Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Nje ya nchi dakika 90 hamna on target hata 1 alafu mnategemea mshindi?

Mlifikiri marefaa wenu wa NBC hawa?
 
Hili limeniuma sanaa🀣
Hili limeniumizaa
Awamu hii nimeumia saaanaa
🎼🎼
 
Ahsanteni madunduka, kwa kutukaribisha kwenye uzi wenu. Tulikuwa sambamba kuwasindikiza Berkane wachukue Ubingwa. Hatimaye kombe tunalo na tunatamba nalo...

#Berkane Bingwa πŸ†
#The Orange Boyz
🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑
 
ShenziiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…