Uchaguzi 2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

Ni kweli mkuu ukienda Nyamongo Mara utakuta maskini wazee wakikesha kumuombea arudi. sababu aliwapa huduma ya kisheria bure hadi wakafanikiwa azma yao. Magufuli akitaka heshima yake ipande apambane na huyu amshinde kihalali. Atachuma sifa za ajabu. Akianzisha zengwe lolote atanuka nyumbani na ugenini.
 

haina haja ya watu kujitokeza kila mda maaana jamaa anakubalika nje na ndan ya nchi!! kiukwel tumechoshwa na upinzani uchwara kila mara kuchukua watu wa ccm badala ya kuchukua watu wao wenyewe, sitaki kuweka picha za upande wa pili maana ni aibu ila mwenye macho apa anaona
 
Lissu anaweza kuliko JPM kwa kiasi kikubwa kabisa. Lissu ni msomi aliyesomeka tofauti ya JPM ambaye usomi wake ni ule wa kuficha takwimu kama vile takwimu za corona. Ana mambo ya kienyeji sana kweli Tz tunaaibika sana kwa mtu huyu kuwa kiongozi.
 
Reactions: BAK

prove ya kwamba wananchi wamewachoka hii apa
 
Lissu anaweza kuliko JPM kwa kiasi kikubwa kabisa. Lissu ni msomi aliyesomeka tofauti ya JPM ambaye usomi wake ni ule wa kuficha takwimu kama vile takwimu za corona. Ana mambo ya kienyeji sana kweli Tz tunaaibika sana kwa mtu huyu kuwa kiongozi.

lissu lingemkuta janga la corona angekua hajui la kufanya maaana hajui na hawezi ata chemia, yaani na agenda yenu ya corona bado mmeaibika sana na cha ajab mnafuata yale yale ya jpm., kama ulikua na mapenzi na nia ya upinzani ungekua lockdown saaahv ila kwa kua unamkubali mwamba uko mtaani saahv kama kawa na barakoa hujavaa, huu unaitwa unafki wa sifa
 
Hivi nyinyi akili zenu zinawatosha? Nchi ina Rais bora kabisa kwasasa, nyie mnataka kutuletea wendawazimu.

Kama mnamuona anafaa mbona hamjampa chama chenu kwanza akiongoze tuone. Hii nchi siyo ya majaribio
apo sasa
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👊🏽👊🏽👊🏽Lissu for President.

 
Ugombea uraisi sio shindano la Kutafuta mwenye IQ kubwa!!!!! sio IQ TEST COMPETITION!!!
Hakuna aliyesema hivo mkuu lkn inatakiwa awe mwenye akili timamu sio tutegemee aendeshe nchi kutokana na atakavyoamka hata Baba wa Taifa Mwl Nyerere alikataza japo ccm huwa hamutaki kumsikia Mwal
 
Wewe Tundu Lissu acha kujisifia ujinga. Wewe hufai hata kuongaza familia yako. Kwanza ni mnafiki pili huna upendo wa dhati na nchi yako.

Umediliki hata kula njama nchi yako ikose misaada. Huku ukijua wazi ya kuwa nchi ikikosa misaada haumii Magufuli bali wananchi tena wanyonge.

Umekuwa ukipinga wazi juhudi za Rais za kurekebisha mikataba ya madini ukidai nchi itafilisiwa.
 
Lissu is our saviour , I hope that after archived to rule this country, First we suppose to arrest Juma maharage and his family , and to keep them in jail without bail
No,don't procecute them,let's make them regret and have National Reconcilliations.Some of them it's because of Brain Hunger.
 
Ama kweli MTU akinywa uji huropoka tu umesahau singida mashariki hawakuwa na maji sembuse akipewa nchi alipinga ujenzi was Barbara akisema kilimo kwanza utatembea juu ya maindi?? Ety bwawa la umeme Galina faida anadhani watanzania wanatumia umeme was mavi??? Ukiwa huna cha kuongea fyata mdomo wako tuna hasira na Hutu mpuuuzi
 
Lissu anaweza kuliko JPM kwa kiasi kikubwa kabisa. Lissu ni msomi aliyesomeka tofauti ya JPM ambaye usomi wake ni ule wa kuficha takwimu kama vile takwimu za corona. Ana mambo ya kienyeji sana kweli Tz tunaaibika sana kwa mtu huyu kuwa kiongozi.

Unaaibika wapi. Sasa Niko hapa Ujerumani Napata [emoji481] Bier. Sina wasi na ndugu zangu wa TZ. JPM anatosha. Nyie wapenda taarabu nendeni mkajipange mstari. Ila JPM machine. yani mtu anapata muda wa kucheza na kuimba taarabu hapa no lock down na bado anaropoka.

Turudi kwenye uhalisia, Hivi Lissu aliyekanwa na wadhamini Wake anawezaje hata kuwaza kugombea ukatibu Kata. Mnajifanya mmesahau kesi ya wazi kabisa 2017. tafadhari. Msipende kushiba mtandaoni rudini kwenye ground. Ukweli muhimu hata kama unauma.
 
Singida hawakuwa na maji. Cabinet ya JPM ilijiapiza kupeleka miradi ya maendeleo ktk majimbo ya wapinzani. Na hili ndilo linamwondolea sifa ya kuwa Rais JPM ni mbaguzi hafai kuvumiliwa kwa namna yoyote
 
Eti ujerumani. Yaani unaona kuwa ujerumani ni dili?? 😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…