Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Umeonyesha takwimu??
 
Wewe uliyeleta taarifa humu ndiye mwenye jukumu la kuleta proof, copy hiyo information kwenye website na ui paste humu... Remember no data no right to speak...
metl.net
bakhresa.com
 

Attachments

  • 2023_11_19_14.46.34.jpg
    265.2 KB · Views: 3
  • 2023_11_19_14.47.11.jpg
    230.7 KB · Views: 3
Vyanzo hivyohivyo vilimtaja jacline mengi kuwa ni mwanamke anaechipukia kwa utajiri kisa kafungua duka la furniture

Alikuwa anauza furniture zake nje huko...

Mzee machache alipovuta, biashara nayo imejifia kibudu...
 
Yani kisa kaweka ving'amuzi kwenye mabasi ndo hamuelewi anazidiwaje utajiri na Mo, utopolo bwana!
 
Mkuu unafahamu Bakhresa anauza bidhaa zake karibu nchi zote za East Africa, na kote huko kaajiri watu, au mapato yake yanayotoka kwenye nchi nyingine tofauti na Tanzania hayahesabiki kwenye utajiri wake
Ukitumia akili utakuta taarifa zote ziko TRA, website zao
 
Halafu kwanini watu wanamlinganisha Mo na Mzee Said Bakhresa mwenyewe, inatakiwa wamlinganishe Mo Dewji na Yusuf Bakhresa hao ndio rika moja, Mzee Bakhresa anatakiwa alinganishwe na baba yake Mo Mzee Gulam Dewji ndio rika moja
MO owns 75pc ya metl
 
Watanzania wanaendeshwa na chuki tu.
Wangejia MO ana biashara nyingi ambazo hawezi metl.
Azam biashara zake na watoto wake wanatumia brand 1
 
Mwamedi huwa ana appear kama tajiri kijana.

Kama ingekuwa kwenye ball Mwamedi anakuwa kwenye category ya golden boy.

Lkn hata hivyo kwa mujibu wa takwimu East Africa bado hatuna billionaire in terms of $$$$
Tatizo lenu hamsomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…