Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
ukinikwaza nkikasirika ile kabisa aloooh,,sjui nseme ninKwenye hasira, kununa na wagomvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukinikwaza nkikasirika ile kabisa aloooh,,sjui nseme ninKwenye hasira, kununa na wagomvi.
Oya 😂😂Hahaaaaaa na sie tupo ashindwe yeye tu
Kumbe kuna nini tena, kufa wote, kuosheana vyombo na kujigaragaza kwenye mkeka ama?Wanaume tuko wachache sana .
Pesa wala kupeleka moto si kitu cha kumfanya mwanamke awe happy.
Mtatupatia taabu sana sisi tuliobaki wanaume
Nduguu kama mm mpwaaaaMimi naogopa sana ndugu yangu, najua binadam hatufanani hisia tukishatofautiana tu sijikuti Sharu Khan napotea mapema sana kujiepusha na matatizo.
Umenfahamia wap ghafla iv🙄🙄😁😁😁😁 Ni wewe ndio ni wewee
Ni mpole ila sasa...
Money, dick plus maujanja hawa ni kama watoto tu. Ukiwa term kama watu wazima ur doneKumbe kuna nini tena, kufa wote, kuosheana vyombo na kujigaragaza kwenye mkeka ama?
Waulize hata wao watakwambia "Money matters, dick does"
Sijakufahamu nakuskia skia tuu 😁😁😁🙌🙌🙌🙌Umenfahamia wap ghafla iv🙄🙄
Kwa sasa hatuna Wake tuna wafanyabiashara wa ndoa ni matapeli kweli kweli. Binafs siamin KE hata anipe nini*Nduguu kama mm mpwaaaa
Majuzi nilikuwa beach moja kawe jamaa kanywa jiran kamshika malaya makarios mwanamke anataka 10 k jamaa anataka akagonge asivhukue chupa apige chin ya beer...yaan 10 ilintoka gafla mwanamke akaenda bar akagiza beer akaja kukaa na. M pemben na m kaninunulia kumaliza nkakimbia sijui kama walitakana tena...shida mpaka ujulikane yeye ana shida ndugu ushazeaa vya kutosha
Mbaya hawa malaya wana namba za mapolisi kama wote hadi wakuu wa vituo wakivuta simu angani defender hiooooo
Wapigie kuna ajali ndio utaelewa wakoje....
Tujilinde. Sana na hawa watu
Sina ujanja mwingine m n kuongea au kuliiiiia weeeeee 😂😂😂🤣🤣ila sku nkijua kupga🙌🏾🙌🏾Ukimind sana omba taraka tusitishane🤣
Hapo mwisho ndio jibu sahihi,unawapuuzia ili maisha yaendelee...Asalaam,
Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.
Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.
Mimi hata niwe na magumu kias gani napokua na mwanamke hasira, huzuni, majonzi na simanzi zangu huweka pembeni ili nisimuambukize mwanamke wangu.
Hili suala la dakika mbili mbele nyuma ndo linanikwaza hasa, na si kwa huyu tu kote nilikowahi kupita mambo ni yale yale, Nyie wanawake ndo mlivyo au ni mimi sijui kuCARE?
Mlooa mnawezaje kumaster hii changamoto, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
Sema unataka shingap nkupe uachane na maisha yangu 😂😂😂😂Sijakufahamu nakuskia skia tuu 😁😁😁🙌🙌🙌🙌
Mtu akutane na gume gume kama wewe, unabembeleza nini? Gone case.Mwanaume asiyejua kubembeleza❌
🥺🥺🥺 Ooooh nimekwisha mimi....Sema unataka shingap nkupe uachane na maisha yangu 😂😂😂😂