- Thread starter
- #101
Very correct. It is not their mind. Sometime insanity may be the reason.No,don't procecute them,let's make them regret and have National Reconcilliations.Some of them it's because of Brain Hunger.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very correct. It is not their mind. Sometime insanity may be the reason.No,don't procecute them,let's make them regret and have National Reconcilliations.Some of them it's because of Brain Hunger.
Of all times.The Greatest
Anaendesha nchi kutokana na alivyoamka. Huyu ni mtu aliyechoka amekosa integrity. His is not connected anymore apumzike asitupeleke shimoni.Hakuna aliyesema hivo mkuu lkn inatakiwa awe mwenye akili timamu sio tutegemee aendeshe nchi kutokana na atakavyoamka hata Baba wa Taifa Mwl Nyerere alikataza japo ccm huwa hamutaki kumsikia Mwal
No hate no fears.. chadema ni mpango wa Mungu. Alisema 2020 itakuwa imefutika. Aje aseme tena maneno yake.CDM isikubali kurudia kosa la 2015,Mh.Lissu,Tumaini Jipya la Watanzania.No Hate No Fear!!!
Hahhaaa misaada inaliwa na wanaccm na vyombo vinavyomlinda wala haifiki kwa wananchi. Sasa mmekosa na mwaka huu hela za kampeni naona mtakopa. 😄😄Wewe Tundu Lissu acha kujisifia ujinga. Wewe hufai hata kuongaza familia yako. Kwanza ni mnafiki pili huna upendo wa dhati na nchi yako.
Umediliki hata kula njama nchi yako ikose misaada. Huku ukijua wazi ya kuwa nchi ikikosa misaada haumii Magufuli bali wananchi tena wanyonge.
Umekuwa ukipinga wazi juhudi za Rais za kurekebisha mikataba ya madini ukidai nchi itafilisiwa.
Hawa makamanda uchwara wanadhani hizi proprganda zao zinasomwa na watanzania wote, ha ha ha.mtaendelea kuichukua kupitia mitandaoni
Lissu is the Desired One. Any tanzanian knows this very well.👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👊🏽👊🏽👊🏽Lissu for President.
Hahaaa mara mnasema chadema iko mitandaoni tu. Tukiwaonesha mafuriko huko field mnasema ooh! Hawa hawapigi kura. Nyinyi waswahili bwana!Hawa makamanda uchwara wanadhani hizi proprganda zao zinasomwa na watanzania wote, ha ha ha.
Wangekuwa na Drones wangezituma zimmaliza huko huko ujerumani alikofika.😆😆Kabisa mkuu.....
Sasa hawa ccm wanaogopa hadi kivuli cha TUNDU Lissu
Endeleeni kujifariji tu, hamna tatizo.Hahaaa mara mnasema chadema iko mitandaoni tu. Tukiwaonesha mafuriko huko field mnasema ooh! Hawa hawapigi kura. Nyinyi waswahili bwana!
Naamini Mungu alikuwa na makusudi maalum ya kumnusuru na zile mvua za risasi zilizoelekezwa kwake kule DodomaKama wewe ni mfatiliaji wa siasa za Tanzania na Afrmixlchaliana na mimi kuwa kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikosa kiongozi bora wakuongoza watanzania kwa maslahi ya taifa na wala sio vyama na wanaompa vyeo.
Tulipata janga kama taifa baada ya kuongozwa na Mh Rais Magufuli ambaye aliokota urais kama embe chini ya mnazi kwa kupewa na wale wanaoitwa wenye nguvu.
Matokeo yake nchi imekuwa ni vilio vitupu, hali mbaya ya uchumi na uliopo kuwa wa makaratasi tu. Hali mbaya ya amani, upendo kufifia na hofu kutawala nchini.
Sasa kila mtu anahaha namna ya kumwondoa huyu aliyeshika mizizi pasipo kuwa na mvuto kwa watanzania. Mwaka 2015 nchi yetu iliingia katika janga la kiurais kwa kumpata Rais asiyekuwa na uwezo wa kudumisha utawala wa kisheria, kuheshimu katiba na uhuru wa kisisasa, Kiuchumi na kijamii.
Baada ya kilio cha miaka 5 sasa, mwenyezi Mungu anatuletea rais bora kabisa mwenye sifa zifuatazo. Na ana uwezo wa kurejesha matumaini ya watanzania.
Si mwingine ni Tundu Antiphas Mugwai Lissu mbobevu ktk fani ya sheria, mwenye upendo na uzalendo wa kweli ktk nchi yake.
Sifa zifuatazo zitampa Urais TL kwani watanzania wote wanamjua na kumfahamu vizuri asiyekubaliana nazo ana lake binafsi.
1. Ni kiogozi shupavu na jasiri, hili litamwezesha kufabya maamuzi magumu na yenye tija kwa taifa. Wananchi wanaamini hataishia maneno ya majukwani tu bali atatenda kwavitendo na sio maigizo kama ya Rais Mafufuli.
2. Ana uzoefu unaohitajika kuwa Rais. Watanzania wanajua Mh Tundu Lissu ana uzoefu na serikali zote zilizopita kuanzia ya Mwinyi hadi ya Magufuli. Madhaifu ya kiuongozi ni yale yale miaka yote. Na hakuwahi kubadilika ktk misimamo yake ya kusimamia utawala bora, haki na wajibu.
3. Uwezo wa kutuvusha kiuchumi. Mhe Tundu Lissu anafahamika vyema kama mpambanaji wa maslahi kwa wananchi. Anajua vyema changamoto za maisha ya wananchi. Sio kujenga fly over ya mita 500 ubungo na kwenda kuimbia nyimbo tandahimba! INAHUSU!!
4. Yupo tayari kuwa amiri jeshi mkuu wa Tanzania. Kama anavyofahamika vema kwa vyombo vyote vya dola kuwa ni kiongozi shupavu. Asiyeyumbishwa na siasa za chuki, uhasama na kuburuzana. Ni mwanasheria aliyebarikiwa kuitendea haki taaluma yake. Ni mfano bora kwa wote wanaovutiwa kusoma taaluma ya sheria. Hata hivyo ni kiongozi mwema na mwenye ushirikiano, heshima, busara na utulivu wa kiakili kama sifa bora ya kuwa amiri jeshi mkuu.
5 . Ni msema kweli. Hili ni sifa bora kabisa ktk utawala wa dunia ya kwanza zilizoendelea. Hawezi kusema kuwa tatizo halipo kwa kulificha. Mdororo wa uchumi na uhusiano wa kimataifa umekuwa ndio wimbo wake siku zote kiasi mahasimu wake wasiopenda ukweli kumwinda na pengine kutaka kuondosha uhai wake. Lisu ni mpenzi wa Mungu kweli kweli.
Karibu Mh Tundu Lissu wewe ni yule ajaye Unayesubiliwa kwa miaka nenda Rudi.
hili swali ni la umuhimu sana. chadema na makada wote wa chadema waungane kulijibu.Ukiachana kuzungumzia nchi lisu amefanya kipi ambacho kimejenga chadema, kuhusu utawala wa kisheria ameshindwa kuisaidia chadema kuondokana na utawala wa kifalme
Tunashukuru kwa sifa alizo mwagiwa Tundu Lisu. Naweza kusema kuwa Tundu Lisu hana sifa hizo za kuweza kumfanya awe raisi wa jamuhuri ya mungano wa Tanzania. CHADEMA kimekuwa ni chama kinacho tumia udhaifu mkubwa wa ukosefu wa ufahamu unao wakumba watanzania walio wachache. Huwezi sema lisu awe raisi wa jamuhuri ya mungano huku akiwa amekosa koti la uzalendo juu ya nchi yake. Huwezi fungulia kesi nchi yako ingali ipo katika mapambano ya kujikwamuwa kiuchumi. Lisu kakosa kuonyesha uzalendo huo kwa nchi yake. Tulitegemea kumwona akitowa support kwa JPM.Tanzania hamna wapinzani wa kweli mtu anaka uko ughaibuni muda wote kwa kazi ipi Zaidi ya kubebwa na mabepari kila siku ni kupiga makelele mitandaoni nakutumia udhaifu wa ukosefu wa uwelewa wa watanzania walio wachache.Lisu siyo mwajibikaji wa kweli kwasababu ya kushindwa kutetea jimbo lake na kuweza kuwapambania wananchi wake katika kuleta maendeleo, anaitwa kurudi kazini anasingizia matibabu ya sio kuwa na mwisho na kusingizia serikali hampi hata pesa ya matibabu kumbe ni uwongo mtupu. Tanzania sasa tunatakiwa kungana na kushikamana kuwa kitu kimoja na si kupiga kelele na mboyoy zisizo na misingi yoyote Zaidi ya kupotosha walio wachache wanao kwamisha maendeleo ya Taifa. “Leadership is less about the position you hold than the influence you have. It's about doing world-class work, playing at your peak, and leaving people better than you found them. It's about Leading Without a Title.” ~ Robin SharmaHakuna Kama Lissu.