Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote


duuuu! NIMECHEKA HADI NIMEJISTUKIA
Unashawishi watu wachape ukuni bila kuoa?? Kama hutaki ndoa kaa na ukuni wako ukunyaukie. Acha uzinzi.
 
Kuna mstari mwembamba sana kati ya Mwanaume kujikubali too much kiasi cha kuona kuoa ni kujinyima raha na Swala la UNGESE kiujumla🫡🏽View attachment 3251655
Hawataki kuoa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ upwiru ukiwakaba mtakimbilia kwa nguruwe. Oa mke ujifaidie any time. Nimetafsiri picha
 
Huyu ni simbilis amechanganyikiwa baada ya kunyimwa unyumba yupo saiv anabembeleza apewe angalau ashushe kimoja alaleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Majuto wanayopitia, mapovu wanayaleta huku 🀣🀣🀣
 
Hela Yako itakufanyia kazi.

Sisi Katoliki kwenye Semina Padre alishawahi kutiambia kabisa. Usitegemee hata watoto wako uliwazaa.
Weka hela, andaa fungu.
Anakwambia ukiwa na hela utaogeshwa na mtu yeyote na utamlipa.
Nguo zitafuliwa utalipa.
Utaita mtu atakupikia utamlipa na hata kampani ya stori utapata kwa kulipia.
Wazungu Wana nyumba za wazee unalipia unaenda kuishi huko.
Sisi ni uoga tu unatusumbua.

Kwanza maisha yalivyo Kwa Sasa ndoa imeshapoteza maana labda uzae tu basi.
 
MAELEZO YAKO BADO HAYASHAWISHI MKUU.
#KATAA NDOA 4 LIFE
 
Kuzaa ni upendo sio malipo Yani zaa ukiwa inatarajia moyo wako utakuwa na upendo na utaapendwa hata. Ikitokea usipopendwaa na wanao sio shida
Ukitaka uone tofaut ishi na watu wazima wenzio sikutatu then mchukue mwanao kaeni siku Tatu pekeyenu uone utavojisikia
 
Nimezungumzia uwezo wa kutunza mke Kwa maishayetu kijana unaweza Kuta anafikia 30 hna chochote inaweza kuwa sabbu lkn sijasema ni wote
Huko nje mm sijui kwani nyie ni wazungu?
Ndio maana yake, unachojaribu kuniambia ni kwamba ukiwa na hela haina sababu ya kuacha kuoa sababu unakuwa unaweza kumtunza mwanamke na ukiwa huna sio lazima kuoa sababu unakuwa huwez kumtunza mwanamke right ? Vip kuhusu kupendana?..kuna watu hawajawah kupenda mtu wala hajawa kupendwa na mtu, huyu anaona vipi ? Kwanini watu wanaoa sabababu tu kuiridhisha jamii kwamba wameoa? Why people don't marry for themselves? Ndio mana ndoa nyingi zinavunjika sababu watu hawaoani sababu wanapendana wanaoana sababu ya kuionyesha jamii wanapendana na wameoana. Unamwoa jane , ye jane anampenda juma kaolewa na wewe sababu tu una uwezo na utaenda nae ukumbini ila juma atakuwa anajipigia miti kama kawaida....
 
Umemkopi yule mhaya buyobe kule twitter? Au buyobe naye kakopi mahali?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Moja ya faida za ndoa ni kuja kuhudumiana uzeeni.
Tuwe wakweli, una pesa gani wewe ya kuitenga ili uje uwalipe manesi wakuhudumie uzeeni? tumeona wazee wangapi wanaadhirika hawana wa kuwahudumia na pesa zimewaishia. Jaribu kufikiria katika hali halisi. Pesa hazitakuwa na maana sana kwako kwa kipindi hicho
 
Pole sana. Hapo tatizo sio ndoa. Tatizo ni aina ya mwanamke uliyeoa. Alibadilika akawa tofauti na mlivyoanza. Binadamu tunaweza badilika. lakini hili halitufanyi tukatae ndoa. Mungu atakufanyia wepesi.
Acha kuhamisha magoli.Tatizo ni ndoa.Na ukweli wa mambo wanawake wa sasa sio wanawake waliokusudiwa kwenye maandiko ya ndoa.KATAA NDOA tupo sahihi hii hibreed mpya is meant for pleasure not for making a wife.

Hakuna ndoa yoyote inayostrive kwa sasa ila kinachotokea ni kile sisi watu timamu wenye akili mingi KATAA NDOA tunasema kila uchwao.Wanawake wa sasa hakuna wa kuoa na akawa mke mkavuka mika 7 kwenye ndoa nakaaataaa nakataaa NDOA NI UJINGA NDOA NI UPUMBAVU NDOA ILIKUWA ZAMANI.

Vijana jiwekezeni kiuchumi na kielimu.Hamna achievement yoyote utapata kutoka na NDOA.Ukikaza fuvu atayajua haya ukiwa umechoka sana
.

Vijana chapeni ukuni kisawawasa,hakuna kulaza damu zalisheni hawa wanawake mana ndio kazi imebaki.Ila katu usiweke ndani huo ni mtego na bomu kama la NAGASAKI KULE JAPAN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…