Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

Yaani na wewe Mayala ushakuwa malaya wa kisiasa hata huwa hueleweki unasimamia nini! Ndio sababu hata watawala hawahangaiki na wewe kwa maana unachembechembe ya unafiki na ukijipendekeza ovyo! Kwa hiyo Rais akikosolewa ni kmdhararu Rais?
 
Ndio maana nikakwambia muulize babaako mambo haya. Wewe huyawezi. Yesu Kristu aliyefariki miaka zaidi ya elfu mbili iliyopita hayupo juu? Mtume Muhammad (SAW) aliyefariki zaidi ya miaka 1400AD hayupo juu?
Mjane wa mzee pombe bado upo eda.
 
Nakuambia CCM hii iliyokuwa inabebwa na Magufuli? Yaani hawa CCM wakikutana kwenye vikao wanatiana ujinga sana! Kwa taarifa yao Magufuli alikuwa anawabeba na alikuwa mkubwa kuliko CCM subiri majibu watayapata!
 
Mtu mzima halafu CHAWA dah!
 
Naunga mkono
 
Jiulize tu haya maswali yafuatayo:
1. NI KWANINI SHEIKH TAKADIR, OSCAR KAMBONA, BIBI TITI, TUNTEMEKE SANGA NA WENGINEO WALIONEKANA MAADUI WA TAIFA? KILIKUWA CHAMA GANI?
2. JE NI KWANINI IMRAN KOMBE ALIUWAWA NA KOLIMBA BAADA YA KUSEMA CHAMA KIMEPOTEZA DIRA NA MWELEKEO HAKUCHUKUA RAUNDI? HAPO SIWATAJI KINA ALHAJI JUMBE WALA MAALIM SEIF NK.
JE KUNA MAHALA POPOTE WALIOIKOSOA TANU AU CCM NA SERIKALI YAKE WALIBAKI SALAMA?
4. KWANINI KINA LISU, MBOWE WALIONEKANA WASALITI KWA TAIFA? NA KABLA YAO ALIKUWA PROFESA LIPUMBA.
Mwisho huo mradi wa umeme wa maji ni upuuzi mwimgine wa kutafuna fedha za nchi kwa kitu ambacho hakina uhakika. Uganda wana mabwawa makubwa waliojenga bado wanalia. Nasikia eti tunataka kuuza umeme Ethiopia yale mabwawa waliyojenga yamekuwaje?
 
Wanapewa haki ya kusikilizwa kabla ya kuchukua uamuzi,Ni jambo jema.Tuvute subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…