KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Kafyeke msitu ulime,utawala ni kwa waliowekewa tayari na Mungu.Kumbuka na uelewe hatma ya watoto wangu,chakula cha familia yangu pamoja na hatma yangu imeshikiliwa na wanasisa ambao waneambiwa wale wasivimbiwe. Je,unategemea mteremko gani nipitie ili niweze kuhakikisha hicho unachosema nifanye je nitafanikiwa chini yenu
Lini hapa jukwaani niliwahi kuwa upande wa Bwana Chato?Kuna mtu hapa JF ambae amewahi kumpiga vita Bwana Chato kuliko mimi?Ulikuwa wapi pia kumkosoa Magu aliyeruhusu matrafiki barabarani kuchukua pesa kwa kwa madereva kwa ajili ya kupigia kiwi viatu?.
Ivi Nyerere aliutaka Mungano au Wazanzibar waliutaka ila Nyerere akaivaa hoja?!Daa Mungu alinusuru taifa letu na huyu Jin mahaba, Tanganyika yetu aic sjui inamkosi, da et kuleni kidogo pumbavu kabi
Wapi tokea uzaliwe uliwahi kuona nchi ambayo Rais wake fisadi anahamasisha serikali yake kufanya ufisadi tena kupitia TV ya Taifa kama alivyofanya Samia?Acha kuonesha ulivyojiweka chochoro kiakili.Ukiondoa nchi zenye adhabu ya kifo kwa mafisadi,nchi zingine zote zinaufisadi.
Na ndio maana viongozi wanaambiwa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake na wajipimie ili wasivimbiwe kwa kodi zetu. Masikini nchi yangu. Rushwa sasa imehalalishwa peupeeee tena na mkuu wa nchi.Tanzania na wananchi wake ktk miaka 5 ya mwendazake walikosa raha na furaha.
Sasa nchi imefunguka na wananchi wamejawa na furaha na raha
Sasa kama ni vichaa hawaelewi tutafanyaje mura,ukienda Zanzibar ndo utajua uko nchi ya watu,tupaze sauti na muungano wa kishenzi huu,vijana wananyanyaswa makazini huko tuwachekee,no way ujinga wetu sasa basiTusifike huko, tukawapa sababu ya kutuondoa kwenye kudai katiba mpya
Tena bila aibu amekwapua ndege mbili mchana kweupe na bado anasubiri mbili,tumepinda ujueWapi tokea uzaliwe uliwahi kuona nchi ambayo Rais wake fisadi anahamasisha serikali yake kufanya ufisadi tena kupitia TV ya Taifa kama alivyofanya Samia?
MhhhNadhani wewe ndio akili yako iko shaghalabaghala.
Tunachapa Kazi hatuna muda wa kupima corona mapapai na mbuzi
Kwa Avatar yako inanyesha kabisa uko cost regionMhhh
CCM imeshakufa tatizo hamna chama kingine chenye uwezo wa kuongoza nchi.Unategemea nini bila kukemewa, mawaziri wanaambiwa kila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake, wananchi watakuwa na furaha nao?
Anayemwandalia vya kuongea anapaswa kulaumiwa.Na ndio maana viongozi wanaambiwa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake na wajipimie ili wasivimbiwe kwa kodi zetu. Masikini nchi yangu. Rushwa sasa imehalalishwa peupeeee tena na mkuu wa nchi.
Hongera endelea kujitahidi hivyo hivyoKafyeke msitu ulime,utawala ni kwa waliowekewa tayari na Mungu.
Mungu ametoka wapi hapaHata Mungu wewe hauna furaha naye na ndiyo maana unakwenda kinyume na makatazo yake kama:Uzinzi,ulevi,kamari n.k.
Utawala huu hauna haki wala ridha ya wananchi kututawala, waliiba kura na kujitangazia uahindi Kwa wizi wa kuraKafyeke msitu ulime,utawala ni kwa waliowekewa tayari na Mungu.
Hawana hoja hachanao .Wapi kamtaja rais!? Unajipendekeza kupita kiasi.
Kwahiyo ukiwa mrengo wa kati mfano ukienda dukani pia bei ya mkate nayo inakua ya kati.
Machafuko yatakuja kutokea wakati mimi na wewe tukiwa tunaishi ndani ya nyumba zetu za milele.
Hulka ya kitanzania ya kutopenda vurugu haikuanza baada ya uhuru, ni sehemu ya DNA ya watanzania.
Ufisadi ni ufisadi tu,haijalishi njia ipi unapatikana.Wapi tokea uzaliwe uliwahi kuona nchi ambayo Rais wake fisadi anahamasisha serikali yake kufanya ufisadi tena kupitia TV ya Taifa kama alivyofanya Samia?