Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

Mtoto anasubir hiyo idea ya kunywa wine, hapo mcheki tarehe 19 usiku ,then sikukuu ya eid unakamilisha mchongo
Yan kutongoza sikuhizi sio issue mpaka nshasahau maujanja ya kutongoza
 
Wapo inategemea na circle yako bana..!!

Bora kiliwe na nyenyere sigawi kipapa changu otherwise nipende mwenyewe na ni kitu ambacho nadra kutokea..!! 😹😹
Kama wewe wa juu lazima ukutane na madon wa kariakoo, watakujengea hata ghorofa in kwa hicho kipapa tu.😅😅
 
Je, inawezekana kuwa wanaume wamekua madomo zege na hawajui tena kutongoza au ndiyo ukisasa?
Kizamani ndiyo ilikua poa, unatumiwa mpaka barua za kuimbishwa kwa maneno matamu!
Sio udomo zege kwa 100% ila wanaume wengi siku hizi tumegundua kama mdada hakutaki ni hakutaki tu hata ufanyeje, maneno matamu hayana msaada mkubwa kwenye utongozaji Binti wa zamani
 
Zamani ndio ilikua nzuri, mtu anakufukuzia muda mrefu na yupo serious sio hawa wa sasa akiomba namba ukiringa kidogo tu ndio imeisha hiyo.
Wanaume wa ckuiz Wana machaguo mengi tofauti na wa zamani.
Yaani wa ckuiz have no time to waste😅
 
Duh kwahiyo nianze kutongoza mwanamke miezi mi3 , nachukua namba nakupigia nakutumia msg mbili tatu kisha nafuta namba ukiwa interested utajibu tutaendelea ukila buyu ndo imeisha hyo, maana nikiwa na namba yako nitakuwa na shauku ya kukupigia
 
Job Done...
 
Kumchania mtu barua kuna raha yakee😌 hapo mpaka kamati yake ije ikubembelezee ndio ukubali sasa na kuliwa sio leo
Bora achane na iwe siri yake, Gift nlimwandikia barua nikaandika na mashairi mule alivomaliza kusoma aliwapa wenzake nae wasome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…