Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Wakipiga la pili hapo,inamaana magoli yanakua mawili kwa mawili,boli linasnza upya.
Kagoma ameshamtengua madevu huyu ndio mchezesha team. Akitokea huyu madevu, huku tall Camara amerudi nyuma ni faida kwetu.
 
Nilisema, Mukwala na Mutale wakicheza Pamoja, Ushindi lazima.


Hata hivo tusisahau ya Gwajima The Jabali
Hiyo rotation ya hapo mbele ni kiboko.

Maana Mpanzu, Mukwala na Mutale hawatatulia nafasi moja

Hiyo inaitwa M3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…