Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Nina furaha sana Mkuu, karibu vinywaji. Unatumia kinywaji gani?
Refa tunaye, kombe tunalo na tunatamba nalo.

#Berkane Bingwa πŸ†
🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑
Limekuja kwetu Morocco 😎
 
Hongereni Simba SC 🦁🦁kwa hatua mliyofikia, Siyo mbaya. Mmepambana Sana lakini upande haukuwa wenu.
 
Yatie nazi ikoleee
 
Wanafiki mnatoka mashimoni...mashabiki ya yanga yamemikera sana
Siooo shidaa zetruuuuuu πŸ§‘πŸ§‘πŸ€πŸ§‘πŸ€πŸ§‘πŸ€πŸ§‘πŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Hurrayyy Berkane hurrrrraayyyyyyyyy 🀍🧑
 
Nina furaha sana Mkuu, karibu vinywaji. Unatumia kinywaji gani?
Refa tunaye, kombe tunalo na tunatamba nalo.

#Berkane Bingwa πŸ†
🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑
Situmii kinywaji cha mtu mwenye roho za ubinafsi. Kwani tungechukua wewe ungepungukiwa na nini?

SimbaSC NguvuMoja
 
Pyeee kodi zetu zime pona pimbi ina tangaza kutoa ml 200 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pyeee
 

Attachments

  • Fu1LOicX0AEtuRK.jpeg
    24.8 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…