G
Leo ndio siku ambayo Golikipa Kamara atakuwa adui wa watu. Mistake 2 hadi sasa keshazifanya.Leo sio siku ya kukosa kombe ila mistake ndogo ikifanyika tu tumekwisha ,,,kama ileya kapombe sielewi kwanini haijawaha goli dah
Hakuna kitu kama hiyo! hapa tunaenda na usemi wao yani "ubaya ubwela".Nawaombea watani wachukue kombe sote ni wamoja, akishinda sote tumeshinda na kombe linabaki Tz..!! Uzalendo kwanza.
πππKila la heri mtani,
Nauza dawa ya kupunguza hasira baada ya mechi.
Kwani utabiri wako vipi, sijaona mkuuDakika Zimefika 12 Za Nyongeza
Suuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈππSema su
Kweli kabisayah, ni clear chance analeta ustar kwenye kufunga.
Ni kweli, shida ni ukumtoa Ahoua nani mbadala wake?Yafuatayo yakifanyika Simba atabeba kombe
1. Simba waepuke kusababisha Kona
2. Kipa wa Simba asibutue mpira anapoanzisha mpira.
3. Ahooua hayuko mchezoni leo afanyiwe sub, wengine waendelee
Aingie nani?Unajicho la mpira mkuu, Ahooua leo kocha anapaswa amsub mapema sana.
ππππππππππAhoua kapoteza mpira kisha anakimbia kama ana kibunzi matakoni...
Mchezaji sio lazima ukiwa na mpira tu, hata ukiwa huna mpira.