Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Sifa kubwa ya mwanaume ni kuwa na pride regaWewe ambaye sio coward ulifanyaje mpaka ukawa jasiiri pro max
ukiwa unalialia kwa wanaume wenzako unatofauti gani na mwanamkeDuuh asee ni kweli haliiii ila anateseka hujiulizi kwann wanaume wanawahi kufa ni kwasababu tunajaza Vifua na changamoto nyingi bila kuzi air out mkuuuu
Huo sio ujasiri ujasiri ni uwezo pia ya ku express emotions zako in a meaningful way bro
Sio kila shida uibebe tu moyoni bila kuitoa njee kidogo ni muhimu muda mwingine kujiweka freee
Sasa usipotamani maisha ya matajiri utawezaje kuwa na hard working aura kwenye nafsi yako ili halihapendi kutaman taman maisha ya wanaume wengine ana focus kwenye malengo yake
Hiyo pride rega ni nn kwani nielewesheSifa kubwa ya mwanaume ni kuwa na pride rega
ukiwa unalialia kwa wanaume wenzako unatofauti gani na mwanamke
Huwezi kaa mbele ya wanaume wenzako unawaambia unataman ungezaliwa kwenye familia ya dewji au bakheresaSasa usipotamani maisha ya matajiri utawezaje kuwa na hard working aura kwenye nafsi yako ili hali
Ukimuuliza mtu kwann unataka kuwa tajiri utasikia ninunue nyumba nzuri kama ya Mo au nile watoto wazuri kama mond au ninunue gari zuri kama la cr7
Sasa hiyo ni nn si tamaa hamna mtu anayetafuta utajiri ambaye hakuwahi kutamani utajiri wa mwenzake au mafanikio ya mwenzake
Dunia ya sasa lazima ujilinganishe na watu mkuuu ili upate moyo wa kufight maana hij ni competition mkuuuu
Huishi pekeako duniani lazima utake kuwa best of the best tu
Ndio mimi huyoDaah sina usingizi nasoma vituko vya madogo wa jf.
Wewe si ndo umezaliwa 2006?
Duuh sawasawa point noted πHuwezi kaa mbele ya wanaume wenzako unawaambia unataman ungezaliwa kwenye familia ya dewji au bakheresa
Mwanaume ni problem solver means ni solution sawa kwenye familia yenye kipato kidogo ikwamue familia yako na sio kulia kulia mbele ya wanaume
Hata hizo familia za kitajiri unazoziona kuna mtu alijitoa mpaka wakafika hapo hawakufika hapo kimuijiza
Usipende kudandia mafanikio ya watu wengine wewe ni wa kiume
Kila mtu ana matatizo yake na changamoto zake usifikiri wewe ndo unashida pekee yakoHiyo pride rega ni nn kwani nieleweshe
mi sijalialia nimetoa dukuduku langu linalonitesa moyoni au unataka nife na tai shingoni π€
Mimi ni last born wa jfNdio kwani nani πππ
ma mdogo wetuSawasawa mtoto mdogo wa 26 ππ
Imekaa poa hapo brooππππ Dogo letu
Mzee mwenzangu kwa umri wote wako huo hujajua tu kusoma kwa ufahamu na kufuata maelekezo? Amekuambia hataki kusikia hayo maneno ya 'majaliwa tu ni mapenzi ya Mungu'Turidhike na majaaliwa ya mwenye-enzi Mungu, hizo ni kudra zake.