Sidhani kama watoto wa MO au Bakhresa wanajuta kuzaliwa kwenye familia zao 🤔

Kweli kabisa mkuu.Ni bora uwe na watt wachache lakin umewandalia future..
 
RTID
 
Inategemea furaha yao wanaipata wapi..!! We jiulize tu, ile mihogo ya Coco beach Dar, na vile vimishikaki vya kswahili, kuna mtu anatoka uswahili kwenda kula pale? Yaani mtu atoke Mbagala Kilungule afuate mihogo pale?

Na wao kuna mambo wanajuta..!! Usikute kuonana na baba yao ni kwa taabu sana..!!
 
Kaka siri ya mtungi aijuae kata, usipende kutamani utajiri wa mtu ndugu yangu watu wanayopitia kwenye utajiri wao ni shida sana wanatamani kuishi kifukara sana wanayokutana nayo uko ni hatar sana but shukur mungu alichokupa pambana ipo day mungu atakupa

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Usindanganye mtu bana ..... kua fukara ni rahisi kuliko kua tajiri, so ka kuna tajiri anapitia magumu mwambie aje huku kwetu ufukaroni hatukatai mtu
 
Unatakiwa kumlaumu aliyekutoa kiunoni mwake
Kwa sababu ya ufukara ilikua nisizae sema mapenzi yali nilaghai nikapata watoto wawili sasa wanavyonipelekesha kumaintain angalau robo ya standards za maisha niliyoyategemea hatakuvaa na kula vizuri siwezi
 
Dogo unajua uhai, pumzi na uzima. Haki ya Mungu, Mungu anisamehe kwakuapia, ungekuwa unaishi Maruku ugonjwa wa Marburg ulipoanzia siungeishi na kufa kwa kihoro kabisaa. Ukiweza kupita hapo, utajifunza kuanza kuappreciate pumzi yako maana hayo infectious diseases ni chain or vicious cycle, hata uwe tajiri asilimia ya kukufikia ni 95%. Siku utakaa nakutafakari kumbe huu uhai wangu ni wamuhimu hivi na unathamani hivi maana hata ningekuwa kwenye ghorofa, ungekufikia pasipo kujali status yako. Ukivuka kihunzi hicho, utakaa chini na kuanza kupanga maisha yako bila lawama au kujutia. Nimetoa mfano halisi wa Tanzania, sijatolea mfano wa nje ya nchi yako. Tulia, upange maisha yako nauache tamaa wala lawama maana ukishusha maisha ya kila mtu kwenye basic level, utapigania uhai na pumzi yako kuliko utajiri. Sasa wewe unajuta na mkewe akajute kwanani na watoto wakajute kwanani. Standing stone ya taifa au dunia ni mwanaume, ndio maana utasikia misaada kwa wanawake na watoto ila simwanaume. Nataifa likianza, litaanza na kuwawezesha wanaume kwanza mfano ni DRC, siunajua walichokifanya lakini. Sasa unataka utoe lawama, ndio utaleta huo utajiri. Hizi medical na psychological facts zisikiage tu ila jua kuzichambua, umeambiwa kuwa wanaume tunabottom up machungu mengi vifuani mwetu, mwishowe hufa mapema au tunapata mental disorders. Ila jua wapi pakuziapply kutokana na jamii yako husika, hii ni nchi ya 3 kwauchumi, usiyaishi ya kitabuni kama vile ulimwengu wako ni wa 1. Hizo research zilifanyika huko ulimwengu wa 1. Acha lawama, napambana kufika juu, mzazi kakuzaa, kakulisha, kakutunza na kukupa elimu basi ujue kwa ulimwengu wetu amefanya mambo makubwa sana. Usimbeze, laasivyo njoo mikoani hasa huku kijijini utalia. Ila baba yako hakulaumu mtu.
 
Safi sana mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Nahisi ni wengine hawana uelewa bado wa kuhusu financial freedom. Sio ndio kwamba wabinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…