Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Wanaume tuko wachache sana .
Pesa wala kupeleka moto si kitu cha kumfanya mwanamke awe happy.
Mtatupatia taabu sana sisi tuliobaki wanaume
Kumbe kuna nini tena, kufa wote, kuosheana vyombo na kujigaragaza kwenye mkeka ama?
Waulize hata wao watakwambia "Money matters, dick does"
 
Mimi naogopa sana ndugu yangu, najua binadam hatufanani hisia tukishatofautiana tu sijikuti Sharu Khan napotea mapema sana kujiepusha na matatizo.
Nduguu kama mm mpwaaaa
Majuzi nilikuwa beach moja kawe jamaa kanywa jiran kamshika malaya makarios mwanamke anataka 10 k jamaa anataka akagonge asivhukue chupa apige chin ya beer...yaan 10 ilintoka gafla mwanamke akaenda bar akagiza beer akaja kukaa na. M pemben na m kaninunulia kumaliza nkakimbia sijui kama walitakana tena...shida mpaka ujulikane yeye ana shida ndugu ushazeaa vya kutosha

Mbaya hawa malaya wana namba za mapolisi kama wote hadi wakuu wa vituo wakivuta simu angani defender hiooooo

Wapigie kuna ajali ndio utaelewa wakoje....

Tujilinde. Sana na hawa watu
 
Wanawake wanamajaribu sana anaweza asikutafte hata mwaka mzima, ilhari wewe ndo umake the move... lakini pia hawapendi kuzongwa na kuambiwa ukweli, wanapenda kuplay victim
 
mpaka.kesho namdai jiran hela yangu anasema nilitoa sadaka nataka mwisho wa mwezi ana mshahara namlengesha kwa yule yule demu
 
Kwa sasa hatuna Wake tuna wafanyabiashara wa ndoa ni matapeli kweli kweli. Binafs siamin KE hata anipe nini*
 
Hapo mwisho ndio jibu sahihi,unawapuuzia ili maisha yaendelee...
 
Sina ujanja mwingine m n kuongea au kuliiiiia weeeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ila sku nkijua kupgaπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
Dadeki hakuna Mke hapa kuna Komando Kipensi asie na technique.
 
Money, dick plus maujanja hawa ni kama watoto tu. Ukiwa term kama watu wazima ur done
Sawa sawa mkuu, shida hayo maujanja si wengine sio wanyama kiviiile kama kina Jay Melody🀣
 
Sema unataka shingap nkupe uachane na maisha yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί Ooooh nimekwisha mimi....
😁😁😁 Hainaga vipimo chuki chuki...
Nipe 1.5M yaani nahama mpaka jf humu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…