Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Urithi ni baada ya mtu kufa, wewe baba yako masikini unawaonea wengine wivu
 
Tatizo lenu hamsomi
 
Tatizo lenu hamsomi, nenda tra uulizie
 
Zile pesa hazitolewi kwa mkupuo, zinatolewa kwa mwezi kwa miaka 10 ambapo kila mwaka bilioni 20, kwa mwezi bilioni 1.5
 
Mashamba ya serikali yale ya tanga na kule mufindi huyu mudi mjanjamjanja badala ya kuyaendeleza kaenda kuchukulia mikopo nadhani kipindi cha magu alinyanganywa.
 
Hii nzuri,itapunguza baadhi ya kero. Nilipanda bus kutoka mbeya kwenda tanga hizo taarabu ase..bahati nzuri tulifika moro wakatubadilishia gari
 
Zile pesa hazitolewi kwa mkupuo, zinatolewa kwa mwezi kwa miaka 10 ambapo kila mwaka bilioni 20, kwa mwezi bilioni 1.5

Boss Kijana ilikuwa ni hiyo hiyo 20 pia,kwa taasisi anayoidhamini.

Nenda kaulize pale zinatolewa shingapi kwa mwezi[emoji16][emoji16]
 
Wewe unapungukiwa nini ukiambiwa Mo kazidiwa utajiri na Bakhresa?? [emoji12]
Sipungukiwi chochote lakini ukiona mtu anapingana mpaka na takwimu za kiserikali ni razima ujiulize maswali mengi juu yake

Viwanda vya Mo vinachangia zaidi ya %8 ya bidhaa zote zinazo tumika nchini tz kila siku, wakati Azam anachangia %3 tu ukienda TRA Mo analipa kodi kubwa mara mbili ya Bakhresa , utajiri wa Mo unachangia zaidi asilimia 2.5 ya uchumi wote, wa tz kiufupi jamaa takwimu zinambeba jamaa japo wengi wana mchukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…