Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

Kula kwa urefu wa kamba yako mkuu.watu wa pwani safi sana Mwinyi mzee wa ruksa,Kikwete sasa Samia hongereni sana kwa kutupa bata.
 
Tatizi uchaguzi wa kupora hauna baraka. Hata wao hawana raha
 
Tatizi uchaguzi wa kupora hauna baraka. Hata wao hawana raha
Kwa kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 mita na uchaguzi mkuu 2020 ni muhimu kuwepo na katiba mpya. Kuzuia kisijurudie na kuamsha moral ya wananchi ili kujitokeza kutumia haki ya ya kikatiba kupigwa kura. Awamu zijazo.
 
Tanzania na wananchi wake ktk miaka 5 ya mwendazake walikosa raha na furaha.
Sasa nchi imefunguka na wananchi wamejawa na furaha na raha
Nasikia mawaziri wanalogana huko kwenu, je mlozi ni nani tuanze kumshughulikia mapema.
 
Mimi si miongoni mwao.
 
Unesahau kusema hawana furaha na upinzani pia


Kifupi hawana pa kwenda ccm takataka upinzani takataka
 
Mzee baba!Samia yupo hapo kwa mapenzi ya muumba wake na kwa matakwa ya Katiba.
 
Hii ni dalili mbaya kwamba nchi inaelekea kupigwa mnada. Bi Mikopo ajiandae.
Ndugai ametufumbua mambo mengi ikiwemo na huitaji wa katiba mpya, Baada ya kuona mhimili mmoja unatawala mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…