MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
- Thread starter
-
- #101
Endelea kutema madini. So much to learn from you.
Ni kama umeishia njian.
Objective analysis, ila ukweli the church kwa maana ya Roman Catholic unaliatack ndivyo unaliimarusha na kujijengea anguko lako.
Ukitaka kutawala vema align na hawa watu, kosea, kubali makaosa, onyesha unajutia na unafanya juhudi kurekebisha.
The interst of the church ni wellbeing of the community ndio maana lenyewe binafsi linafanya juhudi hizo.
Asante sana mkuu kwa andiko lako.
Hiyo focus ya Uislamu na Ukristo yote ni ujinga mtupu.
Na hizo divisions za kijinga za Uislamu na Ukristo ndizo zinawafanya mzidi kuwa masikini.
Dini zote hizi zimewapandikizia ujinga tu.
Unazunguka zunguka tu.
Kama TEC walimkosoa na kumpinga hadi Magufuli udini wao upo wapi?
Umewatuhumu TEC kwa udini ndo tunakuuliza hapa kama walimpinga na kumkosoa hadi Mkatoliki mwenzao udini wao upo wapi?
Kubali tu umekosea kuwapa TEC tuhuma za hovyo.
Comprehension ndio shida kwenye huu uzi. Sababu kubwa, ni mleta mada kugusa ukatoliki na kama unavyojua watanzania wenzangu, ukigusa dini hakuna utakachosema waelewe.
Nilivyoelewa mimi, msingi wa hii mada sio madhaifu ya kanisa Katoliki, bali ni msimamo wa yale yanayopiganiwa na kanisa Katoliki. Madhaifu aliyoyataja mleta mada, ilikua ni kuonyesha tu kwamba hawako perfect, kuna sehemu waliwahi kukosea.
Swali la msingi ni je, hawapaswi kusimamia haki sasa kwakua tu waliwahi kukosea kabla? Hawapaswi kumkosoa Samia sasa hivi kwa sababu waliwahi kuhusika kwenye mauaji Rwanda? Watakiwi kupinga mauaji na utekaji sasa hivi kwakua waliwahi kutoa elimu kwa upendeleo kupitia mashule yao?
Nadhani hapo ndipo wengi mnachanganya. Na mleta mada ameenda mbali hadi kuwaonyesha kua TEC waliwahi kuwapinga hata Magufuli na Nyerere ambao walikua wakatoliki wenzao.
Kuna alarm kubwa kwenye ujumbe wa mleta mada, usipotuliza kichwa hauwezi kuiona!
Pengo na mchakato wa Katiba udini upo wapi hapo?Nimetoa mifano miwili:
1. Kanidali Pengo na MCHAKATO WA KATIBA.
2. MKOMBOZI BANK, ASKOFU KILAINI KADINALI PENGO,MAMA MBUNDA na ESCROW
Hakuna anayetoa majawabu yanayoeleweka mpaka sasa. Binafis niko tayari kukiri makosa endapo ntapewa haya majawabu kinagaubaga.
Na hilo la mgosi Adadi Rajabu lifanyie utafiti kidogo maana huwa anasali pale St Albans Anglikana na mie huwa nasali pale.
Malofa
HAPANA, kiutawala na kisheria hili halipo sawa.
Kwenye jinai kuna dhana tunaiita The Concept of Immutability au The Concept of Imputability ambapo vitendo vya WAKALA (AGENT) huhesabiwa kuwa ni vitendo vya MKUBWA (STATE or SUPERIOR) endapo atatumia rasilimali za MKUBWA kufanikisha jambo lake bila MKUBWA kumuwajibisha.
Lakini pia kwenye sheria ya madai kuna dhana inaitwa VICCARIOUS LIABILTY ambapo WAKALA (AGENT) anahesabiwa kuwakilisha matendo ya MKUBWA (SUPERIOR). Leo hii kampuni ni taasisi, lakini makosa ya Mkurugenzi yanaweza kuliponza kampuni zima. AU Mfano mwingine wa kawaida. Unafuga wanyama wako, na wakaingia kwenye shamba langu kuharibu mazao. Nani anawajibika hapa: MNYAMA au MMILIKI WA WANYAMA
============================================================
Kama unachokisema kingekuwa na ukweli wowote, basi kusingekuwa na haja ya KANISA kuomba msamaha kwa MAUAJI YA KIMBARI kule nchini RWANDA kwasababu yalifanywa na viongozi wa kanisa binafsi, tena WAHUTU. Kama unakumbuka mwaka 1988, Majasusi wa Libya walishawahi kutumia silaha kulipua ndege (The Lockerbie Incident) na Kanali Gaddafi akasema kwamba yeye hakuhusika.
Ila ukweli ni kwamba, wale MAJASUSI walitumia rasilimali za serikali na nafasi zao kuweza kufanikisha ule ufedhuli. Serikali ilitakiwa iwawajibishe kuonesha haiungi mkono yale mambo.
====================================================================
Binafsi ningekuwa na uwezo ningezuia kabisa viongozi wa dini wasifanya kabisa siasa za moja kwa moja. Nimekuwa nikiyasema haya kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Hata ule utaratibu wa kupokezana MKATOLIKI na MUISLAMU kwenye nafasi ya URAISI umesaidia nchi kutulia lakini pia umechangia sisi kufika hapa tulipo leo.
WAISLAMU na WAKATOLIKI huamini kwamba wao ni lazima watoe RAISI. Marehemu Mzee Lowassa aliwahi kwenda kanisani na kusema kipindi hiki ni zamu yetu WALUTHERI kutawala nchi. All hell broke lose. Kesho yake yaliyolewa matamko mazito kutoka kwa maaskofu, makada wa CCM na watu wengine wengi wasiompenda, kwamba anataka kuleta udini. Mimi binafsi nilighafirika sanaaaa.
Ila leo hii nikiangalia ukweli, Mzee Lowassa hakusema jambo ambalo CATHOLICS and MUSLIMS hawajawahi kusema hadharani. Kila DINI huunga mkono mgombea wao, na huu ndiyo ukweli mchungu kwa Tanzania. Tutapinga hapa ila ndani ya mioyo yetu tunafahamu ukweli.
======================================================
Hawezi kukupa huo ushahidi zaidi atapuyanga tu.Kadinali anamwakilisha Papa. TEC inawakilisha Maaskofu, wakatoliki Tanzania.
Mimi sio mkatoliki. Lakini karibu vitu vyote walivyosema kabla ya huu unaoitwa uchaguzi na baada ya uchaguzi, wanawakilisha matakwa, hisia na maoni ya Watanzania. Wanapigania haki ya kila Mtanzania bila kujali dini. Bakwata wangefanya hivyo ningewakubali pia.
Wewe unawashutumu kwa mambo ya uongo. Bado hujatoa ushahidi kuhusu shutuma zako, unazunguka mbuyu.
Hizi ndio shutuma zako, bado hujaleta ushahidi kuthibitisha tuhuma zako
1.Viongozi wa Katoliki huwa wana udini uliopitiliza.
2. Wanaamini hii nchi ni mali yao.
3. Wanajiona wana haki ya kusema kama MIUNGU-WATU.
4.Ukiwasikiliza huwa hawaelewi kwanini wanatetea mengi wanayotetea.
5.Mengine siyo kutetea HAKI bali ni RELIGIOUS IMPULSE, rooted from entitlement and parochial
Mtoa mada Leo amejichanganya sana hasa katika kujibu maswali aliyokuwa anaulizwa.Comprehension ndio shida kwenye huu uzi. Sababu kubwa, ni mleta mada kugusa ukatoliki na kama unavyojua watanzania wenzangu, ukigusa dini hakuna utakachosema waelewe.
Nilivyoelewa mimi, msingi wa hii mada sio madhaifu ya kanisa Katoliki, bali ni msimamo wa yale yanayopiganiwa na kanisa Katoliki. Madhaifu aliyoyataja mleta mada, ilikua ni kuonyesha tu kwamba hawako perfect, kuna sehemu waliwahi kukosea.
Swali la msingi ni je, hawapaswi kusimamia haki sasa kwakua tu waliwahi kukosea kabla? Hawapaswi kumkosoa Samia sasa hivi kwa sababu waliwahi kuhusika kwenye mauaji Rwanda? Watakiwi kupinga mauaji na utekaji sasa hivi kwakua waliwahi kutoa elimu kwa upendeleo kupitia mashule yao?
Nadhani hapo ndipo wengi mnachanganya. Na mleta mada ameenda mbali hadi kuwaonyesha kua TEC waliwahi kuwapinga hata Magufuli na Nyerere ambao walikua wakatoliki wenzao.
Kuna alarm kubwa kwenye ujumbe wa mleta mada, usipotuliza kichwa hauwezi kuiona!
Hawezi kukupa huo ushahidi zaidi atapuyanga tu.
Na hiyo thinking fikiria huyo ndo think tank wa TISS. Ndo uelewe kwa namna gani hili Taifa limejifia.
Akhsante sana ndugu Mpwimbe kwa michango yako yenye utimamu wa hoja.Hakuna MJADALA TIMAMU uliojengwa kwenye UONGO, ILLUSIONS na STORI ZA KUFIKIRIKA.
Unataka mjadala TIMAMU jenga hoja kwenye USHAHIDI.
Hufurahii unyanyasaji, ila wanaopinga unyanyasaji WANAKUKERA.
Kasimulie wajinga hizi stori.
Binafsi, sijawahi kuona TAMKO la TEC la Kisiasa, kama lipo liweke hapa.
Matamko ya TEC ni ya KIBINADAMU, KIUTU na KIJAMII kama UHAI, HAKI ZA KIRAIA na KIBINADAMU.
Sijaona TAMKO la TEC la kusema WANANCHI WACHAGUE MTU FULANI. Kama lipo liweke.
MAUAJI, WIZI, UPORAJI, RUSHWA, DHULMA siyo SIASA.
Kupiga magoti kwa KADINALI kama Nani??
ALikuwa kiongozi wake wa Kiroho au kama nani??
Maana Kadinali siyo kiongozi wa Maaskofu Katoliki kama ambavyo vibuyu wa CCM wanaamini.
Udini upi?
Hebu share hapa huo udini ulioletwa na TEC kwenye elimu.
Hii mada yako, naona NI MATAPISHI YA PROPAGANDA in and OUT.
Umekula KITIMOTO iliyochacha???
Hii ilikuwa mwaka gani??
Hoja yako ni nini?
Tuko page ya 4?
Naona kila ukiandika ni KINYESI tupu.
Sisi kama umma tuna HOJA ZETU.
Wanachozungumza TEC ni SAUTI yetu.
Maana sisi tukisema MNATUMUDU, Ndio maana kina MDUDE, DEO SAKA, KIPANYA hawapo.
TEC wanasema kwa niaba yetu. Hizo stori zao za nyuma sisi hazituhusu.
Wenye akili timamu wana dili na SOURCE.
Hapa unachojaribu kufanya ni kutupia LAWAMA wasiohusika na kutaka ku-NORMALISE UJUHA na MAUAJI.
Walisaidiaje?
Mapadre gani walikimbilia uhamishoni??
Unatapika sana UJUHA kwenye hii mada.
Magufuli aliwekwa na Mkapa kama kijana wa Mkapa, na ushahidi uko humu, tangu mwaka 2014.
Kwamba TEC walimweka, kwahiyo TEC ni NEC ya CCM, na Halmashauri kuu ya CCM.
Kama TEC walimweka MAGUFULI, kwahiyo Samia kawekwa na BAKWATA???
Kwahiyo kama yana mlolongo mrefu ndio yanatakiwa kuendelea???
Wayamalize vipi?
TEC walishatoa USHAURI hata kabla ya uchaguzi na baada ya mauaji wakatoa ROAD MAP.
Hawajaua mtu na hawana hatia.
Wenye hatia wawajibike. Jambo rahisi tu.
Ukae chini nani na nani?
Samia kachaguliwa na nani?
Kaua watu ili amtawale nani??
Wenye matatizo zaidi ni waliozika. NGUO.
Matatizo ya MUUAJI, MFIRAJI na MTEKAJI hayawezi kunihusu.
WIZI, UPORAJI, MAUAJI, UTEKAJI ni matendo ya hiari ya KUJITAKIA.
MJADALA TIMAMU unajengwa kwenye UKWELI na USHAHIDI.
Siyo PROPAGANDA MAVI unazojaribu kutapika hapa ndani.
Kadinali anamwakilisha Papa. TEC inawakilisha Maaskofu, wakatoliki Tanzania.
Mimi sio mkatoliki. Lakini karibu vitu vyote walivyosema kabla na baada ya huu unaoitwa uchaguzi wanawakilisha matakwa, hisia na maoni ya Watanzania. Wanapigania haki ya kila Mtanzania bila kujali dini. Bakwata wangefanya hivyo ningewakubali pia. TEC inatakiwa kuungwa mkono na kila Mtanzania kutoka dini zote, makabila yote, watu wote wanayoitakia mema hii nchi kutoka.
Wewe unawatuhumu kwa mambo ya uongo. Bado hujatoa ushahidi kuhusu tutuma zako, unazunguka mbuyu.
Hizi ndio shutuma zako, bado hujaleta ushahidi kuthibitisha tuhuma zako
1.Viongozi wa Katoliki huwa wana udini uliopitiliza.
2. Wanaamini hii nchi ni mali yao.
3. Wanajiona wana haki ya kusema kama MIUNGU-WATU.
4.Ukiwasikiliza huwa hawaelewi kwanini wanatetea mengi wanayotetea.
5.Mengine siyo kutetea HAKI bali ni RELIGIOUS IMPULSE, rooted from entitlement and parochial
M
Mtoa mada Leo amejichanganya sana hasa katika kujibu maswali aliyokuwa anaulizwa.
Hali hii imeharibu mtiririko wa mawazo aliyokusudia kutuelimisha au kutufahamisha.
Natambua ni moja ya Hazina kubwa na kisima cha Elimu kwa sisi upcoming GT.
Asiishie kusema hatujaelewa madam yake, ni yeye ndio kajichanganya.
Kanisa kuwahi kukosea ni mada mpya inayopaswa kujadiliwa tofauti kwa mapana yake kulingana na muktadha.Nimetoa mifano mingi ila naishiwa kuambiwa, hayo ni matendo binafsi ya maaskofu siyo kanisa. Kanisa linafanya kazi kupitia TEC. Haya sasa nikuulize swali rahisi labda. Unadhani Kanisa Katoliki halijawahi kuwakosea watanzania ???
It seems you're committed to misunderstanding me.
Legally, the actions of a Cardinal, Bishop or The Episcopal Conference may be attributed to the Vatican and The Holy See, if they have been executed using resources of the Church. If today, a Bishop solicits genocide, he will be individually Criminally liable, but the Vatican will also be liable at State Level.
If you can't grasp this concept, then there's no way I can make you understand.
Hawezi kukupa huo ushahidi. Imeisha hiyo. Ataishia kukuletea stori za afulela ulela tu.Naona unakwepa, umegoma kutoa ushahidi wa tuhuma ulizozitoa. Unazunguka palepale.
Mifano yako Iko nje ya mada yako kwa kiasi kikubwa.Nimetoa mifano mingi ila naishiwa kuambiwa, hayo ni matendo binafsi ya maaskofu siyo kanisa. Kanisa linafanya kazi kupitia TEC. Haya sasa nikuulize swali rahisi labda. Unadhani Kanisa Katoliki halijawahi kuwakosea watanzania ???