Uchaguzi 2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

No,don't procecute them,let's make them regret and have National Reconcilliations.Some of them it's because of Brain Hunger.
Very correct. It is not their mind. Sometime insanity may be the reason.
 
Hakuna aliyesema hivo mkuu lkn inatakiwa awe mwenye akili timamu sio tutegemee aendeshe nchi kutokana na atakavyoamka hata Baba wa Taifa Mwl Nyerere alikataza japo ccm huwa hamutaki kumsikia Mwal
Anaendesha nchi kutokana na alivyoamka. Huyu ni mtu aliyechoka amekosa integrity. His is not connected anymore apumzike asitupeleke shimoni.
 
CDM isikubali kurudia kosa la 2015,Mh.Lissu,Tumaini Jipya la Watanzania.No Hate No Fear!!!
No hate no fears.. chadema ni mpango wa Mungu. Alisema 2020 itakuwa imefutika. Aje aseme tena maneno yake.
 
Hahhaaa misaada inaliwa na wanaccm na vyombo vinavyomlinda wala haifiki kwa wananchi. Sasa mmekosa na mwaka huu hela za kampeni naona mtakopa. 😄😄
 
Hawa makamanda uchwara wanadhani hizi proprganda zao zinasomwa na watanzania wote, ha ha ha.
Hahaaa mara mnasema chadema iko mitandaoni tu. Tukiwaonesha mafuriko huko field mnasema ooh! Hawa hawapigi kura. Nyinyi waswahili bwana!
 
Jiwe hachelewi kuweka mpira kwapani.Rejea uchaguzi serikali za mitaa!
 
Naamini Mungu alikuwa na makusudi maalum ya kumnusuru na zile mvua za risasi zilizoelekezwa kwake kule Dodoma

Na makusudi yenyewe ni kumwezesha kuwa Mkuu wa nchi
 
Ukiachana kuzungumzia nchi lisu amefanya kipi ambacho kimejenga chadema, kuhusu utawala wa kisheria ameshindwa kuisaidia chadema kuondokana na utawala wa kifalme
 
Ukiachana kuzungumzia nchi lisu amefanya kipi ambacho kimejenga chadema, kuhusu utawala wa kisheria ameshindwa kuisaidia chadema kuondokana na utawala wa kifalme
hili swali ni la umuhimu sana. chadema na makada wote wa chadema waungane kulijibu.
 
Udhaifu mkubwa alionao lisu Ni kuamini wazungu wanaweza kuisaidia Tanzania kimaendeleo bila unyonyaji
 
Hakuna Kama Lissu.
Tunashukuru kwa sifa alizo mwagiwa Tundu Lisu. Naweza kusema kuwa Tundu Lisu hana sifa hizo za kuweza kumfanya awe raisi wa jamuhuri ya mungano wa Tanzania. CHADEMA kimekuwa ni chama kinacho tumia udhaifu mkubwa wa ukosefu wa ufahamu unao wakumba watanzania walio wachache. Huwezi sema lisu awe raisi wa jamuhuri ya mungano huku akiwa amekosa koti la uzalendo juu ya nchi yake. Huwezi fungulia kesi nchi yako ingali ipo katika mapambano ya kujikwamuwa kiuchumi. Lisu kakosa kuonyesha uzalendo huo kwa nchi yake. Tulitegemea kumwona akitowa support kwa JPM.Tanzania hamna wapinzani wa kweli mtu anaka uko ughaibuni muda wote kwa kazi ipi Zaidi ya kubebwa na mabepari kila siku ni kupiga makelele mitandaoni nakutumia udhaifu wa ukosefu wa uwelewa wa watanzania walio wachache.Lisu siyo mwajibikaji wa kweli kwasababu ya kushindwa kutetea jimbo lake na kuweza kuwapambania wananchi wake katika kuleta maendeleo, anaitwa kurudi kazini anasingizia matibabu ya sio kuwa na mwisho na kusingizia serikali hampi hata pesa ya matibabu kumbe ni uwongo mtupu. Tanzania sasa tunatakiwa kungana na kushikamana kuwa kitu kimoja na si kupiga kelele na mboyoy zisizo na misingi yoyote Zaidi ya kupotosha walio wachache wanao kwamisha maendeleo ya Taifa. “Leadership is less about the position you hold than the influence you have. It's about doing world-class work, playing at your peak, and leaving people better than you found them. It's about Leading Without a Title.” ~ Robin Sharma
 
1. Ni kiogozi shupavu na jasiri, hili litamwezesha kufabya maamuzi magumu na yenye tija kwa taifa. Wananchi wanaamini hataishia maneno ya majukwani tu bali atatenda kwavitendo na sio maigizo kama ya Rais Mafufuli.

*************
Kumbe kuiuza nchi yako kwa mabeberu ni ushupavu? Kumbe kushirikiana kuihujumu nchi ni ujasiri na hili la maamuzi magumu unamaanisha kuzikamatisha Ndege zetu kwa mkulima?

Hakika kuwa uyaone.

***************

3. Uwezo wa kutuvusha kiuchumi. Mhe Tundu Lissu anafahamika vyema kama mpambanaji wa maslahi kwa wananchi. Anajua vyema changamoto za maisha ya wananchi. Sio kujenga fly over ya mita 500 ubungo na kwenda kuimbia nyimbo tandahimba! INAHUSU!!

*********
Kama alishindwa kuishauri Chadema kujenga ofisi ya makao makuu anaweza kujenga nchi?

Kama ameshindwa kuiongezea vyanzo vya mapato TLS akiwa Rais ataweza kuiongezea nchi mapato?

***********

5 . Ni msema kweli. Hili ni sifa bora kabisa ktk utawala wa dunia ya kwanza zilizoendelea. Hawezi kusema kuwa tatizo halipo kwa kulificha. Mdororo wa uchumi na uhusiano wa kimataifa umekuwa ndio wimbo wake siku zote kiasi mahasimu wake wasiopenda ukweli kumwinda na pengine kutaka kuondosha uhai wake. Lisu ni mpenzi wa Mungu kweli kweli.

**********
Naona umeamua ku control C na ku control V
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…