Pole sana ni utoto tu, alitakiwa kuichoma kabla mtu mwingine aione! Zamani ukikutwa na mzazi una ujumbe kutoka kwa kijana ni kama umefumaniwa!!Bora achane na iwe siri yake, Gift nlimwandikia barua nikaandika na mashairi mule alivomaliza kusoma aliwapa wenzake nae wasome
Safi!!Few days? Masaa matatu mengi mtu kashashughulikiwa yaan hakuna kupoteza muda kabisa
Angalia formula ya mwana siasa akija kuomba kura na after uchaguzi mkampa kura inavyo kuwa ndo hivyo hivyoHivi sababu hasa huwa ni nini? Natamani wanipe jibu.
Nisindikize Zanzibar tukae hata week moja tu😊"Twende zetu Kilimarathon ukapate new life experience"
Unajua hii mitandao imejanjarusha watu siku hizi, wanaume wengi tumegundua chini ya jua hamna mdada mgumu, ugumu wa mdada inategemea na mwanaume anaemfata, mara nyingi mnawazungusha wanaume sababu hamjavutiwa nao kimapenzi , naeza kuku treat vizuri, nakuhudumia ila unanizungusha mwaka na kuniwekea sheria kibao, akija kidume mwenzangu, hajawekeza kwako kihivyo, ila kwa vile unampenda ndani ya wiki 2 ushampa mzigo Kelseawanaume wengi wametanguliza tamaa mbele wenye kumaanisha na upendo wa kweli ni wachache ndio sababu hawaoni maana yoyote kumbembeleza mtu ikiwa lengo ni kupita tu,
Huu mfano ni halisi kabisa, kazi ipo.Angalia formula ya mwana siasa akija kuomba kura na after uchaguzi mkampa kura inavyo kuwa ndo hivyo hivyo
Ni wanawake wa sasa ila zamani mwanamke hata akikuelewa lazima akusumbue sumbue ilikua inaongeza thamani ila sasa ukisumbua ukigeuka umeachiwa vumbi mtu ashatokomeaUnajua hii mitandao imejanjarusha watu siku hizi, wanaume wengi tumegundua chini ya jua hamna mdada mgumu, ugumu wa mdada inategemea na mwanaume anaemfata, mara nyingi mnawazungusha wanaume sababu hamjavutiwa nao kimapenzi , naeza kuku treat vizuri, nakuhudumia ila unanizungusha mwaka na kuniwekea sheria kibao, akija kidume mwenzangu, hajawekeza kwako kihivyo, ila kwa vile unampenda ndani ya wiki 2 ushampa mzigo Kelsea
Mambo ni mengi muda hautoshi, watu hawana tena muda wa kubembelezaWanaume wa ckuiz Wana machaguo mengi tofauti na wa zamani.
Yaani wa ckuiz have no time to waste😅
Kipapa kina faida ukijua kukitumia 😹😹Kama wewe wa juu lazima ukutane na madon wa kariakoo, watakujengea hata ghorofa in kwa hicho kipapa tu.😅😅
Kwahiyo niendelee kuvumilia tu, ipo siku utanipea?Nadhani sababu kubwa wanawake wa sasa wengi ni warahisi hivyo mwanaume anaona ya nini kujitesa ukiringa wewe leo kesho atapata mtu mwingine, na pia wanaume wengi wametanguliza tamaa mbele wenye kumaanisha na upendo wa kweli ni wachache ndio sababu hawaoni maana yoyote kumbembeleza mtu ikiwa lengo ni kupita tu, mwenye nia ya dhati atavuta vuta muda.
We mtoto mimi nshakua shangazi na hela sina, shauri zako 😂Kwahiyo niendelee kuvumilia tu, ipo siku utanipea?
Hela tena? Sitaki hela nataka....We mtoto mimi nshakua shangazi na hela sina, shauri zako 😂
😂 Unataka iliyozeeka kwa nn?Hela tena? Sitaki hela nataka....
Hujui ulichonacho wewe, eti imezeeka. Hiyo ndo imeiva hiyo!😂 Unataka iliyozeeka kwa nn?
Siku hizi mwanaume ukimfatilia mdada anaekusumbua kwa mda mrefu na kuwekeza sana mda na hela kwake baada ya miaka 5 huenda ukakutana na story inayokuhusu wewe bila wewe kujua, kwenye confession page ya raphee kule insta, ooh mume nilie nae anahudumia familia vizuri, ila sivutiwi nae kimapenzi, nilimkubali sababu ya hela, mara ooh mume wangu nilimkubali sababu ex wangu alinipiga matukio, alikua haeleweki nikaona ni-settle" 🙌 Kelseaila sasa ukisumbua ukigeuka umeachiwa vumbi mtu ashatokomea
Watoto wa siku mmekuwaje lkn, nitakusemea kwa ba parokwoHujui ulichonacho wewe, eti imezeeka. Hiyo ndo imeiva hiyo!