Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

Nimetoa mifano mingi ila naishiwa kuambiwa, hayo ni matendo binafsi ya maaskofu siyo kanisa. Kanisa linafanya kazi kupitia TEC. Haya sasa nikuulize swali rahisi labda. Unadhani Kanisa Katoliki halijawahi kuwakosea watanzania ???​
Kwahiyo watu wanatakiwa wakubembeleze hapa, ili useme waliwakosea kwenye nini?

Na mostly, hoja wala hata siyo kukosea.

Hoja huwa ni kukaza fuvu na kutokiri kosa na kuwajibika.

Kwa taarifa yako, ukiona TAMKO LA MAASKOFU siyo kwamba wote huwa wanakubalina kila kitu.

Kinachofanyika, baada ya kukaa, wanatoa hoja, bada ya mjadala wanapiga kura then wengi wakikubaliana hata wale wachache wanaSIGN TAMKO kukubaliana.

Kwahiyo, suala la mmoja, wawili au 3 kutokubaliana wala hata siyo HOJA.

HOJA ni TAMKO LA BARAZA lililiko kwenye WARAKA, na siyo MAONI au MATENDO ya MTU MMOJA.
 
Naona unakwepa, umegoma kutoa ushahidi wa tuhuma ulizozitoa. Unazunguka palepale.
1. Forcible conversions in accessing basic services like education. This is was diabolical, and it forced Nyerere to nationalize Catholic schools so that every child in Tanzania can access education indiscriminately. If these schools were ideal, then a need to nationalize them would not have arose in the first place.

2. Engaging in Grand-Corruption, thwarting scrutiny and waking away from responsibility with Impunity. Why has the Episcopal Conference fail to hold accountable the Bishops and Church Officials responsible for ESCROW SCAM ???

MKOMBOZI BANK is an institution directly under Board of Trustees and TEC. Why didn't they take accountability of sacking bishops and officials who enable the launder of our money ???

3. Cardinal Pengo used his Bully Pulpit to derail Constitutional Reform. If this is not a God-Complex then what is it ??? He was in a position of power. His words mattered, yet he went on to derail the process, and TEC coalesced to his tune. No mora Pastoral Letters and MCHAKATO was "Shot me down Bang-Bang"

4. Yes Indeed. Most of Catholics followers like you tend to defend things with blind obedience. A gallant and faithful crusader of the church. You have a little depth with many things. Understanding how devastating escrow was, you would wake up and push for accountabiliy. TEGETA ESCROW is a prime example, of Voltairian words "If you want to know who rules over you, simply find a person you're not allowed to Criticize".

The Church has been vocal in some issues, but they have a selective outrage.
Some of the issues TEC cannot address simply because it stood to benefit.
==============================================================

​
 
Kwahiyo watu wanatakiwa wakubembeleze hapa, ili useme waliwakosea kwenye nini?

Na mostly, hoja wala hata siyo kukosea.

Hoja huwa ni kukaza fuvu na kutokiri kosa na kuwajibika.

Kwa taarifa yako, ukiona TAMKO LA MAASKOFU siyo kwamba wote huwa wanakubalina kila kitu.

Kinachofanyika, baada ya kukaa, wanatoa hoja, bada ya mjadala wanapiga kura then wengi wakikubaliana hata wale wachache wanaSIGN TAMKO kukubaliana.

Kwahiyo, suala la mmoja, wawili au 3 kutokubaliana wala hata siyo HOJA.

HOJA ni TAMKO LA BARAZA lililiko kwenye WARAKA, na siyo MAONI au MATENDO ya MTU MMOJA.
Why the selective outrage then ???

Criticize this but cover that. Behaving like Chichi-Dodo.

Why haven't TEC took full accountability for TEGETA ESCROW SCAM ???
Why did the Bishop and the MKOMBOZI BANK walk away without being touched???
​
 
Mifano yako Iko nje ya mada yako kwa kiasi kikubwa.

Ndio mana mchangiaji kama Mpwimbe na mwenzake ruaharuaha Leo wanajichukulia point za Bure, maana hujibu hoja zao kulingana na muktadha wa post yako.

Post yako imejichanganya yenyewe, haijui inataka nini hasa.
Hakuna kitu kigumu kama kupingana na ukweli kwa vijihoja vya kupika pika.

Anachojaribu kufanya huyu kiazi, ni kuonesha kuwa TEC ndio tatizo hawataki kutoa ushirikiano ili nchi iwe kitu kimoja. (Yaani kuwaunga mkono WAUAJI).

Wanamshutumu utawala kwa kufanya maovu lakini hata wao wenyewe ni waovu.

TEC hawapingi MAUAJI, DHULMA, UTEKAJI na IMPUNITY ila wanapinga kwasababu wanaamini wao ndio wenye mamlaka ya kuamua urais.
========

Hoja zake zote ni za KIPUMBAVU.
 
HAPANA mimi sijaja hapa kutafuta Point zozote. Nasema ninachokifahamu, mkikata kukubali ni sawa, mkipinga ni sawa. Mimi naelezea ambacho nakielewa.

Haya sasa mifano iko nje ya mada kivipi, hebu dadavua nielewe zaidi. Nilitakiwa kutoa mifano ya aina gani labda ???
​
 
Hakuna kitu kigumu kama kupingana na ukweli kwa vijihoja vya kupika pika.

Anachojaribu kufanya huyu kiazi, ni kuonesha kuwa TEC ndio tatizo hawataki kutoa ushirikiano ili nchi iwe kitu kimoja. (Yaani kuwaunga mkono WAUAJI).

Wanamshutumu utawala kwa kufanya maovu lakini hata wao wenyewe ni waovu.

TEC hawapingi MAUAJI, DHULMA, UTEKAJI na IMPUNITY ila wanapinga kwasababu wanaamini wao ndio wenye mamlaka ya kuamua urais.
========

Hoja zake zote ni za KIPUMBAVU.
Mkuu unapiga sana kichwani. Jitahidi hata upige kwenye mabega.

Uzuri wa project kugundulika ni rahisi sana. No matter utajitahidi vipi kujifanya upo upande wa ukweli na haki.
 
Why the selective outrage then ???​
Which selective outrage?

Criticize this but cover that. Behaving like Chichi-Dodo.

Why haven't TEC took full accountability for TEGETA ESCROW SCAM ???
​
TEGETA ESCROW was the dumbest agenda by the dumbest rotten brains ever.

RUGEMARILA as an individual that held shares in IPTL. After the sale of IPTL, he was given his own money, that he donated to his own people of his own choice?

How does TEC get into play, by that?
Why did the Bishop and the MKOMBOZI BANK walk away without being touched???​
Whose money was deposited to MKOMBOZI BANK?

Did you find RUGEMARILA guilty of THEFT???

Did RUGEMARILA not hold SHARES into IPTL???
 
Toka niijue jamiiforum leo ndo siku ya kwanza nimeona ndugu yangu MALCOM LUMUMBA unapingwa wazi wazi

Japo kuwa nimekuona hapo juu ukijitetea kuwa maada kama hizi huwa zinawakosesha wakristo OBJECTIVITY kwako nzunya Kiranga
Mimi humu ndani napigwa kwenye mijadala tokea mwaka 2012, tofauti ni kwamba huwa nasema mawazo yangu hata kama hayako sahihi na kuwakera watu. Kupigwa kwenye mijadala ni kitu cha kawaida na huwa siogopi kwasababu ndiyo usomi wenyewe.

Japo unaponipiga ni lazima uwe na hoja na majibu mujarabu.....
​
 
Which selective outrage?

TEGETA ESCROW was the dumbest agemda by the dumbest rotten brains ever.

RUGEMARILA as an individual held share sin IPTL. After the sale of IPTL, he was viven his own money, that he donated to his own people of his own choice?

How does TEC get into play, by that?

Whose money was deposited to MKOMBOZI BANK?

Did you find RUGEMARILA guilty of THEFT???

Did RUGEMARILA not hold SHARES into IPTL???
BULLSHIT....Listen to yourself....!

You say TEGETA ESCROW was a personal money ???

Do you know liquidity limit for banks set by the BOT Act ???

Did MKOMBOZI BANK adhere to the regulations ???
===================================================

Dudee, you don't know what you even defending.....

=====================================================
Voluntarily Winding Up a Company without Informing Creditors (StanderdChartered Hong-Kong)

How about that ????...............
​
 
Mtoa mada Leo amejichanganya sana hasa katika kujibu maswali aliyokuwa anaulizwa.

Hali hii imeharibu mtiririko wa mawazo aliyokusudia kutuelimisha au kutufahamisha.

Natambua ni moja ya Hazina kubwa na kisima cha Elimu kwa sisi upcoming GT.

Asiishie kusema hatujaelewa mada yake, ni yeye ndio kajichanganya.
Nakubaliana na wewe. Mleta mada alikubali kirahisi maswali yampeleke nje ya msingi wa mada yake. Mwishowe, yale yaliyokua "extra", ndio yamekua mada kuu!
 
BULLSHIT....Listen to yourself....!

You say TEGETA ESCROW was a personal money ???
​
Leo umeshindwa kutumia akili kabisa.

Where have I said, it was PERSONAL MONEY.

Sema ukweli hapa.

  • RUGEMARILA hakuwa na hisa IPTL?
  • RUGEMARILA hakulipwa pesa zake baada ya kuuza hisa zake?
  • Whose money was deposited MKOMBOZI BANK?
  • Je, IPTL ilikuwa inazalisha umeme na kuwapa TANESCO BURE?
  • Tunajua mgawo wa RUGEMALIRA kwasababu ulienda MKOMBOZI BANK?
MGAWO ulioenda STANBIC BANK, walipewa kina nani??

Ukijibu haya maswali, tutaona kati yangu na wewe ni nani BICHWA lake ni BULLSHIT.

Do you know liquidity limit for banks set by the BOT Act ???

Did MKOMBOZI BANK adhere to the regulations ???
​
Mnamshikiria RUGEMARILA tangu utawala KIKWETE na MAGUFULI, alikuwa MAHABUSU mmefikia wapi???

Au mawakili wenu hawajui hiyo LIIQUIDITY LIMIT ya BoT Act and regulations???
===================================================

Dudee, you don't know what you even defending.....
​
You are trying to defend STUPIDITY.
 
UTANGULIZI

Mwaka 2017 Raisi Duterte alianzisha vita kali dhidi ya Madawa ya Kulevya nchini Ufilipino. Aliaua maelfu wa watu aliodai ni watumiaji na wauzaji wa madawa. Alienda hadi mbele ya kadamnasi na kujisifu kwamba wakati ni Meya wa Davao alikuwa anatembea usiku na kupiga watu risasi mwenyewe.

Alisema atamwaga hata damu ili nchi itokomeze kabisa vita vya madawa ya kulevya ili kuifanya nchi iwe salama. Mwaka 2022 Rodrigo Duterte alinukuliwa akisema hivi mbele ya Ummah "I will never, never apologize for the deaths" na kuendelea hivi "Kill me, jail me, I will never apologize". Wakosoaji wanasema kwamba kuua watoto wanaotumia madawa siyo njia sahihi, wale ni wagonjwa, walichokuwa wanahitaji ni msaada wa kisaikolojia na kiafya.

Ujasiri wa Duterte kwenye siasa ulitokana na historia ya familia yake kuwepo kwenye siasa za Ufilipino kwa muda mrefu tangu enzi za baba yake. Mpaka leo hii 2025 siasa za Ufilipino zimevurugika kwasababu Rodrigo Duterte alivyotawala alipenyeza watoto na ndugu kwenye nafasi za kisiasa nchini humo.

Wakati ni Meya wa Davao, alimteua binti yake Sara kuwa mgombea mwenza wa nafasi hiyo. Binti huyo baadaye alirithi kiti cha Umeya wa Davao kutoka baba yake mwaka 2016, pale baba yake alichaguliwa kuwa Raisi wa Ufilipino. Mwaka 2022 Sara Duterte alijiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kugombea UMAKAMU WA RAISI wa Ufilipino na katika nafasi hiyo akawa pia WAZIRI WA ELIMU.

Kipindi hicho-hicho wakati Sara anagombea Umakamu wa Raisi na kuwa Waziri wa Elimu, kaka yake Sebastian Duterte akashika nafasi ya Meya wa Davao. Ifahamike kwamba wakati Sara ni Meya wa mji wa Davao, mdogo wake alikuwa Meya Msaidizi. Hivyo dada alipokuwa MAKAMU WA RAISI, kaka akaendelea kuwa KAIMU MEYA mpaka leo hii.

Mwaka 2025 dunia ilishuhudia kituko ambapo Rodrigo Duterte akiwa kama RAISI MSTAAFU alitangaza kugombea tena nafasi ya MEYA WA MJI wa Davao. Familia ya Duterte ikaenda mbali zaidi ambapo wajukuu na watoto wake wakajiingiza kwenye siasa kugombea nafasi za UBUNGE na SERIKALI ZA MITAA nchini Ufilipino.

MAUAJI YA KIKATILI MWAKA 2017
Mwaka 2017, Duterte aliua maelfu ya watu. Wengi waliokuwa upande wake walishangilia mno, ilhali wengi wakiumia na kusema ni uvunjaji wa haki za binadamu. Nakumbuka mwaka 2017 baada ya mauaji kuwa makubwa dunia nzima ilikuwa inamuongelea sana Duterte.

Nakumbuka mwaka 2017 niliwahi kusoma makala ya BBC ikisema kwamba nchi za Afrika zimetishia kujitoa ICC kwasababu Mahakama ya Jinai za Kimataifa (ICC) ilialalamikiwa kwamba inakamata tu viongozi wa nchi za Afrika. Duterte anaua lakini hafanywi chochote na Jumuiya ya Kimataifa. Viongozi wengi walitishia kujitoa ICC na kweli nchi baadhi zilifanikiwa, ikiwemo Burundi.

Mwaka 2017 baada ya muaji ya Raia kuwa mengi, mwanasheria wa Ufilipino Jude Sabio aliandika nakala ya tuhuma (Communication) yeynye kwenda ICC akielezea kwa kina mauaji yanayofanywa nchini humo na utawala wa Duterte. Dunia iliona ushahidi lakini mwaka 2019 Ufilipino walijitoa ICC na ikaonekana dhahiri kabisa kwamba Duterte hawezi kufanywa chochote kile.

MVUTANO NA KANISA KATOLIKI
Mwaka 2017 wakati mauaji yanaendelea, KANISA KATOLIKI ndiyo walikuwa vinara wa kupambana na serikali ya Duterte. Nchini Ufilipino kuna chombo kiitwacho, CATHOLIC'S BISHOPS CONFERENCE OF THE PHILLIPINES (CBCP) ambalo ndilo BARAZA LA MAASKOFU. Walikemea mauaji na kuandaa waraka mbalimbali ambazo zilisomwa makanisani na kwenye jumuiya kukosoa serikali. Jambo hili lilizua taharuki kubwa mno na Duterte na genge lake wakaamua kupambana na kanisa.

Bahati mbaya sana ni kwamba asilimia 80% ya raia wa Ufilipino ni wakatoliki. KANISA KATOLIKI limekuwepo ndani ya Ufilipino kwa miaka zaidi ya 1000 na ndilo limechangia kuifanya Ufilipino kuwa ndiyo taifa pekee barani Asia lenye Wakristo wengi mno. KANISA KATOLIKI pia litakumbukwa kwamba mwaka 1986 lilisaidia kumtoa madarakani Dikteta Ferdinand Marcos na mwaka 2001 lilisaidia kumtoa madarakani Fisadi Joseph Estrada.

Raisi Duterte baada ya kuona anashambuliwa na KANISA KATOLIKI na kukumbuka kwamba wenzake wawili washawahi kutolewa, aliamua kuanzisha vita ya wazi-wazi anaenda wazi kusema kwamba MAPADRI ni wabaguzi na hawana HAKI ya kumkosoa yeye kwasababu wengi wao ni MASHOGA na WANAZINI NA WANAWAKE.

Raisi Duterte katika kupambana na KANISA KATOLIKI aliamua kwenda kuungana na WALOKOLE a.k.a BORN AGAIN CHRISTIANS ambao walimpigia sana kura anavyoingia. WALOKOLE ni moja kati ya makundi yenye nguvu sana Ufilipino ukizingatia kwamba Ufilipino lilikuwa ni Koloni la Marekani, na ULOKOLE umezaliwa nchini Marekani.

Mapadri walitekwa, kuchafuliwa na kuuwawa, lakini BARAZA LA MAASKOFU (CBCP) walisema hawamuogopi Duterte. Wakaendelea na kutoa WARAKA kwamba hata kama wao wana dhambi, utakatifu wa KANISA hautoki kwa kiongozi binafsi wa kanisa, bali YESU KRISTO. Hii vita iliendelea na Duterte aliondoka madarakani, lakini Baraza likaendelea kuwepo, na baadaye likaanzisha vita mbaya dhidi ya Binti yake na familia yake, vita ambayo imetikisa mno siasa za Ufilipino huku Duterte akiwa amejeruhiwa mno kisiasa na hawezi kupona leo au kesho.

SIASA ZA KIMATAIFA NA SERA HATARI ZA DUTERTE ZILIVYOMPONZA
Ukweli mchungu ni kwamba mataifa makubwa kama Marekani huwa hayajali sana kinachoendelea kwingine kote kama maslahi yao hayajaguswa. Miaka ya 2000's mwanzoni Raisi Yoweri Museveni alivyoingia Congo na kusababisha muaji, Waziri wa Marekani Collin Powell alimtishia sana na kuongelea mambo mengi mabaya ya Uganda na kumpa Museveni muda wa kurekebisha la sivyo wangemshughulikia.

Museveni kama walivyo wanafunzi wengi wa Mzee Nyerere alikuwa na akili za ziada kufahamu kwamba, pale asipogusa maslahi ya Marekani hatafanywa lolote. Ila akijitia kushinda na mababeru lazima ile kwake. Museveni aliamua kuunga mkono VITA DHIDI YA UGAIDI (WAR ON TERROR) waziwazi na kupeleka vikosi vyake nchini Somalia na kwingineko ambako Marekani alitaka. Alizichanga karata zake vizuri sana.

Raisi Rodrigo Duterte hakuwa na akili. Hali akifahamu fika, Ufilipino lilikuwa ni koloni la Marekani yeye alienda kuanzisha uswahiba na Uchina. Wakati wenzake wote wa ukanda wa Pasifiki wakijiunga na Marekani, Australia, Japan na New-Zealand kusaidia "The Pivot To Asia" yeye alijifanya anakosoa na kuleta kauzibe. Marekani walijifanya hawamuoni lakini wakawa wanamvizia tu, na bahati mbaya akajaa kwenye mfumo.

Mwanahabari Sebastian Strangio kwenye makala yake iitwayo, "Parsing The Philippines Pivot To China Under Rodrigo Duterte" kwenye moja ya jarida maarufu barani Asia, THE DIPLOMAT, anaandika wazi kusema "He was not a strategic thinker. His foreign policy flowed from his personal likes and dislikes." Akielezea kwa kina kwamba kitendo cha Duterte kuwatukana wazi Wamarekani na kuonesha kuchagua upande fulani kulimgharimu sana.

KUKAMATWA NA MAHAKAMA YA ICC
Mambo yalianza mwaka 2017, mwaka 2019 Ufilipino ikajitoa ICC. Mwaka 2021 baada ya familia ya Duterte kuonekana inaendelea kushikana na Uchina wakati VITA BARIDI mpya baina ya Marekani na Uchina inaendelea wakubwa wa dunia wakaamua kumtumia ujumbe mdogo tu.

ICC ikaruhusu uchunguzi dhidi ya Duterte, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu (Crimes Against Humanity). Tena kumkomesha wakaanza kufuatilia vitendo vyake vya mauaji tokea miaka ya 90's kupitia genge la kihalifu liitwalo, THE DAVAO DEATH (DDV). Ambapo inasemekana yeye alifahamu kinachofanywa na hili kundi la muaji ya raia akiwa Meya, lakini hakuchukua hatua zozote kuzuia UTEKAJI, UTESWAJI na MAUAJI.

Wameenda mbali mno na kufukua TAARIFA za Human Rights Watch na UN Human Rights Council. Taarifa za miaka mingi sana zikionesha Duterte alikuwa hachukui hatua zozote zile kwasababu alikuwa ni mnufaika wa UTEKAJI, UTESWAJI na MUAJI.

Mwaka 2025, ICC walitoa HATI YA KUKAMATWA (ARREST WARRANT) kwa siri Raisi Duterte na kushirikiana na Interpol. Bahati mbaya sana watu ambao walikuwa washirika wake kisiasa walisaidia kumuangusha na kuhakikisha anakamatwa. Hawajaishia tu hapo, hadi Binti yake Sara ambaye ni WAZIRI WA ELIMU na MAKAMU WA RAISI anaanza kutikiswa na kupewa majina kama "Pro-China" huku BARAZA LA MAASKOFU (CBCP)likisema awajibishwe.

Duterte amekamatwa na ICC, BARAZA LA MAASKOFU (CBCP) wakatoa waraka mwingine kuunga mkono ukamatwaji huo. Bahati mbaya sana inasemekana ICC wameandaa nyaraka nyingine za siri ambazo kuna watu tisa wa karibu wa Duterte wanatakiwa kukamatwa, akiwemo MKUU WA JESHI LA POLISI.

Bahati mbaya sana Sara Duterte ambaye alikuwa MEYA MSAIDIZI kwa Baba yake, amekiri wazi kwamba hata yeye yuko kwenye orodha ya ICC. Alinukuliwa akisema hivi "I’m on the list. Many of us are. There are many of us on the ICC’s list". Mdogo wake wa kiume Sebastian Duterte ambaye ndiye anaratibu makundi ya wahuni alionekana wazi kumtishia Raisi Marcos BongBong hasimu wa baba yake kwamba atakufa kama Nicholas Ramanov na Benitho Mussolini, naye inasemekana kwenye orodha ya ICC yupo.

==========================================================

SIASA inahitaji akili na utaalamu wa hali ya juu. Duterte alikuwa na nguvu sana na aliwashinda kabisa mahasimu wake. Alikuja kukosea alivyoenda Uchina na kutoa kauli za kebehi kwa WAMAREKANI ambao Ufilipino ni koloni lao mpaka sasa (De Facto Colony). Nchi zina uhuru wa kuchagua marafiki, lakini ukweli mchungu ni kwamba WAKUBWA WA DUNIA ni lazi ucheze nao vizuri.

Mzee Nyerere alishawahi kusema wazi haiwezekani kushindana na WAKUBWA WA DUNIA kwa nchi masikini kama zetu. Hawa wakubwa utawashinda endapo unafanya siasa zako za ndani kitaalamu na huna makandokando mengi kama Rushwa, Ubadhilifu na Upendeleo. Mfano halisi ni Lee Kuan Yew, Nyerere, Kagame, Jerry Rawlings n.k

Pia fahamu fika kwamba familia zikiwa zinafanya siasa madhara huwa hayaishii kwa wazazi tu, huwa yanaenda hadi kwa watoto. Ndiyo maana wanasiasa wenye akili huwa wanaweka watoto wao mbali kabisa na siasa. Urusi Ramanovs walikufa wote. Iraq, Saddam Hussein aliuwawa na watoto wake. Libya, Ghaddafi na watoto wake waliuwawa sana. Uchina, baada ya Mao kufa walimkamata Mke wake na kumhukumia adhabu ya kifo. Historia imejaa ushahidi mwingi sana.

Pia, siasa za kidini huwa zinaleta mgawanyo wa muda mrefu. Ukishaanza kuzifanya fahamu fika kwamba moto wake hauwezi kuzimika, hasahasa kwa taasisi kubwa zenye ushawishi kama KANISA KATOLIKI. Wataondoka maaskofu msiowapenda au mtawaua kabisa, lakini KANISA limekuwepo hapa kwa miaka zaidi ya 2000. Hii siyo bahati mbaya.

UKWELI USIOPINGIKA: Viongozi wa KANISA KATOLIKI huwa wana matatizo ya UDINI ULIOPITILIZA wa kuamini kwamba hii nchi ni mali yao na wao ndiyo wana haki ya kusema kama MIUNGU-WATU. Hii tabia ndiyo ilisababisha wakatoliki wachinjane na waprotestanti kule ULAYA kwa miaka zaidi ya 30 na kusababisha dola la rumi (The Holy Roman Empire) kuporomoka.

Ukiwasikiliza mapadri wengi kama una akili nzuri na ufahamu mkubwa utafahamu kwamba hata wenyewe hawaelewi kwanini huwa wanatetea mengi wanayoyatetea. Mengine siyo kutetea HAKI bali ni RELIGIOUS IMPULSE, rooted from entitlement and parochial mindset.

HAPA HOJA YA KISOMI NI HII: Ogopa kutoa matamka jumuishi (Generalization), kudai kwasababu wanakupinga wewe basi KATOLIKI NZIMA itakuwa imeoza. Hii ni sawa na kusema UKATOLIKI NI MBAYA kwasababu tu matendo kama THE SPANISH INQUISITIONS au UISLAMU NI MBAYA kwasababu ya Matendo ya Makundi kama BOKO-HARAM au AL QAEDA. Fallacy of Generalization.

Hii hoja aliwahi kujibiwa Prof Jordan Peterson alipojichanganya kutaka kufanya mjadala na Prof Richard Wolff kuhusu Ukomunisti, ambapo Wolff alisema kwamba Jordan Peterson ni mpumbavu kwa kusema Ukomunisti ni falsafa ya hovyo kisa tu mauaji yaliyofanywa na Joseph Stalin kule Siberia.

ILA KUBWA ZAIDI: Ni kujitahidi kumaliza migogoro ya kidini nyuma ya pazia kabla haijafika hadharani. Mbinu ziko nyingi sana za kuweza kutoa tamko zito nyuma ya pazia na mambo yakakaa vizuri tu. Mzee Mkapa aliwahi kuvutana mno na TEC, tena sanaa lakini hayakufika hadharani. Hata Jakaya aliwahi kuvutana nao, lakini yeye Friji Lake Lilikuwa linagandisha, hayakufika hadharani.
================================================================

ENIWEI, tusubiri tuone.....
​
Hujawahi kuniangusha. Hii ni fasihi simulizi. Asomaye na aelewe.
Ahsante kwa bandiko zuri.
 
Leo umeshindwa kutumia akili kabisa.

Where have I said, it was PERSONAL MONEY.

Sema ukweli hapa.

  • RUGEMARILA hakuwa na hisa IPTL?
  • RUGEMARILA hakulipwa pesa zake baada ya kuuza hisa zake?
  • Whose money was deposited MKOMBOZI BANK?
  • Je, IPTL ilikuwa inazalisha umeme na kuwapa TANESCO BURE?
  • Tunajua mgawo wa RUGEMALIRA kwasababu ulienda MKOMBOZI BANK?
MGAWO ulioenda STANBIC BANK, walipewa kina nani??

Ukijibu haya maswali, tutaona kati yangu na wewe ni nani BICHWA lake ni BULLSHIT.

Mnamshikiria RUGEMARILA tangu utawala KIKWETE na MAGUFULI, alikuwa MAHABUSU mmefikia wapi???

Au mawakili wenu hawajui hiyo LIIQUIDITY LIMIT ya BoT Act and regulations???

You are trying to defend STUPIDITY.
BULLSHIT again....

How can ESCROW money be personal money you fool ???

Can somebody Wind-Up A Company without Creditors being informed ???

And what is a Liquidity Limit set by the Bank of Tanzania Act 2006 ???
Did MKOMBOZI BANK adhere to BOT Regulations ???
======================================================

Unbeliavable.....!
​
 
Mada yako na wewe ni dini gani?.Unaeleza alafu unajisahau unaeleeza hisia zako wazi.

Nime kunukuu ukisema wakatoliki hawajui wanacho kitetea.

Watu wanavyotekwa,kufirwa,kubakwa,kuuliwa na kupewa ukilema kwa hiyo Ulitaka wasifu na kuabudu.

Naomba kuuliza dini yako?.

Umetoa mada nzuri ila nimegundua ndio nyie mnaoleta propaganda fulani usipo shtuka unatuchukua.

mfano historia ya rwanda ilikuwa kwa ajili ukabila ila kwa sisi kwenye kusimuliana wanaingiza udini sijui vipi vipi?.Ila wengi walikimbilia makanisani ila ukabila ndio ulikuwa tatizo.

Uganda kipindi cha idd amin napo ni vile vile ukabila .
Umesoma ila hukuelewa mantiki. Rudia tena kusoma.
 
BULLSHIT again....

How can ESCROW money be personal money you fool ???
​

Wewe JUHA, nimekuuliza maswali unayakwepa.

Toa majibu wewe JUHA,

  • IPTL walikuwa wanazalisha umeme na kuwapa TANESCO bure?
  • RUGEMARILA hakuwa na hisa IPTL?
  • Je, SINGASINGA na RUGEMARILA ndio walikuwa wanahisa pekee?
  • IPTL ilikuja TZ, wakati wa utawala wa Mwinyi, na waziri wa Nishati alikuwa Kikwete, alikubali vipi kuingia mkataba wa Kimangungo??
  • RUGEMARILA alikuwa na account MKOMBOZI BANK , na pesa zake za mauzo ya Hisa aliweka hapo. TEC wanahusika vipi hapo?
  • RUGEMARILA mmemkamata tangu mwaka 2014 mkamweka mahabusu, kesi yake mmefikia wapi??

Can somebody Wind-Up A Company without Creditors being informed ???

And what is a Liquidity Limit set by the Bank of Tanzania Act 2006 ???
Did MKOMBOZI BANK adhere to BOT Regulations ???
======================================================

Unbeliavable.....!
​
WEWE ni JUHA.

Huna HOJA.
 
1. Forcible conversions in accessing basic services like education. This is was diabolical, and it forced Nyerere to nationalize Catholic schools so that every child in Tanzania can access education indiscriminately. If these schools were ideal, then a need to nationalize them would not have arose in the first place.

2. Engaging in Grand-Corruption, thwarting scrutiny and waking away from responsibility with Impunity. Why has the Episcopal Conference fail to hold accountable the Bishops and Church Officials responsible for ESCROW SCAM ???

MKOMBOZI BANK is an institution directly under Board of Trustees and TEC. Why didn't they take accountability of sacking bishops and officials who enable the launder of our money ???

3. Cardinal Pengo used his Bully Pulpit to derail Constitutional Reform. If this is not a God-Complex then what is it ??? He was in a position of power. His words mattered, yet he went on to derail the process, and TEC coalesced to his tune. No mora Pastoral Letters and MCHAKATO was "Shot me down Bang-Bang"

4. Yes Indeed. Most of Catholics followers like you tend to defend things with blind obedience. A gallant and faithful crusader of the church. You have a little depth with many things. Understanding how devastating escrow was, you would wake up and push for accountabiliy. TEGETA ESCROW is a prime example, of Voltairian words "If you want to know who rules over you, simply find a person you're not allowed to Criticize".

The Church has been vocal in some issues, but they have a selective outrage.
Some of the issues TEC cannot address simply because it stood to benefit.
==============================================================

​
Unatapatapa. Umeshindwa to back up uzushi wako with clear, solid evidence. Wewe ulikuwa na agenda zako, chuki zako kubwa dhidi ya wakatoliki ambazo ni hatari sana kwa taifa hili sasa hivi.

Kubali ulikurupuka au chuki zako dhidi ya TEC, kanisa Katoliki, Wakatoliki ulishindwa kuzizuia.
 
Ewaah, hilo ndilo swali ambalo wote tuanze kulijibu hapa.

Je, TEC inampinga Samia kwasababu ya Uislamu na Uzanzibari wake pekee ???

Je, TEC haijawahi kuwapinga viongozi wa Kikristo-Watanganyika ???

Je, Duterte alikuwa sahihi kutumia historia ya zamani kuhukumu vitendo vya leo vya kanisa katika kukemea uovu ???

=================================================================
HAYO MENGINE ya kusemwa nimetumwa NIMEKUSAMEHE.
​
TEC kukemea waliyokemea kuna element zipi za udini,maoni yao yana shida ipi,watu hawajatekwa,wapinzani hawajabanwa,waandamanaji hawajadhuriwa?

Ulitaka wakae kimiya ili iweje,baadae yatokee madhara mje kuuuliza walikuwa wapi?
 
Ndio maana nikasema,

Kupata Tanzania mpya,

Lazima tumpate kiongozi asiyepokea mashinikizo toka bakwata wala Tec.

Tukianzia hapo, tutafanukiwa vyema sana.
Kaka hawa bakatwa ni tawi la CCM watamshinikiza nani nao hawa
Maana wao wanatumwa tu na CCM
 
Back
Top Bottom