Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

Kumbuka na uelewe hatma ya watoto wangu,chakula cha familia yangu pamoja na hatma yangu imeshikiliwa na wanasisa ambao waneambiwa wale wasivimbiwe. Je,unategemea mteremko gani nipitie ili niweze kuhakikisha hicho unachosema nifanye je nitafanikiwa chini yenu
Kafyeke msitu ulime,utawala ni kwa waliowekewa tayari na Mungu.
 
Ulikuwa wapi pia kumkosoa Magu aliyeruhusu matrafiki barabarani kuchukua pesa kwa kwa madereva kwa ajili ya kupigia kiwi viatu?.
Lini hapa jukwaani niliwahi kuwa upande wa Bwana Chato?Kuna mtu hapa JF ambae amewahi kumpiga vita Bwana Chato kuliko mimi?
 
Daa Mungu alinusuru taifa letu na huyu Jin mahaba, Tanganyika yetu aic sjui inamkosi, da et kuleni kidogo pumbavu kabi
Ivi Nyerere aliutaka Mungano au Wazanzibar waliutaka ila Nyerere akaivaa hoja?!

Alijua adha ya muungano kwa Tanganyika mbeleni?

Je ni kweli Watanganyika waliutaka Muungano?

Ivi wakati ule Wazanzibar wanataka wajitenge hakukuwa na Wanasiasa wenye kuhakikisha Wazanzibar wanaipata kiu yao?

Kama hakukuwa na kauli ungaji kutoka kwa Watanganyika kuhusu ombi lao la kujitenga, basi Watanganyika hawakuona haja, na sasa pia wasione haja ya kiponda Uzanzibar wa mtu.
 
Tanzania na wananchi wake ktk miaka 5 ya mwendazake walikosa raha na furaha.
Sasa nchi imefunguka na wananchi wamejawa na furaha na raha
Na ndio maana viongozi wanaambiwa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake na wajipimie ili wasivimbiwe kwa kodi zetu. Masikini nchi yangu. Rushwa sasa imehalalishwa peupeeee tena na mkuu wa nchi.
 
Tusifike huko, tukawapa sababu ya kutuondoa kwenye kudai katiba mpya
Sasa kama ni vichaa hawaelewi tutafanyaje mura,ukienda Zanzibar ndo utajua uko nchi ya watu,tupaze sauti na muungano wa kishenzi huu,vijana wananyanyaswa makazini huko tuwachekee,no way ujinga wetu sasa basi
 
Wapi tokea uzaliwe uliwahi kuona nchi ambayo Rais wake fisadi anahamasisha serikali yake kufanya ufisadi tena kupitia TV ya Taifa kama alivyofanya Samia?
Tena bila aibu amekwapua ndege mbili mchana kweupe na bado anasubiri mbili,tumepinda ujue
 
Na ndio maana viongozi wanaambiwa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake na wajipimie ili wasivimbiwe kwa kodi zetu. Masikini nchi yangu. Rushwa sasa imehalalishwa peupeeee tena na mkuu wa nchi.
Anayemwandalia vya kuongea anapaswa kulaumiwa.
 
Machafuko yatakuja kutokea wakati mimi na wewe tukiwa tunaishi ndani ya nyumba zetu za milele.

Hulka ya kitanzania ya kutopenda vurugu haikuanza baada ya uhuru, ni sehemu ya DNA ya watanzania.

Zimbabwe na Eswatin hadithi zilikuwa hizi hizi, watu walipoingia mtaani viongozi wao hawakuamini.
 
Wapi tokea uzaliwe uliwahi kuona nchi ambayo Rais wake fisadi anahamasisha serikali yake kufanya ufisadi tena kupitia TV ya Taifa kama alivyofanya Samia?
Ufisadi ni ufisadi tu,haijalishi njia ipi unapatikana.
 
Back
Top Bottom