Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

Wewe ni KATAA NDOA,FIKA MAKAO MAKUU UCHUKUE KADI YA UANACHAMA.UNAELEMENT ZOTE ZA KATAA NDOA.

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Uko sahihi kabisa watoto bilaa kujiandaa ni kutengeneza tatizo maana uamuz wa kuwaleta duniani ni wako
 
SIMPS MUST PERISH!!!

WOMEN SHOULD KILL ALL SIMPSπŸ‘πŸ‘


πŸ“ŒπŸ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
Nakumbuka kwenye prison break T bag alikuwa anamsikiliza Fernando Sucre(lover boy) Anatoa maelezoo mengi, T bag akamkatisha kwa kumwambia "CASANOVA WRAP IT UP" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ma SIMP bwana maelekezo mengi...
 
Kazi kweli kweli
 
Never ever kataa ndoa ni kwa watu timamu wa akili.Mamluki wapo ila tumekuwa tukiwafichua na kuwafukuza chamani.


Karibu chama la wana kataa ndoa huku hatuombi unyumba wala kupewa kwa masharti.

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒKataa ndoa,ujilie mema ya dunia bila vificho, bila vipimo na bila masharti!!!
 
Nakumbuka kwenye prison break T bag alikuwa anamsikiliza Fernando Sucre(lover boy) Anatoa maelezoo mengi, T bag akamkatisha kwa kumwambia "CASANOVA WRAP IT UP" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ma SIMP bwana maelekezo mengi...
Nakubali hawa SIMPS wamechanganyikiwa nina ndugu kibao na washkaji kila day wanaachana na wake zao. Na wengine wanajilaumu kwa kuchafua clean sheet zao za kuingia kwenye ndoa.NDOA NDOANOπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakija kwangu wanaona nastrieve tu muhuni nipo soo focus na mambo yangu sina stress wao wanazweka kwq stress na bado wanaichapa kwa tabuπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Kazi kweli kweli
Ndoa ni muhimu kwa ustaw wa familia haijalishi mapunngufu ni mengi kiasi gani lakin Bado ndio ishakuwa ndoa Muombe Mungu akupe mtu sahihi
Hata maisha yanachaangamoto nyingi lakin haituzuii Kuishi na tunapambana wengine wanatoboa japo wapo wanaojiua pia so kilakitu kina nafas na muhimu kwenye maisha
 
endeleeni kumsaidia Shetani kwenye mpango wake. Mtajutraaaa
BORA SHETANI ILA NYIE WAOMBA UNYUMBA NDIO MABALADHULI MAIBILISI NA WAARIBIFU WA JAMII KABISA. NYIE NDIO WAZEE WA NYUMBA NDOGO,NYIE NDIO MNARUBUNI MABINTI WA SHULE NA KUWAHARIBIA MAISHA NYIE NDIO MNAONGOZA KWA KUSAMBAZA UKIMWI.YOTE HIYO NI SABABU YA KUNYIMWA UNYUMBA HUKO MAJUMBANI MWENU.

πŸ“ŒπŸ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Clean sheet πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , me mpaka niingie kwenye huo mtego ni sijui hata, nna jamaangu kawa pressurized na familia na kapata older women ila ana mizigo tukaenda kula wali keshokutwa tu lakini akitoboa hata mwaka me ntamwekea sababu posta, sababu jamaa ni anaupiga vitoto vya 2000 mpaka nomaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuliko kuishi na kulala na gaidi anayeniwazia nife arithi mali.Bora nikafungwe Gwantanamo!!!


πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒKAMA UNAAKILI TIMAMU,KATAA NDOA!!!
 
Na wewe utakuwa hivo πŸ˜€
 

Mkuu, ni nini hasa kinachokufanya ukatae ndoa?
Je, (i) Uchumi haujatengamaa?
(ii) Ubinafsi na uchoyo?
(iii) Hitilafu ya kibayolojia kwenye VIA vya uzazi?
(iv) Udhaifu katika kupambana na changamoto?

NDoa ni zaidi ya kujilia mema ya dunia bila vificho, bila vipimo na bila masharti.

Unaweza kunipatia experience ndogo tangu ulivyokuwa mdogo mwenye utambuzi jinsi ulivyokuwa ukiwaona wazazi wako wanaishi, wanawalea na kufurahi kwa pamoja kama familia?
 
Okay basi fanyeni kuoa au kuelewa iwe kama mtu kaamua kubaki na govi au kulikata haina impact ya moja kwa moja kwenye maisha ya mtu, waacheni watu Waishi maisha Yao.. .
 
Kuliko kuishi na kulala na gaidi anayeniwazia nife arithi mali.Bora nikafungwe Gwantanamo!!!


πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒKAMA UNAAKILI TIMAMU,KATAA NDOA!!!
Poleni sana mnakutana na mifano mibay sana lakin after Ten yrs utakuja kuyalamba matpshi Yako
 
Hakuna kataa ndoa fala mimi huwa nawaamibia humu JF kataa ndoa wote tunaaakili huwa tunaona yajayo na kuyaepuka.Yaani huko mtaani ni paranganyika ila bado kuna mafala yanaoa alafu vilio vyao wanatuletea sisi BIG BRAIN KATAA NDOAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Unaweza kunipatia experience ndogo tangu ulivyokuwa mdogo mwenye utambuzi jinsi ulivyokuwa ukiwaona wazazi wako wanaishi, wanawalea na kufurahi kwa pamoja kama familia
Hili nalo tatizo mkuu Tena kubwa Kuishi n wazazi kupendwa na wazazi huwez kutamni et nizae nisioe labda uwe kichaa maybe wale waliofiwa naweza kuwaelewa
 
Poleni sana mnakutana na mifano mibay sana lakin after Ten yrs utakuja kuyalamba matpshi Yako
Hakuna mifano mibaya au mizuri ningerudishwa karne ya 17 au 18 ningeoa ila haya magumegume yaliopo saivi mtu kaanza kuchezea paipu tangu primary,sekondary, chuo,mtaani.Na bado unanishauri nioe, never ever!!!

Acha tuendelee kuwabadilisha kama vidaladala.hakuna namna wala jinsi ni kuchapa ilaleeeeeeeee......

Babu zenu walikuwa na busara na hekima kuwakeketa wanawake na kuwanyima mali. Pia walihakikisha wanawake hawaendi shule.Hao ndo walikuwa wanawake wanaoweza kuishi na mwanaume.Hawa wa sasa ngoja tuendelee kuwapanua mashimo mpaka kieleweke.Lakini kuoa ni ndoto za mchana.

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒKataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
 
Hili nalo tatizo mkuu Tena kubwa Kuishi n wazazi kupendwa na wazazi huwez kutamni et nizae nisioe labda uwe kichaa maybe wale waliofiwa naweza kuwaelewa
Chimbuko kubwa huwa ni hili likiambatana na mengine mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…