungua. Wakawa wanayamalizia nyuma ya Pazia ili kutowagawa wafaransa ambao tayari walikuwa wanapitia kipindi kigumu.

CATHOLIC CHURCH ndiyo ilimsaidia Napoleon kutengeneza shule za kisasa ambazo zilitoa wasomi wakubwa barani Ulaya na kuifanya Ufaransa kuwa nchi yenye nguvu mno hata baada ya Napoleon kuondoka.
==============================================================

Binafsi, nimepata sana faraja kuona MKUU TWIN TOWER umeng'amua ujumbe mzima wa mada yangu. Wengine wanadhani nawashambulia TEC na naunga mkono kinachoendelea hapa. ENIWEI, maisha ndivyo yalivyo.
​
 
Hiyo focus ya Uislamu na Ukristo yote ni ujinga mtupu.

Na hizo divisions za kijinga za Uislamu na Ukristo ndizo zinawafanya mzidi kuwa masikini.

Dini zote hizi zimewapandikizia ujinga tu.
Nakubaliana kabisa na wewe, asilimia 10000% dini zimeleta umasikini Afrika.

Huu mgawanyiko kwa minajili ya kidini haitakiwi kuwepo ili tuweze kuvuka kama nchi. Tanzania ni nchi changa sana ina miaka 64 tu, hata Marekani na Uingereza ambako wewe unaishi leo na kupata kipato kuna miaka yalikuwa mataifa yanayosumbuliwa na UJINGA MTUPU wa kidini.

Baada ya kuchinjana sana kwenye Civil Wars kukawa na adabu Marekani ikaingia kwenye The Gilded Age 1872 na kuwa taifa tajiri ambalo hata wewe leo unaweza kwenda kutafuta kipato kwa amani. Hivyo hata Tanzania haiwezi kuruka hatua ambazo wakubwa wa dunia walizipitia.

Ndiyo maisha yalivyo
​
 
Unazunguka zunguka tu.

Kama TEC walimkosoa na kumpinga hadi Magufuli udini wao upo wapi?

Umewatuhumu TEC kwa udini ndo tunakuuliza hapa kama walimpinga na kumkosoa hadi Mkatoliki mwenzao udini wao upo wapi?

Kubali tu umekosea kuwapa TEC tuhuma za hovyo.
Nimetoa mifano miwili:

1. Kanidali Pengo na MCHAKATO WA KATIBA.

2. MKOMBOZI BANK, ASKOFU KILAINI KADINALI PENGO,MAMA MBUNDA na ESCROW

Hakuna anayetoa majawabu yanayoeleweka mpaka sasa. Binafis niko tayari kukiri makosa endapo ntapewa haya majawabu kinagaubaga.
​
 
Comprehension ndio shida kwenye huu uzi. Sababu kubwa, ni mleta mada kugusa ukatoliki na kama unavyojua watanzania wenzangu, ukigusa dini hakuna utakachosema waelewe.

Nilivyoelewa mimi, msingi wa hii mada sio madhaifu ya kanisa Katoliki, bali ni msimamo wa yale yanayopiganiwa na kanisa Katoliki. Madhaifu aliyoyataja mleta mada, ilikua ni kuonyesha tu kwamba hawako perfect, kuna sehemu waliwahi kukosea.

Swali la msingi ni je, hawapaswi kusimamia haki sasa kwakua tu waliwahi kukosea kabla? Hawapaswi kumkosoa Samia sasa hivi kwa sababu waliwahi kuhusika kwenye mauaji Rwanda? Watakiwi kupinga mauaji na utekaji sasa hivi kwakua waliwahi kutoa elimu kwa upendeleo kupitia mashule yao?

Nadhani hapo ndipo wengi mnachanganya. Na mleta mada ameenda mbali hadi kuwaonyesha kua TEC waliwahi kuwapinga hata Magufuli na Nyerere ambao walikua wakatoliki wenzao.

Kuna alarm kubwa kwenye ujumbe wa mleta mada, usipotuliza kichwa hauwezi kuiona!
UISHI MILELE BABA YANGU.....

NASEMA TENA UISHI MILELE, MUNGU AKUPE MAISHA YA HERI........

NIKUTAKIE MWAKA MPYA MWEMA na NAFURAHI KUONA WEWE na Twin Tower mmelewa.
​
 
Nimetoa mifano miwili:

1. Kanidali Pengo na MCHAKATO WA KATIBA.

2. MKOMBOZI BANK, ASKOFU KILAINI KADINALI PENGO,MAMA MBUNDA na ESCROW

Hakuna anayetoa majawabu yanayoeleweka mpaka sasa. Binafis niko tayari kukiri makosa endapo ntapewa haya majawabu kinagaubaga.
​
Pengo na mchakato wa Katiba udini upo wapi hapo?

Rais alikuwa Kikwete muislam na pengo alitaka Serikali mbili suala lililokuwa msimamo wa Kikwete na Ccm.

Mkombozi bank na udini upo wapi hapo? Escrow na udini wapi na wapi?

Umelituhumu Kanisa kwa udini. Wakati wa escrow Rais alikuwa muislam JK, watumishi wa kanisa walipokea mgao kutoka kwa Rugemalila na Kikwete alisema pesa sio za Umma sasa hoja yako ipo wapi?
 
Na hilo la mgosi Adadi Rajabu lifanyie utafiti kidogo maana huwa anasali pale St Albans Anglikana na mie huwa nasali pale.
Hivi kipindi kile Mgosi na Mahita wanamkamata yule Mzee Sheikh wakampeleka Misri kukatwa kichwa alikuwa ni Muanglikani ???

Yule mwenzake Prof wa UDSM ambaye naye alikuwa anasali St.Albans akaoa binti wa Kikristo lakini baadaye akarudi kwenye Uislamu unamfahamu ???

MWISHO KABIS KAKA: Unaamini kabisa kwamba bila waislamu wa Tanganyika huu ukanda unaweza kupambana na mitandao ya kigaidi kweli ??? Leo hii TEC vs CCM vs BAKWATA, unadhani kila mtu akibeba mbao tutafika pazuri kama nchi ???
​
 
HAPANA, kiutawala na kisheria hili halipo sawa.

Kwenye jinai kuna dhana tunaiita The Concept of Immutability au The Concept of Imputability ambapo vitendo vya WAKALA (AGENT) huhesabiwa kuwa ni vitendo vya MKUBWA (STATE or SUPERIOR) endapo atatumia rasilimali za MKUBWA kufanikisha jambo lake bila MKUBWA kumuwajibisha.

Lakini pia kwenye sheria ya madai kuna dhana inaitwa VICCARIOUS LIABILTY ambapo WAKALA (AGENT) anahesabiwa kuwakilisha matendo ya MKUBWA (SUPERIOR). Leo hii kampuni ni taasisi, lakini makosa ya Mkurugenzi yanaweza kuliponza kampuni zima. AU Mfano mwingine wa kawaida. Unafuga wanyama wako, na wakaingia kwenye shamba langu kuharibu mazao. Nani anawajibika hapa: MNYAMA au MMILIKI WA WANYAMA

============================================================
Kama unachokisema kingekuwa na ukweli wowote, basi kusingekuwa na haja ya KANISA kuomba msamaha kwa MAUAJI YA KIMBARI kule nchini RWANDA kwasababu yalifanywa na viongozi wa kanisa binafsi, tena WAHUTU. Kama unakumbuka mwaka 1988, Majasusi wa Libya walishawahi kutumia silaha kulipua ndege (The Lockerbie Incident) na Kanali Gaddafi akasema kwamba yeye hakuhusika.

Ila ukweli ni kwamba, wale MAJASUSI walitumia rasilimali za serikali na nafasi zao kuweza kufanikisha ule ufedhuli. Serikali ilitakiwa iwawajibishe kuonesha haiungi mkono yale mambo.
====================================================================
Binafsi ningekuwa na uwezo ningezuia kabisa viongozi wa dini wasifanya kabisa siasa za moja kwa moja. Nimekuwa nikiyasema haya kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Hata ule utaratibu wa kupokezana MKATOLIKI na MUISLAMU kwenye nafasi ya URAISI umesaidia nchi kutulia lakini pia umechangia sisi kufika hapa tulipo leo.

WAISLAMU na WAKATOLIKI huamini kwamba wao ni lazima watoe RAISI. Marehemu Mzee Lowassa aliwahi kwenda kanisani na kusema kipindi hiki ni zamu yetu WALUTHERI kutawala nchi. All hell broke lose. Kesho yake yaliyolewa matamko mazito kutoka kwa maaskofu, makada wa CCM na watu wengine wengi wasiompenda, kwamba anataka kuleta udini. Mimi binafsi nilighafirika sanaaaa.

Ila leo hii nikiangalia ukweli, Mzee Lowassa hakusema jambo ambalo CATHOLICS and MUSLIMS hawajawahi kusema hadharani. Kila DINI huunga mkono mgombea wao, na huu ndiyo ukweli mchungu kwa Tanzania. Tutapinga hapa ila ndani ya mioyo yetu tunafahamu ukweli.
======================================================
​

Kadinali anamwakilisha Papa. TEC inawakilisha Maaskofu, wakatoliki Tanzania.

Mimi sio mkatoliki. Lakini karibu vitu vyote walivyosema kabla na baada ya huu unaoitwa uchaguzi wanawakilisha matakwa, hisia na maoni ya Watanzania. Wanapigania haki ya kila Mtanzania bila kujali dini. Bakwata wangefanya hivyo ningewakubali pia. TEC inatakiwa kuungwa mkono na kila Mtanzania kutoka dini zote, makabila yote, watu wote wanayoitakia mema hii nchi kutoka.

Wewe unawatuhumu kwa mambo ya uongo. Bado hujatoa ushahidi kuhusu tutuma zako, unazunguka mbuyu.

Hizi ndio shutuma zako, bado hujaleta ushahidi kuthibitisha tuhuma zako

1.Viongozi wa Katoliki huwa wana udini uliopitiliza.

2. Wanaamini hii nchi ni mali yao.

3. Wanajiona wana haki ya kusema kama MIUNGU-WATU.

4.Ukiwasikiliza huwa hawaelewi kwanini wanatetea mengi wanayotetea.

5.Mengine siyo kutetea HAKI bali ni RELIGIOUS IMPULSE, rooted from entitlement and parochial
 
Kadinali anamwakilisha Papa. TEC inawakilisha Maaskofu, wakatoliki Tanzania.

Mimi sio mkatoliki. Lakini karibu vitu vyote walivyosema kabla ya huu unaoitwa uchaguzi na baada ya uchaguzi, wanawakilisha matakwa, hisia na maoni ya Watanzania. Wanapigania haki ya kila Mtanzania bila kujali dini. Bakwata wangefanya hivyo ningewakubali pia.

Wewe unawashutumu kwa mambo ya uongo. Bado hujatoa ushahidi kuhusu shutuma zako, unazunguka mbuyu.

Hizi ndio shutuma zako, bado hujaleta ushahidi kuthibitisha tuhuma zako

1.Viongozi wa Katoliki huwa wana udini uliopitiliza.

2. Wanaamini hii nchi ni mali yao.

3. Wanajiona wana haki ya kusema kama MIUNGU-WATU.

4.Ukiwasikiliza huwa hawaelewi kwanini wanatetea mengi wanayotetea.

5.Mengine siyo kutetea HAKI bali ni RELIGIOUS IMPULSE, rooted from entitlement and parochial
Hawezi kukupa huo ushahidi zaidi atapuyanga tu.

Na hiyo thinking fikiria huyo ndo think tank wa TISS. Ndo uelewe kwa namna gani hili Taifa limejifia.
 
Comprehension ndio shida kwenye huu uzi. Sababu kubwa, ni mleta mada kugusa ukatoliki na kama unavyojua watanzania wenzangu, ukigusa dini hakuna utakachosema waelewe.

Nilivyoelewa mimi, msingi wa hii mada sio madhaifu ya kanisa Katoliki, bali ni msimamo wa yale yanayopiganiwa na kanisa Katoliki. Madhaifu aliyoyataja mleta mada, ilikua ni kuonyesha tu kwamba hawako perfect, kuna sehemu waliwahi kukosea.

Swali la msingi ni je, hawapaswi kusimamia haki sasa kwakua tu waliwahi kukosea kabla? Hawapaswi kumkosoa Samia sasa hivi kwa sababu waliwahi kuhusika kwenye mauaji Rwanda? Watakiwi kupinga mauaji na utekaji sasa hivi kwakua waliwahi kutoa elimu kwa upendeleo kupitia mashule yao?

Nadhani hapo ndipo wengi mnachanganya. Na mleta mada ameenda mbali hadi kuwaonyesha kua TEC waliwahi kuwapinga hata Magufuli na Nyerere ambao walikua wakatoliki wenzao.

Kuna alarm kubwa kwenye ujumbe wa mleta mada, usipotuliza kichwa hauwezi kuiona!
Mtoa mada Leo amejichanganya sana hasa katika kujibu maswali aliyokuwa anaulizwa.

Hali hii imeharibu mtiririko wa mawazo aliyokusudia kutuelimisha au kutufahamisha.

Natambua ni moja ya Hazina kubwa na kisima cha Elimu kwa sisi upcoming GT.

Asiishie kusema hatujaelewa mada yake, ni yeye ndio kajichanganya.
 
Hawezi kukupa huo ushahidi zaidi atapuyanga tu.

Na hiyo thinking fikiria huyo ndo think tank wa TISS. Ndo uelewe kwa namna gani hili Taifa limejifia.

Tuhuma kama hizi zinarudisha nyuma jitihada za ukombozi, zinapotosha, zinaligawa Taifa na kuotesha, kukuza chuki, utengano, zinaua umoja.na mshikamano wakati ambapo inabidi tusimame wote pamoja kuwang'oa wahuni.
 
Hakuna MJADALA TIMAMU uliojengwa kwenye UONGO, ILLUSIONS na STORI ZA KUFIKIRIKA.

Unataka mjadala TIMAMU jenga hoja kwenye USHAHIDI.

Hufurahii unyanyasaji, ila wanaopinga unyanyasaji WANAKUKERA.

Kasimulie wajinga hizi stori.

Binafsi, sijawahi kuona TAMKO la TEC la Kisiasa, kama lipo liweke hapa.

Matamko ya TEC ni ya KIBINADAMU, KIUTU na KIJAMII kama UHAI, HAKI ZA KIRAIA na KIBINADAMU.

Sijaona TAMKO la TEC la kusema WANANCHI WACHAGUE MTU FULANI. Kama lipo liweke.

MAUAJI, WIZI, UPORAJI, RUSHWA, DHULMA siyo SIASA.

Kupiga magoti kwa KADINALI kama Nani??

ALikuwa kiongozi wake wa Kiroho au kama nani??

Maana Kadinali siyo kiongozi wa Maaskofu Katoliki kama ambavyo vibuyu wa CCM wanaamini.

Udini upi?

Hebu share hapa huo udini ulioletwa na TEC kwenye elimu.

Hii mada yako, naona NI MATAPISHI YA PROPAGANDA in and OUT.

Umekula KITIMOTO iliyochacha???

Hii ilikuwa mwaka gani??

Hoja yako ni nini?

Tuko page ya 4?

Naona kila ukiandika ni KINYESI tupu.

Sisi kama umma tuna HOJA ZETU.

Wanachozungumza TEC ni SAUTI yetu.

Maana sisi tukisema MNATUMUDU, Ndio maana kina MDUDE, DEO SAKA, KIPANYA hawapo.

TEC wanasema kwa niaba yetu. Hizo stori zao za nyuma sisi hazituhusu.

Wenye akili timamu wana dili na SOURCE.

Hapa unachojaribu kufanya ni kutupia LAWAMA wasiohusika na kutaka ku-NORMALISE UJUHA na MAUAJI.

Walisaidiaje?
Mapadre gani walikimbilia uhamishoni??

Unatapika sana UJUHA kwenye hii mada.

Magufuli aliwekwa na Mkapa kama kijana wa Mkapa, na ushahidi uko humu, tangu mwaka 2014.

Kwamba TEC walimweka, kwahiyo TEC ni NEC ya CCM, na Halmashauri kuu ya CCM.

Kama TEC walimweka MAGUFULI, kwahiyo Samia kawekwa na BAKWATA???

Kwahiyo kama yana mlolongo mrefu ndio yanatakiwa kuendelea???

Wayamalize vipi?

TEC walishatoa USHAURI hata kabla ya uchaguzi na baada ya mauaji wakatoa ROAD MAP.

Hawajaua mtu na hawana hatia.

Wenye hatia wawajibike. Jambo rahisi tu.

Ukae chini nani na nani?

Samia kachaguliwa na nani?

Kaua watu ili amtawale nani??

Wenye matatizo zaidi ni waliozika. NGUO.

Matatizo ya MUUAJI, MFIRAJI na MTEKAJI hayawezi kunihusu.

WIZI, UPORAJI, MAUAJI, UTEKAJI ni matendo ya hiari ya KUJITAKIA.

MJADALA TIMAMU unajengwa kwenye UKWELI na USHAHIDI.

Siyo PROPAGANDA MAVI unazojaribu kutapika hapa ndani.
Akhsante sana ndugu Mpwimbe kwa michango yako yenye utimamu wa hoja.
Nimebarikiwa nayo sana siku hii ya mwisho kwa mwaka 2025.
Kongole sana na ubarikiwe.
 
Kadinali anamwakilisha Papa. TEC inawakilisha Maaskofu, wakatoliki Tanzania.

Mimi sio mkatoliki. Lakini karibu vitu vyote walivyosema kabla na baada ya huu unaoitwa uchaguzi wanawakilisha matakwa, hisia na maoni ya Watanzania. Wanapigania haki ya kila Mtanzania bila kujali dini. Bakwata wangefanya hivyo ningewakubali pia. TEC inatakiwa kuungwa mkono na kila Mtanzania kutoka dini zote, makabila yote, watu wote wanayoitakia mema hii nchi kutoka.

Wewe unawatuhumu kwa mambo ya uongo. Bado hujatoa ushahidi kuhusu tutuma zako, unazunguka mbuyu.

Hizi ndio shutuma zako, bado hujaleta ushahidi kuthibitisha tuhuma zako

1.Viongozi wa Katoliki huwa wana udini uliopitiliza.

2. Wanaamini hii nchi ni mali yao.

3. Wanajiona wana haki ya kusema kama MIUNGU-WATU.

4.Ukiwasikiliza huwa hawaelewi kwanini wanatetea mengi wanayotetea.

5.Mengine siyo kutetea HAKI bali ni RELIGIOUS IMPULSE, rooted from entitlement and parochial
It seems you're committed to misunderstanding me.

Legally, the actions of a Cardinal, Bishop or The Episcopal Conference may be attributed to the Vatican and The Holy See, if they have been executed using resources of the Church. If today, a Bishop solicits genocide, he will be individually Criminally liable, but the Vatican will also be liable at State Level.

If you can't grasp this concept, then there's no way I can make you understand.
==========================================================
1. Forcible conversions.

2. Engaging in Grand-Corruption, thwarting scrutiny and waking away from responsibility with Impunity. Why has the Episcopal Conference fail to hold accountable the Bishops and Church Officials responsible for ESCROW SCAM ???
3. Cardinal Pengo used his Bully Pulpit to derail Constitutional Reform. If this is not a God-Complex then what is it ???

4. Yes Indeed. Most of Catholics followers tend to defend things they have a little depth with. A good example is TEGETA ESCROW, where Church Institution were used to scam billions of Tax Payers' Money. And you just defend because you say it wasn't done by TEC but Individual Bishops.

BULLSHIT....
​
 
M

Mtoa mada Leo amejichanganya sana hasa katika kujibu maswali aliyokuwa anaulizwa.

Hali hii imeharibu mtiririko wa mawazo aliyokusudia kutuelimisha au kutufahamisha.

Natambua ni moja ya Hazina kubwa na kisima cha Elimu kwa sisi upcoming GT.

Asiishie kusema hatujaelewa madam yake, ni yeye ndio kajichanganya.
Nimetoa mifano mingi ila naishiwa kuambiwa, hayo ni matendo binafsi ya maaskofu siyo kanisa. Kanisa linafanya kazi kupitia TEC. Haya sasa nikuulize swali rahisi labda. Unadhani Kanisa Katoliki halijawahi kuwakosea watanzania ???​
 
Kanisa kuwahi kukosea ni mada mpya inayopaswa kujadiliwa tofauti kwa mapana yake kulingana na muktadha.

Ila kudai kanisa kuwa na udini kwa sababu ya kukosoa utawala mbovu wa mtu na ukiukwaji wa haki za binadamu huko ni kupotosha tena kwa makusudi. Ndo mana imefika hadi watu tumehoji nia ya uzi wako.

Kubali umekosea. Hata mimi nilitofautiana na wewe kuhusu DP World na kama kuna mapungufu yanatokea bandarini baada ya uwekezaji wao nilishasema nipo tayari kuwajibika na kukiri kukosea kwangu.
 
It seems you're committed to misunderstanding me.

Legally, the actions of a Cardinal, Bishop or The Episcopal Conference may be attributed to the Vatican and The Holy See, if they have been executed using resources of the Church. If today, a Bishop solicits genocide, he will be individually Criminally liable, but the Vatican will also be liable at State Level.

If you can't grasp this concept, then there's no way I can make you understand.
​

Naona unakwepa, umegoma kutoa ushahidi wa tuhuma ulizozitoa. Unazunguka palepale.
 
Nimetoa mifano mingi ila naishiwa kuambiwa, hayo ni matendo binafsi ya maaskofu siyo kanisa. Kanisa linafanya kazi kupitia TEC. Haya sasa nikuulize swali rahisi labda. Unadhani Kanisa Katoliki halijawahi kuwakosea watanzania ???​
Mifano yako Iko nje ya mada yako kwa kiasi kikubwa.

Ndio mana mchangiaji kama Mpwimbe na mwenzake ruaharuaha Leo wanajichukulia point za Bure, maana hujibu hoja zao kulingana na muktadha wa post yako.

Post yako imejichanganya yenyewe, haijui inataka nini hasa.
 
Back
Top Bottom